Search results

  1. jem_the_great

    Mjue "Mbokoo" kibaka aliyewahi kuitikisa Kigamboni-Dar kabla ya kudhibitiwa kwa mbinde na Polisi

    Daah huyo jamaa na crew yake walishawahi nivamia Kigamboni wakati nasoma na kuniibia laptop yangu. Jamaa alikuwa mtemi sana na alikuwa akiogopwa kweli kweli.
  2. jem_the_great

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hivi double chance ikiwa 1 or 2 condition yake inakuwaje?yaani una kuwa umeloose ticket kwenye outcome ipi?msaada tafadhali wakuu
  3. jem_the_great

    Msaada: Namna ya kupata nyumba NHC Urafiki

    Habarini wakuu, Poleni na mihangaiko ya kila siku. Naomba kuuliza namna ya kupata nyumba za NHC urafiki kwa yeyote mwenye kufahamu. Msaada tafadhali.
  4. jem_the_great

    Phone4Sale Wapenzi wa Samsung Note5 na S8+ simu zenu zimefika

    jamani huyu jamaa mbona number yake haipatikani,wala haipo whatsapp ni muuzaji kweli??
  5. jem_the_great

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    yaaani nimepigwa mpaka nimekaa pemben mwenyewe
  6. jem_the_great

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    nimejoin kupitia link nyingine za juu,hii naona haijakaa sawa
  7. jem_the_great

    Njia za uhakika za kufanya biashara mtandaoni ili kuongeza kipato

    shukrani kwa idea mpya mkuu..i love internet ngoja nianze jifunza haya pia
  8. jem_the_great

    Nini kimeyakumba magroup ya biashara ya FB?

    naona wameingia tamaa baada ya kuwa nawateja wengi wanaofanya ads kwa sasa..FB ilikuwa platform yenye nguvu sana 2017 kushuka chini,na instagram inaelekea huko pia
  9. jem_the_great

    KISUTU: Kizimbani kwa tuhuma za kulawiti na kusambaza picha za ngono

    yaani hii connection nimeshindwa kuipata kabisa..
  10. jem_the_great

    Phone4Sale Wapenzi wa Samsung Note5 na S8+ simu zenu zimefika

    mkuu hizo note zenu hazipo rooted?maana nyingi zinazotoka nje wameziroot inapelekea baadhi ya app kugoma kuinstall.
  11. jem_the_great

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nakumbuka ilikuwa mwaka 2014,nimeenda iringa kwenye graduation ya mdogo wangu.Sasa kuna best friend wangu wa kitambo sana(Ke),ambaye alikuwa anaishi iringa,nilivyomwambia nipo tu akasema nifanye hima nikamsalimie,maana tulikuwa hatujawahi kuonana takribani miaka 5 hivi.... NILIVYOKULA TUNDA...
  12. jem_the_great

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daah vipigo vimenizidia wajameni..huu mchezo mgumu sana wandugu
  13. jem_the_great

    Matatizo app ya NMB Mkononi

    yaani ni app nzuri ila kwenye kulazimisha kutumia hiyo line ulioregister for security reason wamefail sana,tumepiga kelele kwenye review's mpaka tumechoka Sent using Jamii Forums mobile app
  14. jem_the_great

    Intaneti ya Vodacom yakatika nchi nzima - Februari 23, 2020

    Aisee nilijua ni mimi tu..hiyo Kasi internet ndo bundle ambalo huwa natumia siku zote,huwa najiunga la 50k ila natumia full with speed mpaka siku ya kuexpire ikifika.ila hii week yote nimeambulia speed ya kobe tu..Nimetumia karibu internet za mitandao yote ila speed ya vodacom ilikuwa the best...
  15. jem_the_great

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kwa anaehitaji kujiunga na group la whatsapp kwa ajili ya kushare tips za betting..link https://chat.whatsapp.com/GkIgd81HNVWIK1HXosTJjS Sent using Jamii Forums mobile app
  16. jem_the_great

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    pole mkuu..mm ndo mana company za kibongo zimenishinda..acha nikomae na mrusi tu,maana sijawahi ona hata app ikistack.. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom