Search results

  1. M

    Uchaguzi 2020 Tujadili kwa manufaa ya Taifa: Uchaguzi 2020 twende na Nani na kwanini?

    Nimeona thread nyingi zikimponda huyu na kumsifia yule kuhusu uchaguzi wa uraisi 2020.. nikapata wazo , kwanini tusijadili bila ushabiki wa vyama vyetu , kwa maslahi ya taifa letu kwanza kwani tukikosea kuchagua tunaumia wote , Ni Nani anayefaa kutuongoza Tena kwa miaka mongine mitano mbele...
  2. M

    Wilaya ya Buhigwe mkoani kigoma imeundwa kimakosa

    Wadau , habari zenu ..!! Napenda niende moja kwa moja kwenye hoja yangu Wilaya ya Buhigwe iko mkoani kigoma iliyogawanywa kutokea wilaya ya kasulu , buhigwe Ni kata yenye vijiji kadhaa na ndio makao makuu ya wilaya kiutawala , ukiafika buhigwe utadhani siyo wilaya kulingana na mazingira na...
  3. M

    Uraia wa Rwanda na jinsi ya kuupata

    Wadau, Naomba kufahamu utaratibu wa kupata uraia wa Rwanda .. Nimetoka kutamani Sana kuishi huko kutokana na jinsi raisi wao anavyopambana kuwasaidia wanainchi wake waishi maisha mazuri Nisiongee Sana maana Kuna watu humu wakisikia jina la kagame wanatetemeka na wengine wanachukia Naombeni...
  4. M

    Petition ya kumuunga mkono CAG inasainiwa wapi ??

    Wadau naomba kujuzwa nitawezaje kupata hiyo petition ili na Mimi nisaini ?? Hi ni kwasababu bunge linahisi lenyewe Ni Bora kuliko maslahi mapana ya watanzania , mahesabu ya Kodi yetu Ni muhimu Sana kuliko hao
  5. M

    Kwanini Mwami Zitto Zuberi Kabwe hashuki kisiasa?

    Nimefuatilia Sana na kufanya ka uchunguzi kadogo Sana ingawa Sina data za kutosha , nimegundua kwamba miongoni mwa wanasiasa ambao wamebaki kwenye chati yao waliyoanza nayo ni huyu kijana zitto Nimemufahamu zitto tangu kwenye kashfa ya Buzwagi ambapo ndipo alipata umaarufu wake na ameendelea...
  6. M

    Nkurunziza Sasa aanza kutapatapa, baada ya kukwaruzana na KAGAME, Sasa Ni zamu ya Museveni

    Huyu jamaa ni dhahiri shahiri kwamba anatapatapa Sana , kwani ataivuruga EAC ,. Alitoka kumshutumu kagàme kwamba anahtarisha usalama wa inchi yake , Sasa hivi karibuni amekwaruzana na museveni .. Mu7 alimushauri akae meza moja na wapinzani , yeye akamjia juu kwamba hawezi kukaa meza moja na...
  7. M

    Kwanini Kagame anachukiwa sana humu JF?

    Nimepitia threads nyingi Sana na comments za watu zinazomhusu Paul kagàme, nimesikitika Sana kwa njisi ambavyo watu hawamupendi kagàme , ninaomba tufanye uchunguzi na comments bila chuki binafsi Angalieni , katika inchi za Afrika au duniani kote , Ni raisi gani amefanikiwa katika kuiletea...
  8. M

    Je, ni kweli Tanzania mbwa ana thamani kuliko uhai wa binadamu?

    Nimesikia Waziri akimtafuta mbwa aliyepotea kwa nguvu zote. Kuna watu wengi wamepotea lakini hatusikii wakitafutwa kama huyu mbwa anavyotafutwa. Waliopotea ni wengi kama Azori Gwanda na Ben saanane. Sasa sijui hii imekaaje ?
  9. M

    Tanzania ya viwanda : Je , Ndege kubwa kutua Tanzania ni big deal kwa mahitaji ya watanzania kwa Sasa ??

    Imenikumbusha enzi zetu kijijini , Gari kuonekana mtaani ilikuwa ni sherehe kubwa , Basi watoto wote mtaani tunaenda kuishangaa , Nadhani hii ya juzi ya ndege kubwa ukilinganisha na Bombadier Kutua tz ni Jambo la ajabu Sana, Ndege imetua tu kwa dharura watu wanashangilia Kweli kana kwamba...
  10. M

    Naona taratibu Lissu anasahaulika

    Wadau, Nauliza tu, Hivi kwa dalili hizi , siyo kwamba inshu ya Lissu ndio imeshaisha tayari kama ilivyokuwa kwa yule daktari aliyengolewa kucha? Nakumbuka mzee JK alipokua akiandamwa na kashfa mbali mbali alikua anasema huo ni upepo utapita tu, Sijui na hili la Lissu ni upepo tu????
  11. M

    Tunahitaji spika huru asiyekuwa na chama

    Wadau, naomba kanuni za bunge zirekebishwe.. Lengo ni kupata spika. Wa bunge ambaye Hana chama chochote Cha kisiasa ili haki itendeke.. Spika yeyote hata Kama angetoka chadema lazima angekuwa Kama job ndugai kwa kuonyesha ushabiki wa kichama badala ya kusimamia Sheria na kutenda haki Bila...
  12. M

    Ni kwanini watu wengi hasa watanzania wanaipenda Rwanda?

    Wadau... Huwa nikipita mitaani hapa Tanzania huwa hasikia watu wengi wakiisifia Sana inchi ya Rwanda na rais wao mpendwa kagame.. Inafikia hatua Hadi wanatamani Sana kuwa wanyarwanda kulingana na mafanikio waliyonayo kwa kipindi kifupi know.. Mfano, utasikia watu wakisema eti mm Babu yangu ama...
  13. M

    Harufu ya ufisadi kijijini Msoga kwa JK

    Wadau, Kuna majengo ya Kifahari yamejenga japo Msoga, Pia kuna barabara za lami zinaingia ndani ya Kijiji. Sijui nani kafanya yote haya? Je, ni JK? Na kama ni yeye, Kafanya kwa hela zipi? Na kwanini iwe Msoga tu?
  14. M

    Zitto Na Kabourou Kupambana Ndani Ya Kigoma Mjini

    .... Ex Chadema Watakuwa Katika Mpambano Wa Kuwania Jimbo La Kigoma Mjini. Hii Ni Baada Ya Kuwepo Tetesi Kwamba Amani Warid Kabourou, Ambaye Alikuwa Chadema Atagombea Ubunge Kupitia Ccm, Huku Zzk Naye Pia Alikuwa Cdm Atagombea Jimbo Hilo Kupitia Act. Zzk Amelikimbia Jimbo Lake La Awali Baada Ya...
  15. M

    Mbinu chafu za CCM uandikishaji BVR hizi hapa.!

    Wanachukua Kadi Za Wanachama Wao Na Kuwaandikisha Mapema Iwezekenavyo, Na Hii Inafanywa Kwa Siri Kubwa. Wakishaandikisha Watu Wao Huwashinikiza Waandikishaji Waseme Kwamba Mashine Ni Mbovu Na Huwa Ni Pale Wanapoona Vijana Ndo Wako Kwenye Foleni Ilimradi Waandikishwe Wachache. UKAWA Hilo...
  16. M

    'white Hair' Akiwa Rais Wa Tanzania, Nitaamini Akili Zetu Ni Kama Kuku.

    .... Wadau, Mwenye Macho Haambiwi Tazama. Wagombea Wa Urais Ndani Ya Ccm Wengi Wanatumia Sana Hela Kuisaka Ikulu Ingawa Matumizi Ya Hiyo Hela Yanatofautiana Kulingana Na Uwezo Wa Mgombea. .... Kinachonistua Ni Jinsi Huyu Mwenye Nywele Nyeupe Anavyoendelea Kutumia Pesa Nyingi. Mimi Mwenyewe...
  17. M

    Kagame kuongezewa Muhula Mwingine na Wanyarwanda!

    Wadau, Idadi Ya Wanyarwanda Wanaotaka Mabadiriko Ya Katiba Yao Kifungu Cha 101 ili kumruhusu kamanda mpambanaji PAUL RUTAGAMBWA KAGAME atetee nafasi yake katika uchaguzi ujao imezidi kuongezeka mara dufu. Hii Inaonesha Na Huo Ndiyo Ukweli Kwamba KAGAME Ni Lulu Ndani Ya Rwanda, Imefikia Hatu...
  18. M

    Je, Sababu Zipi Zinaweza Kufanya UKAWA Washindwe Uchaguzi Mkuu Mwaka Huu?

    ... Wadau, Kila Nikiumiza Kichwa Sioni Mwanga Mbele Ya Safari Ya Ukombozi Wa Nchi Yetu.. Ukawa Ndiyo Tegemeo Letu Katika Kutuvusha Nchi Ya Ahadi Ya Maziwa Na Asali, Lakini Je, Itawezekana?? Nauliza Hivyo Kwasababu Zifuatazo, Kwanza Ccm Kwa Vyovyote Vile Hawako Tayari Kuachia Madaraka Kwa...
  19. M

    CHADEMA na style ya kupunga mikono hewani

    Katika Mikutano Ya CHADENA, Kuna Style Naipenda Ya Kupunga Mikono Hewani Huku Na Kule Kama Ishara Ya Kwaheri. Naipenda Sana Hiyo Style Lakini Sijaelewa Ina Maana Gani. Nimeona Hata Mikutano Ya Baadhi Ya Maccm Wanaanza Kuiga. Anayejua Maana Ya Huo Mtindo Anifahamishe Tafadhari..!
  20. M

    Sefue: Tumemaliza kumchunguza Maswi

    .... Wadau, Ombeni Sefue Amesema Uchunguzi Wa Kamati Ya Maadili Ya Uma Dhidi Ya Kina Maswi Umekamilika. Ripoti Itawekwa Hadharani Mda Si Mrefu. Wasiwasi Wangu Ni Kwamba Watuhumiwa Wengi Kama Maswi Watasafiswa Na Kuonekana Hawakuhusika Kwenye Sakata La Escrow, Hii Ni Kwasababu Werema Alishasema...
Back
Top Bottom