Search results

  1. MrFroasty

    A third force in Zanzibar Politics A.M.Babu

    Nyaraka kutoka kwenye old archive:
  2. MrFroasty

    Ushauri kwa Serikali zote mbili - Uchimbaji Mafuta

    Najua kuna harakati au mchakato wa kuchimba mafuta. Dunia inaelekea kwenye chanzo cha umeme hususani nchi nyingi zishatoa matamko ya kupiga marufuku magari ya mafuta. Hii ina maana madini haya mafuta hayana future na bei yake itapungua kwa kasi miaka ijayo. Nchi zilotoa misimamo ya kusimamisha...
  3. MrFroasty

    Mchakato wa kuwatoa Masheikh na Waislamu magerezani

    Asalamaleykum, Nashauri Waislamu kwa umoja wao na wote wapenda haki dunia nzima kuanza mchakato wa kushinikiza Serikali ya Tanzania na Zanzibar kuwatoa waislamu walioko magerezani. Tunajua masheikh kama wa UAMSHO wako ndani kwa sababu zisizoeleweka/kisiasa zaidi. Mchakato huu utakuwa na...
  4. MrFroasty

    Maswali ya Wazanzibari kwa CCM

    Ni vyema wawaambie Wazanzibari wameshindwa nini kuiletea Zanzibar maendeleo tokea 1977 wakati Chama chao kilipoanzishwa hadi leo? Cha muhimu zaidi, wawajibu Wazanzibari angalau Masuala 7 yafuatayo kati ya masuala zaidi ya 700 ambayo Wazanzibari wanayo: - Kwa nini walitumia Jeshi mwaka 2015...
  5. MrFroasty

    Ushauri na muongozo wa kiusalama kwa raia, hususan Pemba

    Asalam aleykum, Nilishawahi kutoa ushauri huu awali na wala sio wazo jipya nchini, nishauri wananchi wajipange na kuunda vikosi vya kujilinda kwenye vitongoji au vijiji vyao. Hili wazo ni sawa na lile la Sungusungu miaka ya zamani. Si jipya na wala halihitaji leseni ya serekali. Nashauri...
  6. MrFroasty

    Tanganyika ilikufaje Z'bar ikasalimika?

    Joseph Mihangwa MIAKA 46 tangu meli ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ing'oe nanga, Aprili 26, 1964 hadi sasa; bado inaendelea kuyumba kwa kusukwasukwa na mawimbi makali na kusababisha adha kubwa, kizunguzungu na kichefuchefu kwa wasafiri. Na ingawa meli hii ilianza vyema safari yake, kwa...
  7. MrFroasty

    Ujumbe kutoka Zanzibar

  8. MrFroasty

    Hoja za Lula-Maridhiano ya Zanzibar yatokane na kanuni

    Huyu mwandishi kasomea uandishi au basi ni mwana maskani aliepewa kalamu na kuanza kudumaza akili za jamii? Kwa waandishi kama hawa kazi tunayo kweli kweli...:confused: Maridhiano ya Zanzibar yatokane na kanuni Lula wa Ndali-Mwananzela Januari 27, 2010 KWANZA sina budi kushukuru...
  9. MrFroasty

    Masuala mazito yote tuletewe wananchi

    Masuala mazito yote tuletewe wananchi Kwa kweli sijuwi kama Msekwa, Makamba na vibaraka vyao wamezidiwa na uzee?Mimi napenda kuamini kama msimamo unaendelea sasa hivi Barazani kutoka kwa ndugu zetu wa CCM, ni msimamo uliokuja kusisitizwa au kutisha wana CCM hapo Zanzibar katika kikao cha...
  10. MrFroasty

    Hawa vijana wamekatwa wakifanya nini?Gay?

    Daraleo: Vijana wawili wakiwa mikononi mwa polisi mara baada ya kukamatwa katika eneo la makutano ya barabara za Samora na Mkwepu wakipelekwa kituo cha polisi Makao Makuu,Dar es Salaam, jana asubuhi.Haikufahamika chanzo cha wahusika kukamatwa.(Picha na Heri Shaaban)
  11. MrFroasty

    CCM yaendeleza ubabe dhidi ya serekali za wananchi

    Majuzi nilitoa thread kuonesha suala la Richmond jinsi matakwa ya wabunge yalivyotupiliwa mbali, na watu kufanya wanavyotaka. Hii itakuwa ni thread ya nyengine, jinsi chama cha CCM kinavyoendeleza ubabe dhidi ya matakwa ya wananchi.Hivi kelele zote zile za kuheshimu katiba ndio hizi za...
  12. MrFroasty

    Ugawaji majimbo wa NEC

    Wana JF na wadanganyika kwa ujumla, Ningelipenda nikakupeni kidokezo juu ya ugawaji majimbo, mimi binafsi yangu ni mzanzibari na katika historia yetu huko visiwani tushashuhudia ugawaji majimbo mara karibuni 2. Mara zote hizo 2 ugawaji majimbo hufanywa na serekali ya iliyoko madarakani...
  13. MrFroasty

    Maridhiano ya Wazanzibari: Ufafanuzi wa taarifa za magazeti

    MARIDHIANO YA WAZANZIBARI: UFAFANUZI 24 Januari 2010 Kutokana na kuwepo kwa wimbi la upotoshaji wa habari zinazohusu Maridhiano ya Wazanzibari katika vyombo mbali mbali vya habari, Kurugenzi ya Uenezi na Mahusiano na Umma ya Chama cha Wananchi (CUF) imeamua kutoa ufafanuzi ufuatao kwa...
  14. MrFroasty

    Serikali yatunishia misuli wabunge

    Sasa kusema serekali inapuuza maagizo ya Bunge si ndio kusema kama unapuuza matakwa ya wananchi.Ikiwa Bunge ndio linawakilisha wananchi, na wanapigia kelele wabunge ndio kilio cha wanyonge na wananchi waliowengi. Sasa hii nchi inafuata sheria za utawala bora au basi ni wizi mtupu? Serikali...
  15. MrFroasty

    Profesa Shivji-Maridhiano ya Zanzibar

    Prof.Shivji ni mtu mtaalamu na anajua anachokizungumzia.Ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya watu ambao wengi hawajuwi hali halisi ya visiwani Zanzibar na wala hawaathiriki na vurugu za huko. Watu hawa ni kama Makamba, Msekwa, Lula wa Ndali-Mwananzela na wengineo wengi kutumia nguvu za ziada...
  16. MrFroasty

    Identity Politics in Zanzibar and Challenges to Democratic Consolidation in Tanzania

    Huu ni utafiti wa kitaalamu juu ya siasa za Zanzibar na mabavu yanavyotumika kuendeleza kuvitawala visiwa hivyo chini ya CCM. Ningelipenda mukakumbuka kuwa kushinda chaguzi ni moja ya sera ya CCM, ambapo hufanya vyovyote hata kuuwa raiya wasio na hatia lakini ni lazima wapate ushindi...
  17. MrFroasty

    Sudan kukubali kusini ijitenge?-Bado Tanganyika kukubali!

    Rais Omar al-Bashir amesema atakubali upande wa kusini ujitenge iwapo raia wa eneo hilo watapiga kura ya maoni ya kutaka uhuru wao mwakani. Akizungumza wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka mitano tangu kumalizika kwa vita vya pande mbili za kusini na kaskazini, chama chake cha Northern...
  18. MrFroasty

    Naomba msaada wa data za kisiasa

    Habari wana JF. Naomba misaada ya informations, nilikuwa niko bizzi kutafuta informations zifuatazo: #Katiba ya chama cha Wananchi CUF....(ya CCM ninayo tayari, kama unaitaka sema tuu utapewa link) :-) #Official Website ya CUF, nimekwisha kugoogle bila ya mafanikio. #Website ya BLW, nayo...
  19. MrFroasty

    Mtikila atupwa rumande! Demokrasia itapatikana?

    Ikiwa magazeti yanafungiwa, na wapinzani wanarushwa jela. Demokrasia itapatikana? MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo imemfutia dhamana Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila. Mtikila anakabiliwa na tuhuma za kumwita Rais Jakaya Kikwete gaidi...
  20. MrFroasty

    Ni sawa kusherehekea mapinduzi ya 1972?

    Mie napenda kuuliza, kama ni sawa kusherehekea mauaji ya wazanzibari yaliyofanyika mwaka 64.Wengi watakuja na hoja zao yameleta ukombozi na porojo jengine, jee ni sawa kusherehekea mauaji ya 1972? Tujaalie kuwa wapo wazanzibari ambao wamefaidika na mapinduzi ya 1972, kama ilivyo hoja ya hayo...
Back
Top Bottom