Search results

  1. KINGSLEE

    Tuweke hisia pembeni Israel ni ya Waisrael

    Hapana umekufuru ndugu. ijumaa kwa mujibu wa Imani ya Kiislam ni siku ambayo Nabii Adam alizaliwa, Quran ilishuka siku ya Ijumaa na inasemekana siku ya hukumu(Qiyama) itakuwa ni siku ya Ijumaa. Hivyo kutokana na umuhimu huo ndipo ibada ya Ijumaa ikawa na nguvu kwa waumini wa dini ya Uislam...
  2. KINGSLEE

    Milioni 35 itakamilisha ujenzi wa nyumba yangu?

    Inategemea na ukubwa wa vyumba, Mahali itakapojengwa - tambarare au kilimani(itahitaji kufanya leveling au lah), asili ya udongo wa eneo hilo (Mfinyanzi- huwa unatanuka na kusinyaa kuendanana majira ya hali ya hewa au kichanga), Raman yako nyumba ya gorofa au ya kawaida. kimsingi Raman ndio...
  3. KINGSLEE

    Unatumiaje laki tatu kwa mwezi?

    Dah! tafuta connection uhamie sehem yenye mshahara mkubwa ili uweze kufanya maendeleo maana kwa laki 3 unayopata kwa mwezi ni fedha ndogo mno na usilogwe ukakopa Benki ndio life litazidi kuwa gumu. kumiliki usafir hapo ni changamoto yan hata ki-Ist kwako itakuwa ishu sana. pia tawanya pesa yako...
  4. KINGSLEE

    Hudumia Mwanamke unayeishi naye. Acha kiherehere utakuja kulizwa kibwege

    MMH! Umeharibu best mjn kugumu sana. wale wapenda vya dezo hawatoboi
  5. KINGSLEE

    Hudumia Mwanamke unayeishi naye. Acha kiherehere utakuja kulizwa kibwege

    MMH! Umeharibu best mjn kugumu sana. wale wapenda vya dezo hawatoboi
  6. KINGSLEE

    Kwa mara ya kwanza nimefika Dodoma. Hayati Magufuli ni mbeba maono

    waooh! Nice jibu lako limenikosha sana. Kuna watu mpk leo kazi yao ni kukosoa tuh hata ufanye jema gani bado wataponda tuh
  7. KINGSLEE

    Usiache kula karanga kamwe

    Sorry, zipi sasa zilizochemshwa/zilizokaangwa au mbichi ndio zinazozalisha shahawa?
  8. KINGSLEE

    Natafuta Taa za Nyuma za Ractis new model

    sawa ndugu Samahan naomba kuuliza hiyo new model unayozungumzia ni ya mwaka gani? Maana ya mwka 2013 taa zake haziingiliani na mwaka 2010
  9. KINGSLEE

    Mambo ya kuzingatia unapoendesha Gari wakati wa Mvua au Ukungu

    MMh! last time mwezi wa 5 wakati narudi kutoka Arusha kuja Dar nimefika maeneo ya Mkoa wa Tanga nafkir ni Korogwe pale kuna makona kona mengi. Ilikuwa yapata sa 4 Usiku niko na Mr halafu mm ndio nilikuwa Nadrive (BMW 320i) Aisee nilikumbana na Mvua Kubwa hatari Weipa nimeseti mpk spid ya...
  10. KINGSLEE

    Kipi unahitaji kufahamu kuhusu GPS trackers? Karibu kwa maswali

    nahitaji huduma ya kufungiwa GPs ila kwa sasa gari ipo Arusha
  11. KINGSLEE

    Naomba kujuzwa zaidi kuhusu Toyota Wish New Model

    we nawe LiMin-Bus lanini kutembelea? aaargh! Tafuta gar ambayo hata ukitoka somewhere parking ipo ya kutosha. sasa wewew unaenda kazin upo kwenye gar peke yako mgar mrefu kama nini la kazi gan hilo li gari 😱 😱 😱
  12. KINGSLEE

    Msaada wa tatizo hili lililonipata

    Dah! Aisee pole sana Ndugu.😱😱😱 msema kwel mpenzi wa Mungu isije ukawa umenasa nakushauri nenda Kapime UKIMWI maana dalili zako ni za wagonjwa wenye hayo maradhi. kisha utupe mrejesho
  13. KINGSLEE

    Volkwagen Gof Touran

    nis Nisichopenda. 4. Ukinunua hilo gari ni Lako kuliuza Ni Tabu (Ndoa ya Kikristo) Mno na lina low Resale Value Compared na Team Toyota:mad::mad::mad:
  14. KINGSLEE

    Plot4Sale Viwanja vya ufukweni vinauzwa katika mradi wa Kaole Beach Plots, Bagamoyo

    je squaire mita 600 vipo na sh ngapi? cha bei rahisi kabisa kitakuwa sh ngapi?
  15. KINGSLEE

    Sweden: Nakala ya Quran yachomwa moto na kudhihakiwa mbele ya Kasri la Mfalme

    Mimi si Mkamilifu sana ila nasema toka ya Moyoni hao Wasweeden watapata Majanga ya asili mpk wachakae ni suala la muda tuh. Kudhihaki dini/Imani ya mtu ni jambo baya sana aisee. 😭 😭 Tena nahisi hilo Kasri litapigwa tetemeko/Kimbunga and the likes lote litabomoka na kutatokea vifo vingi sana...
  16. KINGSLEE

    Msaada kwenye Tuta paso inanipasua

    KWAHIYO BORA VITS YA 990cc KULIKO PASSO YA 990CC
  17. KINGSLEE

    Naomba kujua aina ya oil ambayo mtengenezaji wa Toyota Succeed ameipendekeza

    kuna mtu yeye ana Ractis 1NZ lkin kaweka Castro oil ii imekaaje?
  18. KINGSLEE

    Wanaume na style ya kufuga ndevu

    uzi wako bila picha ni utumbo mtupu 🤣 🤣
Back
Top Bottom