Search results

  1. Kobe

    Uelewa wa mambo kwa watanzania ni mdogo sana, Ujinga na upumbavu unaongezeka kila mwaka

    Hujatoa suruhu ya hayo mambo yote, kama umeona tatizo kipo bas tusaidiane namna ya kuleta utatuzi na watu wajitambue waweze kutoka kwenye hayo mazonge.
  2. Kobe

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    We are on fireee.!!!
  3. Kobe

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kaondoka na Mpira wake
  4. Kobe

    ONYO kwa wanaonunua simu humu

    Natafuta kioo Samsung note5
  5. Kobe

    Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    Kama hi Pajero mpk Tz ni pesa ngapi?
  6. Kobe

    Mimi nipo Iringa, nahitaji kwenda Kakola kutafuta maisha, sipajui na sijawahi kufika

    Kakola kwenda kahama ni mwendo wa saa nzima nauli haizidi shilling elfu tano. Pamechangamka kwa biashara ya dhahabu na uchimbaji dhahabu Fursa ni yeye tu afike ajifunze mawili matatu kabla ya kuamua biashara gani afanye. Ajiweke sawa atleast wiki 1 au mbili awe na hela ya kuishi gesti na...
  7. Kobe

    Shabiki anatembea Mbeya kuja Dar kuishuhudia Simba na TP Mazembe

    Ni zaidi ya km 700 mkuu!! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Kobe

    Ninaomba mchanganuo wa biashara rahisi... Wanangu hawajalipiwa karo na maisha hayaendi. Nina 500,000 tu ndugu zangu, nifanye nini?

    Hayo maji unafunga tu yanakuwa salama au unayachemsha? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Kobe

    Ukienda kutafuta maisha kwenye mikoa hii ni ngumu sana kutoboa

    Zanzibar ni nchi sio mkoa! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Kobe

    Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

    Watalingua sna likiwa rd mara overspeed mara taa za breki zinawaka bluu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Kobe

    Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

    Duh tuhuma nzito hizi ujue! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Kobe

    Ya Said Fella, Ruge na washindwa....

    Mkuu hebu rekebisha sentensi yako! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Kobe

    Ya Said Fella, Ruge na washindwa....

    Ameandika wapi huo uzi? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Kobe

    Jasusi Honda ndani ya mpango wa Congo

    Naunga mkono uende kinywani! Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Kobe

    Jasusi Honda ndani ya mpango wa Congo

    Dah mnafaidi sana aisee sisi wanafunzi nauli ndio shida! [emoji2][emoji2][emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Kobe

    Jasusi Honda ndani ya mpango wa Congo

    Utamu unakuja utamu unakata! Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Kobe

    JamiiForums Usiku wa manane

    Unakaribishwa sana, ila ngoja wajumbe waje kupitisha shauri lako. Upande wangu sina pingamizi. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Kobe

    Jasusi Honda ndani ya mpango wa Congo

    Muda gani huo.mkuu kudo? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom