Search results

  1. T

    Mkasa wa Dr. Ulimboka: Inawezekana Kabisa Sio 'Inside Job'!, bali ni 'Smear Campaign'?!

    Wewe ni hovyo sana. Unapo kwenda vitani ili kulikomboa taifa maana yake una risk maisha yako na mambo mengine kwa faida ya walio wengi. Madaktari si kwamba wanapambana ili kupata mishahara mi nono tu bali kujaribu kufanya mazingira ya utendaji kazi kuwa bora zaidi kwa mgonjwa na mtoa huduma...
  2. T

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Kwa mtazamo wangu binafsi huyo mama hata kama anaumafia wake hawezi kuwa na ujasiri wa kupanga mauaji kwa njia ya jinsi hiyo. Naungana na wachangiaji wengine kwamba mipango ya kumpoteza DR. itakuwa ni mipango kutoka juu zaidi. Nina mashaka sana kwamba Mr Pinda anahusika moja kwa moja katika...
  3. T

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    Inakusaidia nini. Hawafanyi maandamano kwa faida zao binafsi bali kwa faida ya watanzania wote ambao wanahitaji haki sawa. Mnajaribu kuwatoa watu kwenye mada. Na kwa taarifa yako maandamano ya jinsi hiyo yana andaliwa nchi ingine pia.
  4. T

    PhD za heshima

    Labda ni PHD ya ufisadi na ya kuiingiza nchi katika Janga la umaskini zaidi. Hii ni njia mojawapo ya kuididimiza Elimu yetu kwa kupeana degree zisizo stahiri. Kuna tofauti gani na kupatia mfanyakazi wako wa ndani masters kwa kuweza kumwogesha mtoto wako..! Ukifananisha alipotufikishaga Mkapa na...
  5. T

    PhD za heshima

    Hizi PHD za kupeana hapa Tanzania mwisho wake ni pale Uwanja wa ndege wa JK. Nyerere. Ni PHD za chupi..!
  6. T

    Elections 2010 Kikwete hana raha na "ushindi" wake?

    Hawezi kuwa na raha na hata weza kuwa na raha kwasababu hata watu walio mzunguka wamemchoka japo kuwa hawawezi kumuonyesha wazi wazi.Hapa issue ni kuomba msamaha mbele za watanzania, Unapo mtazama Rais JK kwa sasa utagundua wazi ni mtu mwenye mawazo na msongo wa akili. Nilijadiri hili na huenda...
  7. T

    Reginald Mengi to British investors - "I'm not part of Silverdale Farm agreement"

    Aisee Pasco nadhani una lako jambo..Jinsi unavyo muongelea huyu mzee inaleta hisia hisia za kutaka kutufanya tuone kama vile umetumwa au kwa njia moja au ingine utakuwa kwenye mtandao fulani fulani hivi na kama si kwamba upo karibu nae au huenda unafuatilia mambo yek kwa ukaribu...Kweli endelea...
  8. T

    Maina Owino wa CCM UK awashukia wabunge wa CHADEMA juu ya kumsusia JK

    Ndio huyo F.a.l.a. Shida zinamsumbua tu....!!!! Rudi nyumbani tukupakate !!!!!
  9. T

    Maina Owino wa CCM UK awashukia wabunge wa CHADEMA juu ya kumsusia JK

    huyo owino inaelekea hata huko uk kapelekwa na ccm. Na huenda hata pamoja na kuishi kwake uk hana connection yoyote ya kisiasa zaidi ya katiba ya ccm aliyotoka nayo tanzania. Kama mtu hujui siasa ni vema ukakaa tu kimya kama mimi. Na kama huna points za kuandika si lazima uandike chochote...
  10. T

    Mh Mrema katika pozi la kutuma sms nje ya bunge!!!!!!!!!!

    Mkuu utasoma alama za nyakati tu...!!!!
  11. T

    Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

    Huyo Mama atarithi ugonjwa wa mkuu wa kudondoka....!! Hii kazi ya uspika nadhani angeikataa na kujaribu kubaki kwenye unaibu spika... Hawezi kuendesha Bunge/ Nchi kwa jaziba. Ataligawa bunge na watampinga na kumtoa. Tambua si wabunge wa vyama vya upinzani tu wenye muonekano wa mabadiriko bali...
  12. T

    Mh Mrema katika pozi la kutuma sms nje ya bunge!!!!!!!!!!

    Miaka 5 kuanzia sasa hadi 2015 sitegemei kama tutabakiwa na viongozi wengi..Sita shangaa hata wengine wakadondoka na kushindwa kusimama kabisa....Laana za watanzania maskini na wanyonge zitawafuata popote mlipo. Hata vitabu vya mungu vimeandikwa kila mwenye kutenda dhambi atahukumiwa na hukumu...
  13. T

    Elections 2010 kAULI YA MWENYEKITI WA TUME IFANYIWE KAZI HARAKA.

    Takwimu zipo zinafanyiwa kazi...! Japo NEC wanataka kuwahi kutangaza mshindi ili kuwa block Chadema..!!!Hii kazi inafanyika kimakini zaidi na si kama wengi wetu tunavyo elewa...Wanao tishia kuvunjika kwa Amani nchini kutokana na kuyapinga matokeo ni watu wabaya na wenye nia mbaya ndani ya...
  14. T

    Mandamano ya kupinga uchaguzi mkuu tanzania,kufanyika washington dc usa

    Point less !!!!! Unapo kwenda kupambana kwenye vita huvai military army helment kwenye uwanja wa mapambano bali unajiandaa kule ulikoiweka kambi yako..! Wakati Osama anaishambulia Marekani nadhani yeye hakuwepo Marekani..!!!! Demokrasia inatafutwa mahali popote na kwa umbali wowote.!! Hata ndugu...
  15. T

    Tanzania Election 2010 Results as per NEC

    Mambo mengine yana chosha akili kabisa..!! Ukimsikia mtu mwenye akili timamu ana support utawala wa Mh. Jakaya Kikwete ni shida kubwa na ina leta mashaka sana!! Inanisumbua kichwa kusoma post za ajabu ajabu za kumsupport huyu bwana. Kwa kupoteza viti vya ubunge ni ishara kubwa kwamba watu...
  16. T

    Elections 2010 Dr. Slaa anguruma BBC redioni: Nimeshinda Uraisi kwa kura milioni 15...

    Mambo mengine yana chosha akili kabisa..!! Ukimsikia mtu mwenye akili timamu ana support utawala wa Mh. Jakaya Kikwete ni shida kubwa na ina leta mashaka sana!! Inanisumbua kichwa kusoma post za ajabu ajabu za kumsupport huyu bwana. Kwa kupoteza viti vya ubunge ni ishara kubwa kwamba watu...
  17. T

    Elections 2010 Kawe wamegeuza matokeo

    Mkuu hupendi amani nini?
  18. T

    Zamaradi atoa tamko baada ya kushindwa Ubunge

    Hahaa !! Uangalifu gani tena jamani?
  19. T

    Elections 2010 Kikwete aahidi usafiri wa treni Dar

    Wakati mwingine Ahadi nyingi zina chosha kabisa !!! We better be quite !!!
  20. T

    Elections 2010 Kikwete aahidi usafiri wa treni Dar

    Rais Jakaya Kikwete amesisitiza kuwa serikali itajenga barabara za juu kwenye makutano ya njia na kuruhusu treni kusafirisha abiria katika jiji la Dar es Salaam ili kumaliza msongamano wa magari. Kadhalika, serikali imesema itajenga barabara za zege kwa thamani ya Sh. trilioni 7.3 kwa ajili ya...
Back
Top Bottom