Search results

  1. N

    Hapa kuna fanana na wapi?

    Panafanana na hapo kwenye picha kwa sababu sio realistic.
  2. N

    Bongo haya yatafika lini?

    Jee kuna ukweli kuwa hiyo gari ni made out of gold? Nadhani imepigwa rangi ya gold tu...
  3. N

    Car names take a look!!

    Umesahau NYUMBU, made in TZ (Kibaha) maana yake ni nini?
  4. N

    CRDB: Sikio la kufa!?

    DANIDA waondoke bana na wenye fweza za EPA wanunue shares hivyo ndivyo tunavyoweza kurudisha nchini hayo mabilioni waliyoficha nchi za nje.
  5. N

    Elizabeth Gupta - BBA 2009 Tz Representative

    Ukiangalia hiyo picha vizuri mbona huyo mwenye shati jeupe nae ana madoa ya jasho kifuani na hamumsemi.... tofauti ya jasho kwapani na kifuani ni ipi? Yote sababu ya hali ya hewa bana labda walitokea mitaa yenye OVEN, so vi-deodorant vikashindwa kufanaya kazi. Wote wamependeza sana bigup guys!
  6. N

    Kwa wachaga tu.

    Hii picha lazima imetokea mitaa ya rombo ndio wanatabia ya kila mtu kirau chake....au unasemaje mdau mwenye topic
  7. N

    Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

    Ukweli kawshangaza wengi kawa kauli zake zisizo na ukweli na zenye lengo la kupotosha umma. Sasa swali liko kwa bosi wake kwa nini hajamwajibisha kinidhamu/kitabia/kimaadili n.k.
  8. N

    Suprise ndani ya distance love... inafaa?

    Huku kusini ni marufuku kurudi nyumbani au kumtembelea mpenzi wako bila taarifa. Ukifanya hivyo ukikuta kuna issue au akikuripoti kwa wazee wa jadi unakula fimbo 6 matakoni na onyo juu. Wanaume huku wanaheshimu hiyo mila yao hivyo issue za kufumaniana ni chache.
  9. N

    Miraa, khat, mirungi

    Utumiaji wa miraa unakupa ujasiri usio wa kawaida statistics from media/news zinaonyesha majambazi sugu/makubwa na masterminder wa matukio makubwa ya ujambazi wanatokea Arusha na wanashirikiana na wa Nairobi, labda miraa its a secret.
  10. N

    Miraa, khat, mirungi

    Hivi hii miraa kwa kiingereza au botanical name yake ni ipi, tunaweza google na kuona madhara yake as proven na pengine kuona duniani inapatikana wapi tena. Mwenye data tafadhali.
  11. N

    Mawaziri Aisha Kigoda na Seif Khatibu watangaza penzi lao Bungeni

    Mbona kulikua na fununu kuwa huyu Aisha Kigoda ni wife wa yule ex-minister wa mipango na uchumi Bw. Kigoda. Ukweli ni upi au kuna katalaka kalikojificha hapo?
  12. N

    Kanumba ndani ya Big Brother House 2009

    WANAJAMII MMEMUONA KANUMBA NDANI YA NYUMBA? LUGHA INAVYOMSUMBUA NA ANAVYOJITAHIDI KUJIFWAGILIA KUWA YEYE NI CELEBRITY? HEBU MCHAMBUENI KIDOGO.... mfano pale BIG alipowataka waandae mapokezi kwa housemate na akawapa dakika kumi za kufanya hivyo... Celebrity Kanumba akasema " so Big want us to...
  13. N

    Waziri Masha, If you can't stand the heat please get out of the kitchen!

    Being so rich as he claimed he need that political office to protect his interests and get even richer through dirty deals in the system.
  14. N

    Viongozi wetu wamependeza!!!

    Mbona Bonge kabadilishana kifaa chake na Mzee Ruksa nnahisi aliona kitamharibia picha?
  15. N

    Facts of Jewish Media Control

    Perhaps you should tell us who do you want to replace jews as media controllers? Otherwise your atticle should end by congratulating jews for making the world such a small village whereby every news is in your finger tips, choosing what to read, watch or buy remains ones personal choice.
Back
Top Bottom