Search results

  1. Augustine Moshi

    Hujuma na maneno bila matendo

    Kuna harufu ya hujuma wwenye mifumo ya malipo ya serikali. Mwanzo ilifanya kazi. Sasa ni kazi sana kuitumia. Mimi nina siku nyingi sasa za kujaribu kulipa kodi za ardhi na gharama za maegesho kwa njia ya mifumo ya kulipa kwa kielektroniko bila mafanikio. Siku za nyuma nimelipa kodi na tozo...
  2. Augustine Moshi

    Serikali Sio Baba, Mama au Mjomba; Sio lazima kuisubiri Serikali kwa kila kitu

    Sio Lazima Kuisubiri Serikali Kwa Kila Kitu. Masikini Watanzania wengi bado wanadhani serikali ni baba mama au mjomba. Ukifuatilia taarifa za habari zilizoko redioni, magazetini na kwenye runinga utashangaa jinsi watu wanavyoisubiri serikali iwafanyie vitu ambavyo wao wenyewe wangepashwa...
  3. Augustine Moshi

    Education is politics

    There is a raging debate on education in Tanzania at the moment. This is as it should be. But there is a lack of clarity on foundational matters. The political elite is blaming curricula for the woes in education. But we are in fact using the same kinds of curricula that are being used in...
  4. Augustine Moshi

    Tumeyapokea na tutayafanyia kazi

    Huwa inasemwa mwanasiasa ni mtu anayeweza kuzungumza kwa saa nzima bila kusema kitu. Yaani ukimsikiliza anahutubia saa nzima baadaye ukitafakari alisema nini unagundua kitu. Hicho ni kipaji. Webometrics rankings za Julai mwaka huu zinaonyesha UDSM ni ya 42 Afrika, Nairobi ni ya 13 na Makere ni...
  5. Augustine Moshi

    Kusema 'Nendeni Mkalifanyie Kazi' bila kuwa na KPIs kuna walakini

    Mara nyingi tunasikia viongozi wakisema “nendeni mkafanye”. Hiyo haitoshi kuleta utekelezaji. Lazima kutoa KPI (Key Performance Indicator) na kufuatilia utekelezaji wake. Kilicholeta maendeleo ya haraka China ni hivi: kila mtendaji anapangiwa KPI zake na wa juu yake anafuatilia. Ufanisi...
  6. Augustine Moshi

    Athari za Kutohimiza Kiingereza

    Madhara ya Kutokipa Kiingereza Umuhimu Siku hizi nchi yetu ina tatizo la wananchi wengi kutoweza kuandika na kuzungumza kwa lugha ya Kiingereza. Kiuchumi, TAZIZO HILI SIYO HIMILIVU. Adhari zake ni pamoja na zifuatazo: 1. Kukosa ajira za kimataifa. Nchi kama Uingereza inakuwa na upungufu wa...
  7. Augustine Moshi

    Rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta alisikika mara nyingi akisema “Usilete choko choko”

    Hili neno muasisi wake ni Rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta. Alisikika mara nyingi akisema “Usilete choko choko”. Mtu mmoja aliyeonekana kuleta sana choko choko wakati wa Jomo Kenyata ni Tom Mboya. Huyu alikuwa nyota wa vyama vya wafanyakazi na baadaye wa KANU ila mwaka 1969 alipigwa...
  8. Augustine Moshi

    Maneno Hayavunji Mfupa

    Mtukufu wa awamu ya kwanza alisema hatawavumbia macho wabadhirifu wa mali ya umma na wazembe. Lakini aliwafumbia macho. Sana sana alikuwa anawabadilishia majukumu tu. Mrithi wake akasema angetumia fagio la chuma kukomesha ufisadi. Lakini ufisadi ulishamiri vizuri sana wakati wake. Wa awamu ya...
  9. Augustine Moshi

    Mawazo ya Kukanyagwa

    Wale waliobahatika kusikiliza vipindi vya Mazungumzo Baada ya Habari vya miaka ya sitini hadi themanini watakumbuka Mzee Paul Sozigwa alivyokuwa anaonya vikali tuachane na "Mawazo ya kukanyagwa". Je, ilikuwa kazi bure? Maana haya mawazo ya kukanyagwa yameshamiri sana Tanzania ya leo. Nitoe...
  10. Augustine Moshi

    Ucheleweshwaji wa Maendeleo

    1. Umilikishaji wa viwanja: Hili linazungumziwa na Waziri Lukuvi lakini matendo yanakwamishwa na watendaji. Yako maelfu ya viwanja Dar ni miji mingine ambayo yangemilikishwa na kulipiwa kodi fedha za miradi mikubwa ya kitaifa zingepatikana. Waziri anaongeza uhimizaji kwa maneno lakini hajaweza...
  11. Augustine Moshi

    Kodi Vurugizi zinapunguza mapato

    Hizi ni kodi ambazo zinavuruga au zinahujumu uchumi. Kwa mtazamo usio wa kina zinaweza kuonekana kama kodi za kuchangia mapato ya serikali lakini ukichunguza vizuri utaona kwamba zinapunguza sana economic activity na mwishowe hupunguza kiasi kitakachokusanywa. Nitoe mfano hai. Nimekwenda sehemu...
  12. Augustine Moshi

    Wizara ya Ardhi Badilikeni

    Wizara ya Ardhi bado kabisa kubadilika. Nilishinda makao makuu ya wizara jana nikilipia kodi ya kiwanja. It was a daunting task. Their operations are primitive to the extreme. Nilikaa kwanza kwenye foleni ya kupewa assessment. This ought to be done online, as is done by the TRA when one...
  13. Augustine Moshi

    Mtazamo Mpya wa Uwekezaji Kwenye Mali Asili

    Afrika imejaliwa mali asili nyingi na uwekezaji kwenye hizo mali umefanyika kwa miaka mingi (kwa nchi nyingi, hii ni angalau miaka 50 baada ya uhuru), lakini umasikini wa kukithiri bado ni tishio kubwa. Uwekezaji Congo na Tanzania ni mfano mzuri. Dhahabu, almasi, tanzanite na madini mengine...
  14. Augustine Moshi

    Tubadilishe gari na sio gia tu

    Kama gari linatembea kwa misukosuko, na una ridhaa ya kubadilisha na kuendelea na safari na gari jipya, kwanini ukatae na uamue kubadilisha gia tu? Watanzania tuko safarini, na gari linalotupeleka tunakotaka kwenda ni serikali. Mara kwa mara gari letu linapata misukosuko ya ufisadi wa ajabu...
  15. Augustine Moshi

    Lazima CCM waondoke, Lazima mabadiliko yaje

    Can you imagine CCM ruling Tanzania for another five years? I get goose bumps when I try to do that. Yaani tuendelee na hali hii kwa miaka mitano zaidi? Yaani hali ya wizi mkubwa wa fedha za umma kila baada ya siku chache, mauaji ya ndugu zetu albino, chuki na hata mauaji ya kidini...
  16. Augustine Moshi

    Vitisho Muflisi Vya Kwenda Mahakamani

    Mheshmiwa sana Dr Slaa alipotoa tamko la kihistoria la "List of Shame" walikurupuka wazee wakatishia kwenda mahakamani. Aliwaambia watangulie lakini waliogopa. Mwaka 2005 wakati wa kampeni za Urais gazeti moja la Uingereza liliandika kwamba kambi ya Kikwete ilipewa dola milioni 20 na Iran...
  17. Augustine Moshi

    Elections 2010 Ununuzi wa Hati za Kupiga Kura

    Habari hii hapa chini iko kwenye tolea la sasa la Arusha Times. Inaonekana mafisadi wakiona hawana sapoti mahali wanatumia fedha kuhujumu uchaguzi ujao. Tufanyeje? Voters reported to sell their rights at Tsh 10,000 By Arusha Times Reporter There is a new election-related racket taking place...
  18. Augustine Moshi

    Ni Ajabu Na Kweli

    OPEN FOR BUSINESS: This traffic police office at the Buguruni Police Station compound in Dar es Salaam looks overwhelmed as accident exhibits keep piling up at its doorstep, making operations difficult. Our roving photographer captured the scene earlier this week. Source ippmedia.com We have...
  19. Augustine Moshi

    The Slaa Difference

    We know, with much certainty, what Tanzania would look like under a second Kikwete term. It wouldn’t be just a continuation of what we have now. For what we have now is the best that JK could produce in order to get a second term. If he were to get that second term, then his economic...
  20. Augustine Moshi

    Journalistic Mumble Jumble

    Our journalists, particularly those that work for The Guardian, continue to exhibit signs of very low understanding of facts and figures. Do neither the Reporters nor the Editors know that a thousand billions is a trillion? Do they not know further that the entire national budget of Tanzania is...
Back
Top Bottom