Search results

  1. kmp

    Elections 2010 Poll of polls; mjumuisho wa tafiti

    Many many thanks for this useful analysis mkuu!!!
  2. kmp

    Yusuph Makamba na Kiingereza

    Kwani alipokuwa Uingereza, Marekani na Japan alikuwa anaongea kiswahili?
  3. kmp

    Worries as 50 pct of researchers over 45 years old

    Wote wanakimbilia kwenye siasa kwani huko ndio kunalipa zaidi. Kila mtu anataka kuwa na maisha mazuri. Hapa serikali isikwepe majukumu, dawa ni kuboresha mazingira ya kazi na maslahi kwa ujumla. Kwa nini wanasiasa peke yao ndio wafaidi keki ya taifa wakati watu wote wanachangia???
  4. kmp

    Mfadhaiko Warudi Tena DSM

    Silent Whisper, hiyo avatar duh!!!! ni noma.Te hehehehe
  5. kmp

    AG awaonya TUCTA kujihusisha na siasa

    Nakubaliana na wewe Mfamaji, kama ni kweli wameongeza basi hawa CCM na viongozi wake wanatoa rushwa kwa wafanyakazi. TAKUKURU mko wapi, mnaangalia watu wanatoa rushwa wazi wazi, tafadhali Dr. Hosea na timu yako tunawaomba mchunguze hili kwani hii ni rushwa kwa sababu mkuu wa kaya alishakataa...
  6. kmp

    Elections 2010 CCM si shwari tena, maandamano yaanza!

    ...............ngoma ikilia sana mwisho hupasuka!!!!!!! Hahahahaaaa
  7. kmp

    TBC1 inapotumika vibaya: Nani alaumiwe?

    .....unajua watu wengi hawajajua, huwezi kuzuia mvua, Dr. Slaa ni kama mvua, Ikiamua kunyesha inanyesha...... Dr.Slaa moto chini, ni moto chini aha aha ahaaaaaa Patriot kasahau kwamba Dr. Slaa ni mvua iitawaloanisha wote akiwapo yeye!! Verses from song sugu moto chini-edited
  8. kmp

    Ipo siku familia za viongozi zitahamia bungeni

    Kinyang’anyiro cha kuwania ubunge kinachoendelea ndani ya CCM kimeibua mengi yakiwapo rushwa iliyokithiri pamoja na watoto wa vigogo kuamua kuwafuata wazazi wao ndani ya uongozi. Kuna idadi kubwa safari hii ya watoto wa viongozi wa juu wa serikali na chama hicho ambao wameamua kugombea...
  9. kmp

    TBC1 inapotumika vibaya: Nani alaumiwe?

    Mkuu, unavyosema ni sahihi kabisa, katika taarifa mbalimbali za habari, unakuta habari za CCM ni mpaka 3 na tena zinaelezewa kwa kirefu, lakini cha kushangaza habari za vyama vingine, mfano katika taarifa hiyo ya habari kulikuwa na habari za CHADEMA esp mkutano wa Raisi wa awamu ya 5 Mh. Dr. W...
  10. kmp

    China Plans Huge Buses That Can DRIVE OVER Cars (PHOTOS)

    Chapakazi gonga kwenye hii link uone YouTube - ‪China Futuristic Bus 3D Express Coach‬‎
  11. kmp

    China Plans Huge Buses That Can DRIVE OVER Cars (PHOTOS)

    China has overtaken the United States as the world's biggest producer of greenhouse gases and biggest energy consumer. But the country is also thinking in big and bold ways when it comes to how it will reduce pollution and a new plan to build a "straddling bus" is among the...
  12. kmp

    Elections 2010 Dk. Slaa abeba makombora 20

    Hivi hii inayojiita luninga ya Taifa TBC mbona haituonyeshi raisi wetu ajaye Mh. Dkt. W.P. Slaa anavyoendelea na ziara ya kutafuta wadhamini wakati wanatoa mpaka dakika 15 au nusu ya habari za ndani ya nchi kuzungumzia mambo ya Chama Cha Mafisadi ( CCM ) tu!!! Kwa kweli mimi wananiudhi sana...
  13. kmp

    Wyclef Jean for president!

    Namtakia kila la kheri Wyclif Jean
  14. kmp

    Elections 2010 Sugu, Mbeya ni yako

    Sugu moto chini!!!Aha aha ahaaa
  15. kmp

    TANZIA Wakili mtetezi wa ICTR Prof. Jwani Mwaikusa auawa Tanzania

    yes,inaonekana kama ni planned assasination.polisi tafadhali fanyeni uchunguzi. isije ikawa ni mafisadi,maana wana mtandao mkubwa na wako tayari hata kutoa uhai wa binadam. MUNGU AILAZE ROHO YA PROF.MWAIKUSA MAHALI PEMA PEPONI. haki haitapotea kamwe!
  16. kmp

    TANZIA Wakili mtetezi wa ICTR Prof. Jwani Mwaikusa auawa Tanzania

    Habari nilizozipata zinasema Prof. Mwaikusa Mwalimu wa Sheria na Mwanasheria aliyebobea wa Chuo Kikuu cha DSM amefariki dunia baada ya kuvamiwa na watu wanaosemekana kuwa ni majambazi alipokuwa akirejea nyumbani kwake usiku wa kuamkia leo. Prof. Mwaikusa pia alikuwa rafiki wa mahakama ambaye...
  17. kmp

    Elections 2010 Mr II a.k.a Sugu kugombea ubunge Mbeya?

    hongera sana kaka joseph mbilinyi a.k.a uncle sugu.nakuunga mkono.mwendo ni ule ule antivirus mpaka mjengoni!
  18. kmp

    Elections 2010 Kikwete ana washabiki wengi sijui ni kwanini

    Aaaah, kumbe wewe PELE hujaona JK kaalikwa kwenye sendoff ya huyo Marylin, thats y kampigia debe sana ili ahudhurie hiyo send off yake. JK akimlisha keki Marilyn Mashiba kwenye mnuso wa send off
  19. kmp

    Picha kali ya leo

    Duh!
  20. kmp

    Serikali yatelekeza mgodi wa Kiwira

    Serikali yatelekeza mgodi wa Kiwira Katika taarifa ya habari ya Shirika la Utangazaji Tanzania ( TBC) ya jana usiku imeonesha kwamba Serikali imeutelekeza mgodi mkuu wa makaa ya mawe wa Kiwira uliopo mkoani Mbeya, baada ya mgodi huo...
Back
Top Bottom