Search results

  1. Safina

    Nafasi za kazi TPDC

    ni kweli kuna intake ya pili guys?
  2. Safina

    Nafasi za kazi TPDC

    kama kuna kazi huko kwenye halmashauri zenu niambie niapply mkuu mi sichagui
  3. Safina

    Nafasi za kazi TPDC

    Jamani kwa wale tuliofanya application ya kazi kwenye shirika la TPDC mwezi wa sita mwaka 2015. Vipi wameishatoa majina ya watu wa kufanya usaili? na kama wametoa ni lini walitoa? nisaidieni jamani maana napenda kufanya kazi na hilishirika.
  4. Safina

    Maneno ya kejeli ya mume wangu

    Kweli kabisa. sasa katika hali hiyo unamuomba Mungu afanyeje. Kimsingi Mungu alishajibu sala zako kwa kukuonesha vituko vya huyo mume wako, toka humo kimbia sana find happiness somewhere else.
  5. Safina

    Employment contract

    angalia THE EMPLOYMENT AND LABOUR RELATIONS ACT,(CODE OF GOOD PRACTICE) RULES,2007
  6. Safina

    Yesterday.....

    Vile vyuo vya ghorofa ya tatu mzee unaishi mji gani, kwa maelekezo zaidi.
  7. Safina

    Aisha Madinda: Jinsi madawa ya kulevya (unga) yalivyonifilisi

    Umeona eeeeeeeeeeehhhhhhhh! Kama jina lako lilivyo Usiniguse, basi husiguse.
  8. Safina

    baada ya kuibiwa sana huyu msanii katoka na hii style

    Halafu figganigga hana hata habari. Cheki alivyomjibu kiupole hasa hapo nilipoweka rangi. Mia. it means to keep yourself real and true, to be honest and stick to the way you are, no matter what any one else thinks. You don't have to like my decision. I'm gonna keep it 100 and do what I...
  9. Safina

    Kajala

    Tena urafiki wao umekuja baada ya wema sepetu wa septetunga kuwakutanisha, naomba nieleweke kuwakutanisha sio kuwaunganisha wawe mwili mmoja.
  10. Safina

    Ni hatari kuji-expose kwenye mitandao!

    The! The! The! Hapo kwenye rangi, hapo huwa ana mawaziri wake hao, eti, eti, huwa wanakamsemo kao kwamba, eti hawahesabu matusi, bali wanahesabu mahela.
  11. Safina

    Diamond na Wema, Full drama!

    Unamhurumia kwa ajili ameacha haya niliyoyawekea rangi?: mie kifua chake tu wallah! Zile packs ni noumerrrrrrrrrr!! Lets call a spade a spade! Inavyoonyesha na yeye anajihurumia na inavyoonyesha anataka watu wamhurumie ndo maana akatoa ile post kuleee, kama vipi mi naona ampotezee tu jamaa, ila...
  12. Safina

    Diamond apokelewa kama mfalme bukoba

    Punguza hasira ndugu yangu!!!!!!!!!
  13. Safina

    Maneno yake yalinyausha filimbi yangu na kuwa kama toothprick

    Chezeya kuachwa weye!!!!! Kuna dada anakuaga na ki-blog uchwara sijui kinaitwajwe vile, yeye alithubutu kujidhalilisha kabisa kwa kusema X wake alikuwa na govi na akawa anamwita govinda!!!!! Sijui kama kuna watu hapa jamvini waliisoma hiyo seke, seke.
  14. Safina

    Yuko wapi Alekuwa Akiendesha Vipindi vya Watoto ITV miaka ya 90?

    Nimependa sana hapo nilipopigia mstari, ukiniulizaa nini? Nitakwambia kwa sababu umeonyesha sana kumjali mtoto wako.
  15. Safina

    mapenzi ya Diamond kwa mama ake,huu ndo ujumbe wake kwa wote

    Labda yeye mwenyewe ndio diamond.
  16. Safina

    Nimeamua kumtema mazima.

    Umeona eehhhhhhhhhhh!!!!!!
  17. Safina

    wakaka kama vile hamna mioyo ya kuumia

    Nimechekaje? Kwa hiyo kama ni handsome huwa unamhurumia, sasa inaonekana yeye anataka kukuganda, sijui anapitiaga huku ili akome kukuganda, au umtumieko ka-ujumbe kwenye simu yake.
  18. Safina

    wanawake wa Tanzania hawajui kuvaa

    Ni kweli kabisa MC. Tilly Chizenga. Mke wako anajua kuvaa sana tu, tena sio kuvaa tu! Kuvaa kuendena na matukio, kuna harusi ya Innocent Shio mlisimamia, japo mkeo alikuwa mja mzito, lakini alionekana kama mja mwepesi kutokana na alivyokuwa amependeza. Ofisini kwao wanakuaga na kale kasare kao...
  19. Safina

    Barua hii ni ya 5

    Hapo chacha patamu.
Back
Top Bottom