Search results

  1. Junior Hamis

    Naomba kufahamu kuhusu jeshi au kikosi kinachotumia gwanda hizi hapa Tanzanite

    Kwa wale ambao wamekuwa wakifatilia ziara za hivi karibuni za mheshimiwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania watakuwa wamepata nafasi ya kuona baadhi ya Magwanda yaliyovaliwa na Walinzi au kikosi kilichokuwa kikimlinda raisi.Gwanda la kwanza ni raisi alipokuwa Ziara mkoani mwanza katika...
  2. Junior Hamis

    Msaada wa kisheria kuhusu Bank

    kuna rafiki yangu alienda kutoa pesa katika ATM za Bank fulani baada ya kuandika kiasi mashine ikahesabu halafu haikutoa kiasi chochote cha pesa halafu card ikarudishwa akaenda bank kuulizia akahisi labda kadi yake ina matatizo lakini bank wakamwambia kulikuwa na tatizo hivyo basi pesa yake...
  3. Junior Hamis

    kaa tayari kwa fifa18

    kwa wale wapenda game la fifa siku ya ijumaa game la fifa18 litaanza kupatikana officially katika device tofauti tofauti kama game consoles, pc, phone etc. nini maoni yako baada ya kuangalia demo ya hili game unategemea nini?
  4. Junior Hamis

    Namba ya mwl mkuu shule ya sekondari Mkolani Mwanza

    Naomba mwenye namba ya mwl mkuu wa shule ya sekondari Mkolani anisaidie nina shida ya haraka.
  5. Junior Hamis

    Simu mpya za kuvutia Juni 2017

    simu hizi pia zina specifications kubwa na gharama ya midrange
  6. Junior Hamis

    Kitabu uchawi wa Mchungaji Stephano na sitoisahau Gamboshi

    WanajamiiForums, Naomba mwenye soft copy ya kitabu cha uchawi wa Mchungaji Stephano, kilichoandikwa na Irene Mwamfupe Ndauka au Sitoisahau Gamboshi mwandishi Mwita anisaidie tafadhali.
Back
Top Bottom