Search results

  1. GBBali

    Moto mkubwa wazuka Nyerere road.

    Moto mkubwa umelipuka eneo la viwanda. Muda wa saa 3:00.
  2. GBBali

    Harufu ya kutisha Ukonga Banana

    Hapa Ukonga Banana kuna harufu mbaya sana kama mzoga. Naomba wakazi wa eneo hilo wamuone afisa afya achukue hatua za haraka kuokoa maisha ya watu.
  3. GBBali

    Naitafuta hii dawa, Ngetwa 3

    Kulikuwa na dawa inaitwa ngetwa3. Nilitumia kwaajiri ya maralia lakini ikaadimika baadae nikawa naiona kwenye maduka ya waindi mtaa wa uhuru kariakoo kwa bei ya juu. Sasa nina muda mrefu siioni.
  4. GBBali

    Uchafu katika masoko dar.

    Nimekuwa nikijiuliza kwanini masoko ya jiji la Dar yaliyo mengi ni mabanda ya hovyo mvua zikinyesha ni kama upo ktk zizi.Je mipango miji lko hivyo.Ina maana watu binafsi wana uwezo kuliko manispaa zetu.
Back
Top Bottom