Search results

  1. dalalitz

    Martina Big: Mwanadada, mzungu aliejibadikisha na kuwa mweusi kama Mbantu ngozi na macho

    Hii Dunia haiishi viroja. Huku Dada zetu, Wabantu kama mimi wakipishana kuingia Maduka ya Vipodozi hadi wengine kufikia hatua ya kujidhuru kutokana na kupaka mikorogo isiyo ya viwango maalum ilimradi tu wawe na ngozi nyeupe (Kama Wazungu) wakiamini pengine inavutia zaidi ya ile waliyojaaliwa...
  2. dalalitz

    Eric Prince asema ni wakati Afrika itawaliwe tena. Haya ni matusi, lakini inafikirisha

    Hili lijamaa ni libobevu kwenye Mapigano Majini ( US-NAVY SEAL) 'listahafu' na pia lenye Mapesa yake mengi tu. Sijajua iwapo limetumwa au ni vipi lakini, limenukuliwa likitamka Uozo huo unaoweza kumchefua Muafrika yeyote. Kauli hii inasikitisha. Kuona kuwa inafaa mwingine kutawaliwa, tena Zama...
  3. dalalitz

    Sista, "Kazi ni Kazi" tu sio shida. Mama ataka Polisi waje, kisa mwanae Jobless kununua Benz lake $50,000

    Kwa wengine hii ingekuwa furaha, shangwe, nderemo na vifijo. Kwa mama huyu wa KiNaigeria yeye anaona 'mapichapicha' tu. . Huku akibubujikwa na machozi mithili ya mtu aliefikwa na msiba na akihanikiza na kushinikiza Polisi wahusike kuchunguza imekuwaje mwanae ambae ndio kwanza kamaliza masomo ya...
  4. dalalitz

    Lord Eyez: Hata 1994 tulikuwa hatu-rap anavyo-rap 'Wakazi' sasa

    Inaonekana ni 'Clip' ya karibuni ndani ya Onyesho la kimataifa la SAUTI ZA BUSARA, Zanzibar. TUKIO: Mtangazaji anamsogolea mkongwe, Mwana-HIPHOP-Mahiri, 'Mweusiiii' Lord Eyez. Huku onyesho likiwa linaendelea Stejini na anamdodosa 'Lord Eezy' maoni yake kwa Msanii mwenzake aliyeko stejini wakati...
  5. dalalitz

    Kukumbatia na kuenzi dhana ya utawala wa kifalme kumepitwa na wakati, Waingereza na wengine wamerogwa na nani?

    Kuna huu Uongozi wa Kifalme, Inasemekana hata Afrika zilikuwepo Tawala lukuki zilizokuwa na nguvu za Himaya za Kifalme na kwingineko Ulimwenguni pia. Kwa Afrika, Tawala za Kifalme ingawa unaaminika kuwa zilikuwa nzuri zikiishi kwa Utulivu na amani zilikuja kuvurugwa na kutokomezwa na...
  6. dalalitz

    Mungu si mnyimi, stori ya Emma Kok inasikitisha lakini inafariji na kufurahisha pia

    Anaitwa EMMA KOK, Binti wa miaka 16 tu. Usipoambiwa anayoyapitia Kiafya utadhani ni binti asiekuwa na shida yoyote kimuonekano. Hatahivyo uhalisia ni kuwa binti huyu anao mzigo mkubwa, changamoto anayoipitia. Inasikitisha, inahuzunisha lakini ukiisoma Historia yake na anayoyafanya pasi na shaka...
  7. dalalitz

    Program mpya yaani DV-2024 itaanza rasmi kuchezwa kuanzia tarehe 5/10/2022

    Salaam, Kwa heshma na taadhima tunakumbushana; Ule utaratibu wa kushiriki rasmi katika Bahati nasibu ya Taifa la Amerika [USA DIVERSITY VISA PROGRAM 2024] Kwaajili ya UKAZI WAKUDUMU, yaani Kibali cha Kuhamia na Kufanya kazi USA. Program mpya yaani DV-2024 itaanza rasmi kuchezwa kuanzia tarehe...
  8. dalalitz

    DV-2023 program ( bahati nasibu ya kuhamia U.S.A.) inaanza rasmi kuchezwa tarehe 6/10/2021

    TAARIFA MPYA DV-2023 PROGRAM INAANZA RASMI KUCHEZWA TAREHE 6/10/2021, MWISHO NI TAREHE 9/11/2021. JIANDAE MAPEMA NA CHEZA MAPEMA. HAISHAURIWI KUSUBIRIA TAREHE ZA MWISHONI. KWA MASWALI AU MSAADA/ USHAURI BURE NIPIGIE SIMU WAKATI WOWOTE. ANGALIZO: IWAPO UTANIHITAJI KWA MAJADILIANO/KUKUTANA...
  9. dalalitz

    Uzembe wako ndio Umasikini wako: Kazi hizi za 'Kichovu' zinalipa mno Ulaya/Marekani- Ila uwe 'Kidume' kweli

    Salaam, Kuna watu huwa wanawaponda sana wenzao waliopo Ng’ambo hasa Ulaya na Marekani wakidai kuwa ni ‘Wabeba Maboksi’ tu na hawana lolote. Kituko ni kuwa ukichunguza haohao wanaoitwa Wabeba Maboksi wengi tu ‘wametoboa’ na sasa wana maisha yao mazuri huko waliko. Mwingine anaweza kunidadisi...
  10. dalalitz

    Kati ya Ractis, IST au Premio wapi pazuri pa kujiweka zama hizi?

    Mimi si mjuzi wa upande huu lakini najua tunao wabobezi hapa. Jamaa yangu anauliza ajiweke wapi pazuri zaidi kati ya Gari hizo tajwa? Ufafanuzi wa faida na hasara zinazozitofautisha hizi tafadhali kwa anaezijua haswa na ushauri wowote Mchango wako chanya utashukuriwa.
  11. dalalitz

    DV-2020/DV-2021 Watanzania waliochaguliwa mfanye subira, njia nyeupe

    Heri ya Mwaka Mpya Jamia. Nichukue fursa hii kuwatia Nguvu/Mpya wa-Tanzania wenzetu (wenye Bahati zao) ambao walichaguliwa katika Michakato Miwili ya 'Kubahatisha ' yaani DV-2020 na DV-2021. Kupata Mhuri wa na Gamba la Kijani (Diversity Visa/Green Card) ya huko Marekani. Ikumbukwe mara tu bada...
  12. dalalitz

    House4Rent Apartment/Nyumba zinapangishwa

    Natumai wote wazima. Apartment nzuri zinazojitegemea (Vyumba 2 vya kulala, Sebule,Jiko,Choo) zinapatikana Kimara na Mbezi/MOROGORO Rd. Pamoja na Nyumba (kubwa) za pekeyake zipo hizo na nyingine nyingi. Maeneo tofauti tofauti ya Jiko la Dar. Pia Mikoani tunakupatia huduma kwa uaminifu mkubwa...
  13. dalalitz

    NAUZA:Toyota Hilux ( Double-cabin)

    HABARINO👋 Huu 'mtambo' unavutia na hauna changamoto kubwa za kuumiza kichwa. Gari ipo katika Hali nzuri. Inapatikana Dar. SIFA: Toleo la 1994, Cc 2809, Engine 3L, Imetembea km.202,000. Siti nzuri na ina Radio. HAIJAWAHI KUPATA AJALI. Bei Tshs.15 MILIONI tu. CHANGAMOTO: Lens ya Indicator...
  14. dalalitz

    Bahati nasibu ya kuhamia Marekani-dv 2020 imeanza rasmi

    TAARIFA MPYA DV-2023 PROGRAM INAANZA RASMI KUCHEZWA TAREHE 6/10/2021, MWISHO NI TAREHE 9/11/2021. JIANDAE MAPEMA NA CHEZA MAPEMA. HAISHAURIWI KUSUBIRIA TAREHE ZA MWISHONI. UKIPENDA KUJUA NININI HASA HII PROGRAM INAHUSISHA, MASHARTI,VIGEZO NA TARATIBU ZA KUFUATA IKIWEMO FAIDA ZA KUSHIRIKI NA...
  15. dalalitz

    DV-Lottery 2020 (BAHATI NASIBU ya kuhamia Marekani) Ameanza rasmi,-Changamkaa!

    Naam, Ni ile Bahati nasibu pekee na ya aina yake inayokuwezesha Mtanzania kuhamia MAREKANI, Bila zengwe wala longolongo. Itambulike, Hii ni Bahati nasibu, Inavyo vigezo na masharti maalumi vya kufuatwa na kuzingatiwa, mojawapo ikiwa ni Elimu ya Juu kwa mifumo wa Elimu wa Marekani, (Kuanzia...
  16. dalalitz

    Viwanja Pacha vyenye Hati Miliki Vinauzwa MBWENI-Maputo

    Ni Viwanja 'pacha' kwa Matumizi za Shughuli za makazi. Vinauzwa vyote kwa pamoja au kimojakimoja. Eneo: MBWENI-Maputo, Maarufu kama Kwamasista. Ukubwa: Kimoja ni SQM 1227, Kingine ni SQM 1234. Jumla Viwanja vyote vina eneo la ukubwa wa SQM.2451. Umiliki ni HATI MILIKI ya Wizara ya...
  17. dalalitz

    Afande anasema:"Mkataba wa Kupanga nyumba sasa shurti na 'kapicha ka-mpangaji'"-Hii ikoje Kisheria?

    Kwa nduguzetu Wanasheria, Tamko Kama Hili lina Nguvu ya kiasi gani Kisheria? Kwa ufahamu wangu (mdogo na wamazoea) Picha Haijawahi kuwa, Pia SIO sehemu (kipengele cha lazima) katika Mikataba hasa inayohusiana na Upangaji/Upangishaji Majumba, Kuuziana Sawa ipo na tumezoea. [Ninukuuni]...
  18. dalalitz

    Affordable, Convenient World grade Serviced Offices available in almost all major cities/Capitals.

    HIGHLY AFFORDABLE, WORLD GRADE SERVICED WORK-SPACES AVAILABLE IN ALMOST ALL MAJOR/CAPITAL CITIES ACCROSS THE WORLD. -Ranging from one person’s space, To any (unlimited) number of TEAM members. OPTIONS: -Suite Offices, -Co-working, -Virtual Offices, -Business lounges/Meeting rooms. We also...
  19. dalalitz

    Magufuli na Trump lao moja? Je,yaliyomo yamo?

    Wote ni marais ambao misimamo yao imekuwa haiaminiki kufanikiwa kwa baadhi ya raia wao lakini wakielekea kuwa na misimamo ileile na wakijitahidi kusimamia katika wanachokiamini kufikia katika wanayoamini ndio maisha Bora kwa wananchi wao siku za usoni Rais wa Marekani, Donald Trump na Rais wa...
  20. dalalitz

    Msaada wa 'Materials' za kujifunzia Lugha ya Kifaransa

    Habari. Tukiwa tumebakisha masaa tu kuuaga mwaka, Tumshukuru sana Mungu huku tukiomba mwaka ujao 2018 uje na baraka zake. Moja ya makusudio yangu kwa mwaka ujao ni kujifunza lugha ya Kifaransa. Katika kulifikia hili nafanya maandalizi. Hivyo, Niwaombe rasmi wadau kwa yeyote mwenye 'Materials'...
Back
Top Bottom