Search results

  1. Usiku

    Nilimpenda kumbe kahaba wa kutupa

    Mkuu umeshafika Kigoma? Haujatupa mrejesho mkuu
  2. Usiku

    Nimemuita baba swalehe amenuna

    Mme wako au mzazi mwenzako? Ukinijibu tarudi tena
  3. Usiku

    Kaniambia simridhishi

    Safi mkuu fanya mazoezi kula vizuri na upunguze madeni utakuja nipa mrejesho!
  4. Usiku

    Msaada kuhusu tutorial assistance

    Soma upate angalau gpa ya kuanzia 3.8 unaweza kupata nafasi hiyo
  5. Usiku

    Msaada kuhusu tutorial assistance

    Mkuu kwanza sio tutorial assistance ni tutorial assistant
  6. Usiku

    Nataka kusoma PHD niwe mwalimu wa chuo kikuu

    Mkuu hii hapana labda kwenu huko zanzibar.
  7. Usiku

    Computer Science vs Procurement

    Kwa level ipi ya elimu? Bachelor or diploma?
  8. Usiku

    Naombeni mnifundishe mapenzi, sitaki kuumizwa tena

    Bado haujampata house mate? Ratio 3:1 wewe dada ni kiboko
  9. Usiku

    Mke wa mtu ana wivu wa kupindukia mpaka imekuwa kero sasa!

    Umeshikiwa akili wewe sio bure
  10. Usiku

    Mke wa mtu ana wivu wa kupindukia mpaka imekuwa kero sasa!

    Mkuu unasoma Amazon college? Kisima cha mafanikio?? Mbona huwezi kujieleza? Pia kumbuka mke wa mtu ni sumu watakufumua hayo marinda yako muda sio mrefu!
  11. Usiku

    CRDB acheni kukomoa wafanyakazi wa serikali tusiotumia benki yenu

    Huwezi shauri kwa sababu wewe ni heartless
  12. Usiku

    CRDB acheni kukomoa wafanyakazi wa serikali tusiotumia benki yenu

    Mwanaume acha kulalamika sana. Unalialia kama PhD holder (Dr Rajabu) tafuta vyanzo vingine vya mapato! By the way wamekusaidia kusave hiyo TGSD yako ingeisha kesho tu
  13. Usiku

    Respect kwa wanawake wote...

    Michael majighu umetisha
  14. Usiku

    Tofauti ya maisha ya Tabora na Dar es Salaam

    Uwezo wa kufikiri wa watu kweli umepungua. Hujui tofauti ya maisha ya jiji na halmashauri ya manispaa? Dar na Tabora kweli hadi ulete uzi humu??
  15. Usiku

    Mimba ya mchepuko inanitesa

    Mkuu bado tu haujaenda Kigoma baada ya mzumbe kukuzingua? Acha tabia hiyo usiipeleke Kigoma utakwisha
  16. Usiku

    Kaniambia ana ujauzito wangu wakati sijawai kulala nae

    Unamchezea wapi na kwa kutumia nini?
  17. Usiku

    Nawaza sijui itakuwaje kwa huyu binti, nahisi nimemzidi umri sana

    Kaka subiri aingie chuo then utaona manyoya!
  18. Usiku

    Nimeshindwa kumuelewa huyu mke wangu mtarajiwa!

    Weka picha tuone mkuu
Back
Top Bottom