Search results

  1. aminangalo

    Serukamba ana malengo mawili katika mstakabali wa IPTL

    Serukamba ajipendekeza kwa zito amwachie Jimbo kwa sababu kigoma mjini hawamtaki kwa kuwalazimisha wampe EL kura wakati anaefaidika na pesa za zakaria za kukwepa kodi ni yeye! Na lengo la pili kuhakikisha EL aningia ikulu ili apate namna ya kurudisha pesa anazopewa na wadhamini wake!
  2. aminangalo

    CHADEMA imeishiwa tangu Mkumbo na Mwigamba waondoke

    Kama mtakumbuka kipindi mwigamba na mkumbo waondoke CHADEMA chama hiki kimekuwa kama timu iliyoshuka daraja maana walikuwa wataalamu wa sayansi ya siasa walianzisha oparationi sangara ambayo ilileta wabunge 24 wa majimbo wa chadema 2010 na kura nyingi za uraisi leo hii chadema imekosa mvuto...
  3. aminangalo

    CCM wazawadia unaibu Meya CHADEMA Arusha

    Leo kulikuwa na uchaguzi wa nafasi ya naibu meya wa jiji la Arusha ambapo CCM kwa mara nyingine tena imewazawadia CHADEMA nafasi hiyo. Prospar Msofe ambaye anatuhumiwa kwa muda mrefu kuihujumu halmashauri ya jiji la Arusha kwa kushirikiana na baadhi watumishi pamoja na baadhi ya viongozi wa...
  4. aminangalo

    UVCCM Arusha wamuonya Mbowe na CHADEMA

    Leo kwenye mkutano Wa hadhara kata ya Unga ltd mwenyekiti uvccm martin Munisi amemwonya Mbowe na chadema kuacha kuendeleza mikwara yao ya kila siku 2010 chadema walisema nchi hii haita tawalika mpaka Leo nchi inatawalika na maandamano ya m4c yaliishia kwa Mbowe na Lema kulamba pesa za m-pesa...
  5. aminangalo

    Kesi ya madiwani wa Arusha: CHADEMA yalemewa, shitaka lingine laongezwa

    Baada ya NAIBU meya wa Arusha diwani wa kata ya Daraja Mbili CHADEMA na Ephata Nanyaro diwani Wa Levolosi CHADEMA kumpiga mgambo wa jiji na kumdhalilisha vibaya huyo mwanamke sasa wamanza kuhaha kumlaumu kila wanaye mwona Nanyaro ameenda kwa ndugu na Wazazi wahuyo binti kuwaomba imeshindikana...
  6. aminangalo

    UVCCM Arusha ngoma mzito

    Alihamisi iliyopita halmashauri ya wilaya vijana ilikaa kikao Chao cha kawaida kunadili mambo yao ikiwa ni pamoja na agenda ya kamanda wa wilaya hiyo ambaye ni ndugu Karim Mushi kamanda huyo alipewa kusalimia kabla hajamaliza zilisikika sauti za kumkataa kuwa yeye siyo kamanda wao na wao Arusha...
  7. aminangalo

    Wingereza Ina ugomvi mkubwa Sana wa muda Tangu Uhuru

    Aliwatoa bungeni wajumbe wa bunge la katiba Leo kawatoa tena wabunge Wa bunge LA bajeti hiii nibaada ya kuombwa na wingereza kufanya hivyo Chuki za wingereza na Tanzania ni zamuda mrefu Tangu baada ya Uhuru uingereza imekosa mikataba yote mikubwa ya nishati haswa gesi ndiyo maana wamedhamiria...
  8. aminangalo

    Mwenyekiti CHADEMA na mkuu Wa soko la Kilombero wameng'oa bendera za CCM

    Ephata Nanyaro mwenyekiti wa chadema Arusha akishirikiana na mkuu wa soko la kilombero Arusha mjini ameshiriki kushusha bendera za Ccm kwenye soko la kilombero Baada ya dili yao kugundulika mkuu huyo wa soko alishusha bendera za Ccm na kuacha za chadema baada ya zoezi hilo kufanyika juzi nusu...
  9. aminangalo

    CCM Arusha: Lema amelipotosha bunge kuhusu Arusha

    CCM Arusha Leo wahitimisha ziara ya kutembelea kata zote za Arusha Mjini kukagua ilani ya uchaguzi ambapo pia wamefanya mikutano ya hadhara Mikutano hiyo iliyoongozwa na MWENYEKITI Wa CCM wilaya DK SOILELI imekuwa namwitikio mkubwa haswa baada ya kupokea wanachama wengi Wa CHADEMA Kama Kata ya...
  10. aminangalo

    NAIBU Meya Arusha matatani tena ufisadi wa milioni 8

    Diwani wa kata ya daraja mbili ambaye pia ni NAIBU meya Wa jiji la Arusha prosper msofe anatuhumiwa kwa kuhujumu mradi wa maji Wa mtaa wa Ali nyanya na SANARE Kikao cha odc ya kata kilikaa na kubuni mradi Wa maji ambapo mkurugenzi Wa kiwanda cha sun flag alijitolea bure kuwapa maji wananchi...
  11. aminangalo

    Arusha ofisi ya CHADEMA yafungwa Rasmi UNGA LTD

    Leo CCM wamefanya mkutano Wa hadhara kata ya UNGA LTD pamoja na kufungua mashina ya wakereketwa na kufanya mkutano Wa hadhara uliyo hutubiwa na viongozi Wa wilaya CCM MWENYEKITI Wa CHADEMA kata ya UNGA LTD amerudi CCM yeye na katibu MWENEZI wake wamezungumza kwa niaba ya wanachaama wengine...
  12. aminangalo

    Lema na Msofe walianzisha Arusha na madiwani wengine CHADEMA

    Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na ugomvi wa chini kwa chini ndani ya CHADEMA Arusha Kati ya madiwani wa CHADEMA wao kwa wao na mbunge Naibu meya wa Arusha Msofe diwani wa kata ya daraja mbili msofe tangu atoke ccm akagombea ubunge na kupata ndani ya CHADEMA hali imekuwa siyo mzuri kwanza...
  13. aminangalo

    CCM Sombetin wawashukuru wananchi wamwita Bananga mwenyekiti wa mtaa

    Ccm wilaya ya Arusha mjin kesho watafanya mkutano wahadhara mbauda kuwashukuru kwakura walizowapatia japo hazikujaaa Gari ya matangazo square
  14. aminangalo

    CCM Arusha ikiongeza bidii kidogo inarudisha jimbo 2015

    Kwenye uchaguzi mdogo kata ya sombetini ambao CCM waliwachia uvccm waikimbize CHADEMA jambo lililopelea Lema kulia kila siku kwa kazi mzuri iliyofanywa na CCM haswa vijana wake na ukizingatia CCM haikutoa pesa kama x. CHADEMA basi kwa mtizamo wangu CCM imeshinda Arusha Ushauri wangu kwa chama...
  15. aminangalo

    Lema aongoza red briged kung'oa mashina ya uvccm leo usiku kata ya sombetini

    Mbunge Lema baada ya kuona dalilizote za kuamzisha fujo hamna sombetini sasa ameamua kuongoza red briged leo usiku kung'oa mashina ya wakereketwa wa uvccm Lema elewa jambo moja kuwa umeshaa kataliwa Arusha na mgombea Davd moleli siyo wa ccm tuuu vyama vyote vimemuunga mkono kama jana...
  16. aminangalo

    Chadema kusambaratika yote sombetini kama tendaji ya kata kumfua mwenyekiti wao

    Baada ya mwenyekiti wa Chadema kata ya sombetini kuhamia ccm leo kwenye mkutano wahadhara wajumbe wa kamati tendaji wameahidi kimfuata mwenyekiti wa wilaya vijana akihojiwa muda huu radio sun rise Jumapili mtashuhudia kwa macho yangu kifo cha Chadema Arusha mjini
  17. aminangalo

    Mwenyekiti wa Chadema ajiunga rasmi muda huu ccm uwanja wa mila

    Madava ameamua kujiunga ccm baada ya maandamano ya juzi kukwama ambapo ulitikea ugomvi mkubwa na ngumi kupigwa Sitaki tena chama cha wahuni na ukabila Chadema
  18. aminangalo

    Lema alemewa Arusha atishia maandamano jumatano baada sombetini hali kuwa mbaya

    Lema baada ya kuona mambo yamemshinda aanza mikwara kuitishaa maandamano jumatano Arusha mzima Akidai kuwa ccm imekuwa ikiwakatakata wana chadema huku sombetini Ila hii imetokana na kugomewa mikutano kata ya sombetini na dalilizakushinda hazipo kabisa hizi zote zinamfanya Lema achanganyikiwe...
  19. aminangalo

    CCM leo ni leo Ngusero Sombetini

    Leo CCM watafanya mkutano wa hadhara Ngusero Sombetini ambapo viongozi wa wilaya na mkoa wataunguruma
  20. aminangalo

    Mwigulu kuunguruma kesho Sombetini

    Kiboko ya chadema kuunguruma kesho sombetini Mwigulu mchemba kesho Mwigulu mchemba atahutubia viwanja vya mbauda kuongea na wanasombetini
Back
Top Bottom