Search results

  1. Mtabiri

    Scholarships in India 2010/2011

    nami pia nimeshindwa kufungua hiyo file
  2. Mtabiri

    China to become the world superpower in 90 years?

    Kwa speed wanayoenda nayo hawa jamaa, naona hata 90yr ni mbali sana. Ila wanaanza kulewa sifa,wataharibu muda si mrefu.
  3. Mtabiri

    Asilimia 40 ya wanaume wanatunza watoto sio wao

    Maumivu ya tumbo huanza taratibu!!
  4. Mtabiri

    HESLB: Sheria-mpya!

    Kwenye red hapo mkuu. Unatutisha tusimsaidie au unamaana gani? Huyo dada/kaka kaomba kueleweshwa sasa wewe unaposema stay away na watu kama hawa unatumia mamlaka gani humu JF? Unanishawishi kuamini wewe ni mwanafunzi fake huko China. Wanafunzi wa kweli hua wanasaidiana na kueleweshana,walau kwa...
  5. Mtabiri

    Nikaishi wapi Dar hii, nikimbie hizi foleni?

    Kumbe ndio maana madogo wa UDSM waishio mabibo hua wanaamua kuua winga tu. Hahahaha
  6. Mtabiri

    HESLB: Sheria-mpya!

    Taratibu mkuu, punguza ukali wa maneno umweleweshe mwenzio.
  7. Mtabiri

    HESLB: Sheria-mpya!

    Kama ubalozi wenu umeamua mjiandikishe online nafikiri hiyo ni rahisi zaidi kwenu mkuu. Otherwise wangewaambia msafiri kutoka miji yote ya huko China kwenu mpaka uliko ubalozi kwa lengo la kujiandikisha,hapo ndio ingekua mzozo. Kujiandikisha kama haina malipo mengine sioni kama ni kazi. Ni...
  8. Mtabiri

    Tuwaombee wa Nigeria

    Ndivyo tulivyo siku nyingi. Sasa hapo raisi mwislama lakini bado wangependa atoke kule visiwani, na wakipata nafasi atoke kule bado wataanza mambo ya unguja na pemba. Sisi yetu macho tumebaki bara tunakula bata tu,siku zinaenda!
  9. Mtabiri

    Jamani mbona wahamihaji haramu ni wengi Sana Tz??

    Unaonekana kuogopa mada ya waTZ wanaoishi nje illegally, Kwani shida iko wapi? Kama unataka kutendewa justice na wewe lazima utende justice.
  10. Mtabiri

    Papa ateua maaskofu wasaidizi wawili Dar

    Acha kuargue kwa vitu usivyovijua bana. Unafikiri anasoma kwa siri? Mambo ya Kanisa yanaenda kwa mipangilio na wamehakikisha shule atamaliza na appoitment hiyo haitaathiri shule yake hata kidogo. Unajua ni kwanini wameteuliwa wawili? Unajua nani kamtuma asome hiyo shule na kwanini aamriwe aache...
  11. Mtabiri

    Who is superpower in EAC? TZ or Kenya?

    bila kupoteza muda na kufinyangafinyanga maneno wala kujipendelea, Kenya wapo juu mkuu
  12. Mtabiri

    Lucas Selelii adai Bungeni kwamba wa-Bara wanabaguliwa Zenj!!

    Tatizo la hawa wenzetu ni ubaguzi na uchoyo tu. Nimeshakaa nao sehem nyingi ndani na nje ya TZ wanapenda sana umimi,kila mara wanajiangalia wao kwanza wakati sisi tunawachukulia kama waTZ wao wanatuona wabara. Mtabadirika lini???? Tena wengine wamesoma vizuri tu lakini wapi!
  13. Mtabiri

    'Dr' Aisha Kigoda

    Yale yale ya "Advanced Diploma ni sawa na degree" wapi na wapi? Diploma ni diploma na degree ni degree bana. Itabaki kuwa hivyo. Kwanza hata entry qualification za kuingia diploma ni far different from those that make one start his/her M.D classes. Leo tuwaone wote sawa kwanini? tutakua...
  14. Mtabiri

    Natafuta ajira..

    Unaonekana ni mmoja wa wale wanaotembelea jukwaa la jokes tu kila kukicha. Badirika kidogo mkuu otherwise utashangaa hata job unaelekezwa kitu cha maana wewe waleta masihala. Jaribu kuwa serious na mambo ya watu basi kama yako mwenyewe ushayakatia tamaa.
  15. Mtabiri

    Je Siasa ni ajira ya Ukoo?

    Loh, kwa mtaji huo basi tumekwisha!!!!!!!!!!!!!!!!!
  16. Mtabiri

    Mtoto wa kigogo ahusishwa tukio la ubakaji hoteli ya KNCU

    Ila hizi story za watu kumega wake za watu huko Moshi mbona zinazidi jamani? Muda si mrefu MC Lema kasababisha story ya design hizi hapa, mara hiyo. Kulikoni???
  17. Mtabiri

    Anne Kilango ataka mawaziri wachaguliwe na wananchi

    Yaani katika mambo yote ya kuandika mkuu ndio umeona utoke kwa design hiyo? Yaani wewe upeo wako wa kufikiria ndio umekufikisha hapo? Can you come with examples of such people please? Otherwise watake lazi watoto wa masikini walioenda such places. Inamaana wewe upo sehem uliyopo kwa kigezo cha...
  18. Mtabiri

    waliopita Chuo cha magereza kiwira: tujikumbushe

    Unanikumbusha mambo ya Daraja la Mungu na mto kiwira. Vipi bia za kwa mama woka?
  19. Mtabiri

    Mchongo wa kazi huu jamani

    CAREER OPPORTUNITIES AT NILE BASIN DISCOURSE In a bid to consolidate its achievement to date, the NBD is inviting committed, competent and dynamic professionals from the riparian countries to apply for vacancies within the NBD team of staff based in Entebbe, Kigali and Addis Ababa Posted On...
  20. Mtabiri

    Unaitaji meneja wa kampeni za ubunge 2010?

    Niko tayari kumfanyia kampeni Mnyika tu Ubungo. If he is accessible could he please PM me? He is packagable!!!!!
Back
Top Bottom