Hakuna cha utawala hapa, supply imezidi mahitaji, kwanini wanafungulia maji badala ya kiwasha mitambo yote 9 na kushusha bei?! Tuache kutumia dollar kuagiza gesi za kupikia sasa, tutumie majiko ya umeme, maana umeme wanaumwaga bure tu na kuketa mafuriko wakati wangeweza kuzalisha umeme zaidi!
Shindwa na ulegee!!! Yale yalikuwa ni maoni yangu endapo umeme wote ungezalishwa na kuuzwa, badalayake wamezima mitambo na kufungulia bwawa iki umeme usiwe mwingi, otherwise bei ishuke!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.