Search results

  1. A

    Gazeti la Mwananchi mna tatizo gani?

    Bora lisionekane Maisha Katika Mtandao kwani limepoteza Sera na mwelekeo wa kuwa ni gazeti huru lenye kufuata maadili na uadilifu, limekuwa ni gazeti lilioloegemea Chama Kimoja cha Siasa nacho ni CHADEMA, kiasi ambacho ni karaha na aimbu Kwabodi nzima ya Mwananchi, na hasa kwa Mhariri wake mkuu...
  2. A

    Namtambua Mh Godbless Lema kama.........!

    Akatembezwe Nchi Nzima yeye ni kama nani? Mtei atakubali hilo? yeye ni Mbowe, ukiamua kutoa mawazo kwanza angalia historia ya CDM ndio useme kama hujui Uliza wenzio.
  3. A

    Taarifa ya Msimamo wa CDM Juu ya Uteuzi wa Tume ya Mchakato wa Katiba Mpya

    Twasubiri hiyo taarifa yenu Magandwa, ila nasikia MTEI, NDESAMBURO, TUMBO,LEMA watatajwa majina yao kuanzia Jumaane kwani walisahauliwa haya na tusubiri ila Tume Inaapishwa Ijumaa Kabla ya Sala Minal Faidhin nyie subirini vikao Umma unajiandaa kutoa Maoni wala hawatosikilkiza Upuuzi wa yeyote.
  4. A

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    Ukombozi wa dola huru ya watu wa zanzibar ilobakwa sasa kurejwea kwa wenyewe, hongera kikwete gobachev wa tanzania, sasa jitahidi kutafuta mtaalamu atakae kuja kuangalia mgawanyo wa madeni na faida kwa dola huru ya zanzibar yaliojiri sudan sasa hapa yashatimia muungano mwisho umeshafikia
  5. A

    Polisi kuwakamata wabunge wa CHADEMA waliokatwa mapanga!

    Mwema Wakamate Haraka na Wafikishwe katika Vyombo vYA SHEIA Wahalifu hao.
  6. A

    Serikali iachane na chaguzi ndogo - Mtatiro

    Wazo zuri Mkuu Kwani Uzini CHADEMA Walitumia Milioni MIA TATU Waliambulia Kura 285, sasa huku ni kufuja fedha za umma hujawaangalkia CCM walitumia zaidi na Setrikal;i zaidi ni kweli ip[o haja ya kumpa mshindi wa pili nafasi kwani alishapigiwa kura na wqananchi. Taarifa Kutoka kwa Zitto kabwe...
  7. A

    Je, Mbunge Shibuda alikuwa wapi wakati makamanda wetu wengine wakiwa katika harakati za ukombozi?

    Amewakimbia kwa uhuni wenu na mtaipata kisawa sawa 2015 pale Mbowe atakaposhindwa vibaya na Zitto Kabwe katika nafasai ya Kugombea Urais
  8. A

    Nimeikodi helikopta bila kushauriwa wala kuelekezwa na Jussa wala Hamad Rashid - Mtatiro

    Ahsante sana Julius kwa kuuweka Uwazi na Ukweli hadharani kiasi hiki, huu ndio mwazo wa ushindi wa kweli wa kidemokrasia kwani ina hadi kuifikia ina mwendo mrefu na visiki vingi. Usivunjike moyo wewe na Chama Chako endeleeni na jipangeni na mwishowe mtafika. CHADEMA ni Chama Kilichokosa...
  9. A

    Mafuta yanavyohangaisha utawala Z’bar

    Hasara ya Mtu kukosa akili, hivi wewe unafikiri Zanzibar ni koloni la Watanganyika? ama kwli asiekujuwa hakuthamini, Zanzibar imeingizwa katika Ukoloni wakitanganyika kwa mbinu na hadaa chafu zailizopangwa na USA pamoja na Mamluki Wao Julius Nyerere hivi wewe umefikiri sawa sawa au ndio wale...
  10. A

    Zanzibar iungwe na Bara kwa Daraja - Wazo Jipya

    Hivi wewe unaakili timamu? au umechanganyikiwa kwa kuchezeya matapu tapu bila ya kula? Zanzibar katu hawakubali kuunganishwa na kwa daraja na Tanganyika? Hawataki Muungano seuze daraja juha Mkubwa wrewe.
  11. A

    Dr. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

    Shujaa Mwamwindi atakumbukwa daima kwa kukataa dhuluma ya Julias Nyerere na kikundi chake, kilichofikia kiwango cha unyama wa kuwahamisha watu katika vijiji na mji yao na kuwatupa maporini wewngi wakaliwa na simba, huku yeye akikaa Msasani na raha zake.
  12. A

    Tundu Lissu: Tunataka mafaili ya Muungano siyo picha za Nyerere na Karume

    Nyerere kwa Unyama wake na Chuki kwa Wazanzibari alizokuwa nazo ndio aliamua kwa Makusudi kumpeleka Hanga Zanzibar akijuwa kuwa anakwqenda Kuuliwa, ni yakusikitisha na hayatosahaulika haya ya Ushenzi alioyafanya Julius Nyrere kwa Wananchi wenzake, ilikuwa ni unyanyasaji wahali ya juu sikuile...
  13. A

    Tundu Lissu: Tunataka mafaili ya Muungano siyo picha za Nyerere na Karume

    kAKWAMBIA NANI WAZANZIBARI WANATAKA SERIKALI 3? WAZANZIBARI WANATAKA MUUNGANO UVUNJIKE KILA MTU AWE KWAKEEEEEEEEE.
  14. A

    Vurugu Mwanza: Wamachinga Vs. Jiji - Damu yamwagika

    Nchi isiyokuwa na Nidhamu inayowachwa Wahuni wafanye fujo watakavyo huku wanasiasa wavaa Magwanda wakihamasisha fujo kuwa ni moja ya sera zao matokeo yake ndio haya ya leo asubuhi Mjini Mwanza, hivi sasa tumeshawafikiosha vijana wetu kuvamia raia wenzetu wenye ngozi nyeupe na kuwahujumu kwa...
  15. A

    Mbowe ndiye tatizo CHADEMA

    mbowe ni tobwe katika siasa zote na hata siasa za maisha yake ni mtihani, kama hujui utamu wa ndowa ya mkeka kamuulize samwel sitta, Werema, na Pinda kwanini Rasimu ya marekebisho ya kuundwa kwa tume ya Maoni ya Katiba ilishindwa kuwasilishwa Bungeni? ilizuwiwa na hao unaowaita majitaka, sio...
  16. A

    Mwandosya na Lipumba wafanyiwa upasuaji India

    Mungu atawapa Afya njema na Kurudi Nyumbani Kuwatumikia Wananchi, hili si lakufanyia Kejeli kwani Binaadamu hajamaliza Kuumbwa, leo wao kesho kwa Viongozi wengine wanaotajika.
  17. A

    HALI YA MZEE MALECELA: Ninawashukuru Sana JF

    Mpe salamu Mzee Mwambie apumzike kwa salama kwa kipindi kifupi, na baadae arudi Nyumbani huku Nchi Inayumbaaaa haina Wazee wa Busara wameshakwisha
  18. A

    Safu ya uongozi CHADEMA haipangiki

    Usimasahau Mchumba wa Dk Slaa, atakuwa naile nafasi ya Sophia Simba
Back
Top Bottom