Mkuu habari...
Nimeupitia tena huu uzi...
Je Uchina ina jipanga bado, maana kwa kitu kilichotokea wakati spika wa bunge la Marekani alivyo enda Taiwan Kwa nguvu ijapokuwa China ilikataa...
Mkuu kuhusu Iran an drone pata muda wako wapitie...
Wana drone nzur kuliko hizo Kamikaze,
Nyingine ni reverse engineering ya ilizozikamata,nyingine za kwao wenyewe..
Kwa mfano ile drone waliyoitungua kipind cha trump walienda kuiopoa kwenye maji... Tena walimpiga mkwala Marekani kwamba ana...
Katika nchi ambazo zimepitia wakati mgumu ni pamoja na Iran na Israeli
1>ni nchi ambayo ilikuwa ni Koroni la Muingeleza,baadae ikapigania uhuru wake,ila Uingeleza iliendelea kuinyonya iran kwa mafuta..
Ila wakati kuo Iran ilikuwa inaongozwa kidemocrasia.
Marekan kupitia CIA walifanya mapinduzi...
Hivi nan amesikia neno "Tanzania haijawahi kushindwa vita.." unga dot na kinachoendelea kusini.
So inaweza kuwa bahati mbaya na kuwaita wahuni???
Muda ni hakim mzur saana.
Hivi huu mtu Nile si unaanzia Ziwa Victoria kwa nini na sisi tusitengeneze Bwawa kubwa kwa ajili ya kusambaza maji ya kunywa kata ya ziwa mpk Dodoma.
Maana sisi wenye asilimia kubwa kwenye hilo ziwa hatufaidiki nalo, ila wengine huko wanatoana roho na sisi tumekaa tu kizembe
Naomba kujua kama bunge la 11 lilikuwa na wabunge 141 na chachu yao haikufanya changes yoyote.. unadhani upinzani hawa 19 wataenda kufanya nin kipya...
Watu wameona democrasi iliyofanyika
Hawa 19 wataenda fanya tuchelewe maendeo.. wataenda kupinga tuu.
Kwa sasa tuwaache hiyo 5 tuone...
Uchambuzi unaonesha ni kama Kim wame mtuliza kwa sasa dada mtu amechukua hatam
Yeye ndo anasema na kuamua kwa sasa
Watu wanaanza kupata mashaka na zile tetesi za kwanza kwamba mwamba hali yake sio nzuri.
Na hapo dada ndo anajitambulisha
Na pia wanasema huyu sister ni mtu na nusu anasimamia room...
Huyu Askofu aguswe aandike kitabu.. Ntakuwa wa kwanza kununua..
Ana falsafa nyingi saana
Ni hatari saana mtu kama huyu kuondoka bila kuacha maandishi kwenye kitabu
Me ningeomba kujua,America mbona hawana 5G lakin ndo cases nyingi??, same as France,
Uingeleza ndo imeanza kuweka 5G lakin figure yake iko kawaida??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mkuu kumbuka na ninyi kama dunia mmemuwekea vikwazo kila secta... Hamkumpa nafasi ya kukaa na ninyi,uchumi,kijeshi,kijamii ivyo na yeye anafanya anayoona yanamfaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaya mwamba alipoingia hela ya majanga hakuna.. Zaman chakula cha akiba kilikuwa kinanunuliwa cha kutosha,ila mwamba alisema hatoi chakula wakati wa majanga...
Ivyo Corona ikishika hatam, watu watakufa na Corona na njaa pia..
Tuombe Mungu ipite pembeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
idris elba ;
This morning I tested positive for Covid 19. I feel ok, I have no symptoms so far but have been isolated since I found out about my possible exposure to the virus. Stay home people and be pragmatic. I will keep you updated on how I’m doing [emoji1477][emoji1477] No panic. Idris Elba...
This was wrong move kuwahukumu..
Wanapata international and public sympathy bila sababu.
Kuna mtu anaangalia hivi vitu kwa upana wake??
Maana mwingine alisema kutotumia dola kubaki kwenye madaraka ni uzembe wa chama.
Je ndo matumizi yenyewe haya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vitu unaplan ila vinakuwa out of control.
Yes ila death late yao ni ndogo. Ukilinganisha na wenzao.
Ila mfano Germany haina uhusiano mzuri na USA kihivyo..
Kuna mdau alikuwa china anaeleza hali ni mbaya kuliko wanavyoeleza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nacho amin huu ugonjwa ni human made..achana na story za popo.
Angaliw waathilika ni wale wale..China,Iran why Iran inateseka. Na tena wanakufa wale watu wakubwa serikalin??..
Is it bahati mbaya??
Iran imeanzia kwenye mji wa Quam.. Ambao ni kama mji watu wanaenda kuhiji..
Hakuna...
Hii habari wamekanusha..
Wanasema hakuna hata ndege yao iliyotunguliwa...
Ila Syria wametungua jumla ya drone 3 za Uturuki kwa leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.