Search results

  1. Adoo

    Tikiti zangu zinanyauka majani- msaada wa mawazo tafadhali

    Looks like dehydration, unamwagilia mara mbili? Maji ya kutosha? Na pia u need kupiga booster ya majani
  2. Adoo

    Msaada: Lotion ama mafuta ya kutumia kwa uso wenye mafuta mengi

    Ni kweli tumia cleanser, na osha uso mara kwa mara na sabuni isiyo na mafuta kama Dove ni nzuri sana
  3. Adoo

    Uchumi wa Tanzania unaelekea wapi? Mauzo DSE yashuka kwa asilimia 81. Haijawahi kutokea

    Wenye miono yao washajua na wametulia, tutakapoanza kuuza minerals zetu kwa halali, kuuza gas yetu na helium kwa mikataba iliyo wazi sio kama mabomba ya bandarini ya mafuta, tutakapoanza kutumia bomba LA mafuta kwenda Uganda, wanafiki wote watakaa kimya na maisha yatakuwa bora tu, huwezi kwenda...
  4. Adoo

    Nipo njia panda kuhusiana na kampuni ya interchicks

    Chukua vile vya Arusha vya TPF vizuri sana hasa mbegu yao nzito, hao vifaranga kawachukulie Dr's report ujue sababu kama chanzo sio kwako, kawadai waonyeshe report
  5. Adoo

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Mapochi ya kina Dada ya mitumba, unanunua kwa jumla unasafisha vizuri, shona yawe kwenye hali nzuri, unayauza being nzuti maana ni leather na material yake mengine ni imara, yanahitaji muda was kuyarrkebisha tu, yatakulipa sana kwa hela hiyo
  6. Adoo

    ( Photos ) 10 Most Beautiful Female Radio Presenters In Tanzania

    Mzuri wa ukweli kati yao wote kwa kila idara alikuwa marehemu Amina Chifupa tu!
  7. Adoo

    Hivi sheria ya kuwatambua mashoga ikipitishwa ntajificha wapi??

    Kwa hiyo umeona hayo tu yatakayoathiri jamii zetu, private life ya watu na lifestyle ya mtu? Huoni kama huo ni mpaka unaovuka usiokuhusu? Hauoni tatizo lingine lolote, huwaoni watoto wasiosoma, vijana walokosa ajira, maharamia, ugumu wa maisha....vyote hivi haviathiri jamii yetu na kuhitaji...
  8. Adoo

    Nchi 10 afrika zenye wanawake wazuri zaidi, Tanzania yashika namba 3

    Umechemka kabisa uzuri huu ni biased on sthing, umewaacha wazuri wa asili Namibia na Zimb
  9. Adoo

    Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Msaada kujua sources za Unreptd cases online please
  10. Adoo

    I am in love with my brother

    I have an idea for u, how about u move away from one another, sababu inaonyesha the main reason u two r so close is bse mko karibu sana, try na move elsewhere, am sure it will help u dada, i know feelings can b very tricky, lakini u will meet some1 u can b intimate with, but not ur Bro, :)
  11. Adoo

    Nataka kwenda Australia kutafuta maisha

    Lazima uwe na mtu wa kukupokea, vitu vinavyoumizaga kwa wenzetu ni rent, tax, bills (gas, electr na water) ukiwa na mtu wa kushare nae place will always b on ur advantage, pili australia wana tier system, watch out for that, angalia kama utaqualify points zako hata kama umesoma kwao, best option...
  12. Adoo

    Msaada: Jinsi ya kulima matikiti ili nisipate tena hasara

    Matikiti hasa yanataka jua, ila huyo mtt wako hajayamwagilia maji ya kutosha, na pia upige dawa kuzuia wadudu wasigonge maua yanapoalikA, ila muhimu maji hasa hiki ndio kilindi kizuri cha kupanda, pole kwa hasara, pia angalia mbolea unapopanda , kama kali sana inaweza kusababisha yakakosa afya...
  13. Adoo

    Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Mi nataka kujua link itakoyoweza kunipa unreported cases, please kama munaijua niwekeeni, asanteni
  14. Adoo

    Je, Hili ni kweli kuhusu nyoka?

    Mmmm ni kweli kwa yule nyoka mwenye jicho moja, anapenda sana kutemewa mate na wala hatokukimbia, unamtaka umjaribu :)
  15. Adoo

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Tatizo ni muda gani hizo picha zenu zilipigwa? Watu walianza kujikusanya mapema, au ndio chiki binafsi jama
  16. Adoo

    TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Ni D Balali ndie aliesema kuwa kuna mwanasiasa mkubwa atafariki na mambo mengine ikiwemo Magufuli atashinda na upinzani itapata idadi kubwa ya viti, anzeni kuhesabu utabiri wake....napita , RIP mch
  17. Adoo

    Kwanini ukubali kushikwashikwa na mwanaume usiemfahamu?

    sasa hauoni kama inakuwa si jambo zuri kufanya hadharani? Hasa hapa ndio pana msingi wa swali lenyewe
  18. Adoo

    Kwanini ukubali kushikwashikwa na mwanaume usiemfahamu?

    Unaelewa maana ya mada? na umeisoma vizuri hiyo topic? Ina haja gani ya mimi kueleza kama yamenikuta au la? hiki ni kitu kilichopo ndani ya jamii na nilichofanya ni kutaka kujua jinsi gani watu au wanajamii wanalichukulia jambo hili, na ndio maana nikasema uwe na hoja sio unakuja kuuliza swali...
Back
Top Bottom