Search results

  1. R

    Rafiki wa kweli

    hawa ni marafiki wakweli
  2. R

    happy birthday to me!

    mkuu we share the same date, happy birthday to me, and the same to you!!!
  3. R

    Mfahamu Double Agent wa CIA na EIJ aliyemfundisha OSAMA mbinu za kigaidi na vita

    mkuu nilishawahi kutana na mnunuzi moja wa madini kwa bahati akaja kua rafiki wa karibu, ila mazoea yangu kwake yalinifanya kuamini na kuelewa kua hakua mfanyabiashara wa kawaida, ali kua x special forces, na haya madude yakimaliza kazi zao huko yanaingia kwenye biashara kubwa, jamaa linatisha...
  4. R

    Nimempata Asiyebadilika...

    mkuu hata mimi hua wananisumbua watu kama hawa wanaoquote post ndeeefu , si vibaya kujibu moja kwa moja maana wote tunaelewa mchango unakua unatoa majibu katika ishu gani
  5. R

    Dar hakuna mwanamke wa kuoa, mnaohitaji kuoa, mkaoe mikoani!!!

    mkuu upo sahihi, kwa ufupi asilimia kubwa ya wachangiaji wa hii mada ni wanawake na probably wanakaa Dar. Mkuu ni kweli kabisa kuhusiana na jambo hili unalolisema na si ajabu kupata changamoto kama ulivyozipata kutoka kwa wachangia mada. Wanawake wa dar wengi ni wajuaji, si waaminifu, wanapenda...
  6. R

    natafuta mrembo wa kula nae sikukuu tu.

    mko bize saluni ama??
  7. R

    .......uso kwa uso na mwana JF mwenzangu

    mbona karefu hivyo nimesoma mpaka nimechoka jamani nisimulieni
  8. R

    natafuta mrembo wa kula nae sikukuu tu.

    Bajeti itapitishwa na wizara ya PM, ni PM tujadiliane bajeti
  9. R

    natafuta mrembo wa kula nae sikukuu tu.

    Bajeti yangu nasubiria ipitishwe na bunge la ubongo wangu. Kwa siku tatu tu.. Yaani leo usiku mkesha... Kesho sikukuu, Na kesho kutwa Tunaachana... Ukuwa serious ni PM!!
  10. R

    Hii ya kufungua Club ya dini imekaaje wakuu?

    naunga mguu sema jamaa wameniwahi tu lakini i had a similar idea
  11. R

    Jinsi gani ya kufukuza paka nyumbani?

    wewe kaa nae chini mpe nauli aende kwao mwambie umemchoka na huna mpango nae
  12. R

    Our Next President in 2015

    Kwame Nkrumah came out from prison and became president. Nelson Mandela from prison to president. Obasanjo from prison to president. Theodore Orji from prison to governor. Omisore Iyiola from prison to senator. Al Mustapha from prison to brigadier. Robert Mugabe from prison to prime minister...
  13. R

    New!!! MOBILE MARKETING

    Thieves , you stole this idea from someone, get prepared for a law suit, i know this guy who was coming to your offices to seek for financial assistance to start this project but you stole the idea from him and you started it yourselves.
  14. R

    Ukisafiri lazima useme kua umefika unakokwenda.

    Uswahili nao matatizo sasa.. kuna ulazima wa kutangaza kua umefika kule unakokwenda kwa ulio waacha sidhani sijui nyie wadau mnamtazamo gani
  15. R

    Madeni yangu mwezi huu..

    Nadaiwa: Matumiz kwa bi mkubwa.. My fiancee.. Kodi ya nyumba.. michango ya kanisani.. Michango ya harusi... matumizi kwa dogo shule... BADO: Mimi sijala, sijavaa, sijakunywa bia... Nitakoma
  16. R

    nawapenda mabinti wembaba.

    watu bana umu Jei efu, mi nasema napenda wao wanakasirika , sasa mnakasirika nini naomba majibu
  17. R

    nawapenda mabinti wembaba.

    ndiocho ulichoamua kupost hapa?? unless uwe binti mwembaba, ila kama si binti mwembamba basi we utakua bonge
  18. R

    nawapenda mabinti wembaba.

    wakati tukisubiria matokeo wewe unapenda wapi mkuu, au hujitambui
  19. R

    nawapenda mabinti wembaba.

    tehe tehe haya nitaacha kidogo just for u..
Back
Top Bottom