Search results

  1. M

    Mwanaume anaweza kukaa miezi sita bila ku "do"?

    haya mambo hayana ucha mungu wala sias wewe habari za siasa umeingiaje kwenye mapenzi na uhusiano izi mada muhimu lazima tuziongelee, uvumilivu ni nafsi yako kwa kusema ukweli wanaume si wavumilivu kabisa hata miezi mitatu mingi sana anaweza akabaka ila kama ukiongea na moyo wako hakuna...
  2. M

    Time For Change: Sema "hapana" ngwe ya pili ya JK

    yep haina haja ya kusema sana abt our president , nchi yetu imeoza yote mfano anatowa mikopo watendaji wanakula sasa kikwete ndie msimamizi, kwa ufupi serikali yote imeoza inabidi kwanza sisi tubadilike na ndipo twawza kumchaguwa kiongozi bora , kama bado hatubadiliki hata kama tukichagua...
  3. M

    Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

    ni kweli kabisa , wanawake ukaa mda mrefu sabau wanajali san afya zao ila sisi madume twajifanya tumeumbwa kwa mateso , na ujuwaji mwingi sana kwenye maisha , kama vile kutowashirikisha wake zetu kutokana na matatizo yetu tunayoyapata either kazini or mtaani ndio maana tunakuwa na majukumu...
  4. M

    Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    jakaya bado hana upinzania ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,bado wapinzani hawana nguvu ingawaje serikali ya jakaya ni ya mafisadi
  5. M

    Kufa kwa umasida hosea, lowasa je nao washiriki

    Inapata mwaka na nusu sasa toka taasisi isiyo ya kiserikali iliyokuwa inatowa huduma kwa jamii ife kabisa , inasemekana hosea, hausika kwa tuuma za kufirisi taasis hiyo kwa vile uchukua muda mrefu kutowa majibu ya kufa kwa taasisi hiyo,
  6. M

    Je ikikukuta utafanyaje?

    it is true but your not suppose to take risk , even if all people are equal but HIV is another case , nakushauri in couragement is very important than to inter into risk
  7. M

    Marriage is like quicksand... easy to get in difficult to get out

    kweli bwana , unapofikilia kumuacha mkeo unaangalia mambo mengi hata kama hana matatizo, sabau kuna ndugu jamaa na marafiki pale hali bado inakuwa ngum kidogo, ila uvumilivu ndio mmuimu sababu wote ni kitu kimoja na tania zinafanana, kama ni wivu wanawake wote wanao na hata haki kwa hilo
  8. M

    Afumaniwa na dada yake akijivinjari na shemeji yake

    unajuw nwanawake wavumivu sana tena sana kuliko wanamume, wewe utaona baada ya muda hanamsamehe mumewe na wanaendelea kuishi ila sisi wagumu sana , jamani wanaume tuwe na moyo wa kusamehe
  9. M

    Hizi SALON za kiume za massage na Kushave balaa

    iyo ndio technologia ma utandawazi bwana, wache watuibie si tunaenda wenyewe
  10. M

    Familia ya teketea kwa moto

    mungu awalaze mahali pema peponi amen
  11. M

    Kuna uwozo uliojitokeza kwa taasis zisizo za kiserikali zagundulika kwa ufisadi mkubw

    kwa mujibu wa tetesi zilizopo ivi sasa taasis zinazogawa uduma zisizo za kiserikali inasemekana ndipo kuna ufisadi mkubwa sana, na inasemekana wanaanza kuchunguzwa kwa kila taasisi na kutaja majina yao hasa ivi za huduma za jamii kama afya, maji na barabara kwa habari za uwakika zinafuata
  12. M

    Ze Utamu blogger under arrest?

    unajuwa uyu jamaa ni very intelectual sana tena sana, ila kwa upande mmoja alilekebisha tabia ila kwa rahisi wetu mpenzim ndipo alichemka, aya tunataka tuone mwishon wake
  13. M

    Mwanafunzi mwingine wa Chuo Kikuu amuua 'Geroflendi" wake

    hawa watoto wanaendekeza sana ngono wakiwa shule na hata sijui kwa nini, ila wasipoangalia watakuja pata tabu kwenye maisha yao
Back
Top Bottom