Search results

  1. Alex Dennie

    Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa RITA

    Habari zenu wakuu, nataka kuhakiki cheti cha kuzaliwa kwa ajili ya kuomba mkopo (HESLB) kwenye mfumo wa online eRITA. Nimejaza details zote lakini kuna moja "entry no" ndio sijui nijaze nini, naomba msasa tafadhali
  2. Alex Dennie

    Software za computer( cracked)

    Habari wana JF, naomba mwenye kujua thread ya software za computer cracked ani-tag Naomba kuwasilisha
  3. Alex Dennie

    Msaada: Wanaojua vipimo vya mimba kwa kutumia mkojo, hiki ni kimoja wapo?

    Habari zenu waungwana.....ishu ipo hivi... Kuna jamaa yangu anakaa Malawi sasa ana demu wake yupo Iringa, jamaa ana muda wa miezi nane sasa hajaonana na mpenzi wake huyo Mkasa ni kwamba, wiki iliyopita huyo dada alichora picha kwenye karatasi na kuipiga picha kumtumia msela, sasa kwa bahati...
  4. Alex Dennie

    Wanawake na wivu usiowahusu

    Jamani kiukweli suala hili limetokea takriban mara 100 kwa macho yangu,mwanamke akiona mwenzie anatoka na jamaa fulani hapendi,lazima aone wivu...haya juzi hapa nimepata demu mkali,kuna rafiki yake mmoja hapendi,hatusalimiani mpaka leo kisa namtifua rafiki yake...ukipita na demu wako lazima...
Back
Top Bottom