Nimedokezwa ukweli huu mchungu hadi nikatamani kuzimia:
1. Makontena yameanza kusafirishwa nje ya nchi tangu mwendazake yuko hai.
2. Hakuna kilichobadilika kutoka mfumo uliokuwa unatumiwa na Serikali ya JK kupitia TMAA kusafirisha makinikia hayo nje. Utaratibu huo ulikuwa ni: sampuli...
Nimejikumbusha summary ya taarifa ya Kamati ya Prof Mruma iliyosema kuwa kwenye zile Kontena 277 kuna dhahabu ya USD 521.3mil, Copper ya Usd 10.6mil, Silver ya Usd 1.08mil, Iridium ya Usd 105mil, Iron ya 1.2mil, Ytterbium ya Usd 7.5mil, Beryllium ya 3.8mil, Tantalum ya Usd 1.3mil, Rhodium ya Usd...
Taarifa ya Prof. Mruma ilibainisha kuwa madini ya dhahabu yaliyopo ndani ya kontena 277 pale bandarini yana thamani ya shilingi bilioni 1,147 ukilinganisha na shilingi bilioni 97.5 zilizokuwa declared na Acacia. Hivyo tofauti ni shilingi bilioni 1,049.5. Hizi ni hela nyingi sana, badala ya...
Hii taarifa kila ninapoisoma nabaki na maswali mengi sana. Kwa mfano, taarifa ya Prof. Mruma iliyosomwa IKULU inabainisha kuwa yale makontena 277 yalikuwa na uzito wa Tani 20 kila moja. Wastani wa madini yaliyopatikana baada ya kufanya sample analysis kwenye maabara ya GST ni kama ifuatavyo...
Mawazo mfu. Mnacheza na maisha ya watu ninyi, Mungu anawaona. Uwaweke ndani kwa kosa lipi hasa? JPM ameonyesha njia, wengi waliohusika hawajatajwa. Huwezi kuangamiza mchwa bila kushughulika na malkia. Kazi nzuri hii ya JPM itaharibika kwa kubangaika na chenge, tukomae na barrick ndio kwenye manufaa.
Siasa imetosha sasa katika jambo hili la makinikia, tuchape kazi. Kwa maoni yangu, tungeishia hapo tulipofikia. Tuhangaike na Barrick tuwaache hao kina chenge. Tukisema tukomae nao itaendelea kuwaingiza na kuwachafua wazee wetu JK na Mkapa na CCM kwa ujumla. Tupotezee tu.
Tuvute subira tuone impact ya kazi yao, inaweza kuwa positive au negative kwenye uchumi wa nchi na uwekezaji kwenye sekta ya madini kwa ujumla. Muda ni mwalimu mkubwa. Baadhi ya watu wanahofu tunaweza kuwa kama zimbabwe miaka michache ijayo. Ikitoke, tuwanyanganye nishati? Twende kwa subira
Nina uhakika Tume ya JPM ya Makinikia imemdanganya sana Rais na Watanzania. Nina ushahidi ufuatao:
1. Wamewaaminisha watanzania kuwa kwenye kila kontena moja tunapoteza 1 Trillion shilings badala ya 300m walizosema Acacia. Hapa wanacheza na akili zetu na za JPM kwa kutaja figure hiyo kubwa...
Lakini huwezi kusimamia huko kwa kuwa lab analysis umefanya mwenyewe tena kwenye lab ambayo haina ISO accreditation. Matokeo yako yatapingwa tu mahakamani, maana ulichukua sampuli mwenyewe kwa utaratibu wako ukafanya analysis mwenyewe kwenye MAABARA ya GST ambayo haina hata ISO, utawashindaje...
MAELEZO YAKO NI BAYANA KABISA. UKIFUATILIA TAARIFA YA KAMATI, UTABAINI KUWA MRABAHA WA WASTANI TULIOSTAHILI KULIPWA NI TZS BILIONI 33.788 NA MRABAHA AMBAO ULIKUWA DECLARED (PROVISIONAL) NA ACACIA NI TZS BILIONI 4.484. HIVYO TOFAUTI KWA KUINGIZA MADINI YOTE YALIYOTAJWA NA KAMATI NI TZS BILIONI...
KAMA LENGO NI KUFUKUA MAKABURI, WAFUATAO WAFANYIWE UCHUNGUZI NA KUCHUKULIWA HATUA KUHUSU SAGA HILI LA KUIBIWA MADINI:
MARAIS - BENJAMIN MKAPA NA JAKAYA MRISHO KIKWETE
MAWAZIRI - JAKAYA MRISHO KIKWETE, IBRAHIM MSABAHA, MAOKOLA MAJOGO, DANIEL YONA, KARAMAGI, SIMBACHAWENE NA MUHONGO
KATIBU MKUU...
Dada mmoja aliulizwa kazini amepata wapi hela ya kununulia gari akamjibu boss wake, ana wateja wanaopenda tigo wanamlipa vizuri, kesi ikaisha. Tegemea majibu hayo
Mbona unamsahau Prof. Muhongo na Dr. Kalemani? Nao wamekula za uso kwani waliwaondoa juzi wachimbaji wadogo huko Mwakitolyo na leo JPM ameagiza warudi na leseni ya mwekezaji ifutwe. Only in Tanzania kiongozi anakula za uso lakini Hajiuzulu. Kweli njaa
Naona una ugonjwa hatari sana. Ni Mungu pekee ambaye hana mbadala. Kumbuka hiyo Wizara aliikuta na itaendelea kuwepo. Usitoe lugha hizo kwa vile inanufaika kupitia kwake. Watch out
Ukitaka kujua udhaifu wa Muhongo nenda pale Wizarani kwake uone namna alivyovuruga watumishi wake, hawana hamu nae. Ana watu wachache sana anaofanya nao kazi. Ni bingwa wa kupokea na kufanyia kazi majungu. Hili la Dangote, yawezekana kabisa anatumika na wazalishaji wa makaa ya mawe kwa sababu...
Hiyo riba wanaibebaje wakati inawekwa na Benki kwenye akaunti hiyohiyo ya Serikali au taasisi husika. Kuitoa hiyo hela ni lazima unyoshe maelezo na CA anakagua. Naomba kuelimishwa hapa
Nasikia Jimboni kwake ametoa Ambulance nyingi na jana kagawa vitabu vya milioni 500. Pia ana gari mpya kali sana. Hivi katoa wapi hela Prof au nae alilamba za Escrow?
Jamani hao si wawarudishe kazini tu ili watumikie mishahara wanayolipwa? Sasa mtu ana umri wa miaka 40 utamlipa mshahara bila kufanya kazi kwa miaka 15 ili akifikisha miaka 55 umstaafishe kwa lazima? Hapo kwa naibu katibu mkuu atakuwa amepokea kati ya milioni 600 hadi bilioni moja bila kufanya...
Na ndivyo itakavyokuwa, wengi hawatakutwa na hatia. Ilikuwa ni majungu tu kwa kwenda mbele na fitina kazini. Ushauri wangu, wale ambao hawana issue za msingi warudishwe kazini ili kuepusha double payment ya salaries.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.