Search results

  1. PrinceH

    Kurudia mtihani form four

    Kwa anayefaham vituo ambavyo mtu anaweza kurudia mitihani ya form four kwa temeke na ilala anisaidie please!!
  2. PrinceH

    Kuanloack modem

    nataka kuanloack modem yangu model:ZTE K3565-Z
  3. PrinceH

    Mautundu kwenye modems

    wadau modem yangu niliiflash na kasoftware lakini sasa nashangaa nikiweka lain yeyote ile hata ile xa kampuni inasema Not found sasa sijui nifanyeje wajameni
  4. PrinceH

    window installation

    window 7 proffesional ambayo ime corrupt nataka kuitoa hii na kuweka nyingine kama hiyohiyo but ninapoinstall ikifika pale kwenye kurestart kompyuta inaporestart ikiwaka inaanza upya yani yataka tena nichague lugha na kwenda mbaka pale inaporestart na mtindo ni uleule, sasa sijui nifanyeje...
  5. PrinceH

    cheki laptop yangu

    Laptop yangu huwa inajizima zima yani nikiwasha natumia kama dakika kumi inajizima hata kama ikiwa nimeichomeka chaji mambo yaleyale, mwenye kuelewa tatizo anijuze tafadhari.
  6. PrinceH

    Msaada kwenye instant message

    jamani nataka niwe natumia instant message(IM) nimeweka setting zote yan username na password but pale kwenye SERVER SETTING sijui nijaze nini
  7. PrinceH

    Tatizo la simu yangu

    simu yangu nikiitumia huwa inapata moto na kuisha chaji haraka nisaidieni tatizo ni nini?
  8. PrinceH

    whatsapp kwa sony ericsson

    naweza kupata link kwa ajiri za whatsapp kwenye simu yangu aina ya sony ericsson T715 ?
Back
Top Bottom