Jifunze tabia ya kujibu hoja bila kutumia lugha ya kashfa au matusi, hii itasaidia kupima ukomavu wako kisiasa. Unapojibu kwa kashfa na matusi namna hii unatufanya tujiulize maswali mengi kuhusu maadili yako na uwezo wa uongozi.
Sababu ulizoainisha, ukosefu wa ajira na mfumko wa bei ndio za msingi kwa ugumu tunaokabiliana nao kwa sasa. Bahati mbaya hatuoni mikakati ya madhubiti ya kisera kukabiliana na hizi chamgamoto. Sana sana tunaishia kupewa takwimu zakupika!
Yale yale ya Muhando na mke wake pale Tanesco! Nchii hii suala la maadili ni janga la kitaifa, Kinana haoni aibu kusimama na kutoa utetezi huu dhaifu! Kampuni ni yake na hivyo anabeba dhamana kwa kashfa zote zinazohussu hiyo kampuni.
Huyu Lee Myung-bak amekalia kuti kavu maana uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika siku chache zijazo na wa-korea wanajua vizuri uongo aliyoutengeneza kuhusu kuzama kwa hii meli. Ni wazi kwamba hana muda mrefu na kukumbatia hila za wamarekani.
Vyama vingi vya kisiasa hapa nchini vimeshindwa kujijenga kama taasisi kwa kuweka mfumo wa kiuongozi ambao unawapa nafasi kubwa na imani kwa wananchi kwamba wakipewa nchi wanaweza kuongoza. Badala ya kujenga taasisi za kichama, vyama vingi vya upinzani na CHADEMA ikiwemo vimejikita kwenye...
Hii ndiyo sababu kubwa ya small businesses nyingi ku-fail, wajasiriamali wetu wengi wanakosa business management skills na hawataki kupata ushauri. Ni vigumu sana biashara ndogo kukua katika mazingira ya namna hii.
Hii huitwa "growth without development", ni vipimo vya maendeleo vilivyobununiwa na WB na IMF kwamba maendeleo yaangaliwe kwa percapita income. UNDP utumia human development index kwa kuangalia life expectancy, education, standard of living na hiyo percapita income na ukitumia vipimo hivi ndiyo...
Haya mabenki yamekurupuka ko-offer hii product, na ni wazi ita-fail maana kwa Tanzania mazingira hayako mwafaka ku-operationalize hii kitu hasa mazingira na kibiashara na uwekezaji. More research is needed on this issue.
Hata kabla ya kifo chake aliona na kushuhudia jinsi watu wake walivyomuasi, alitumia pesa nyigi kuwasomesha elimu bora nje ya nchi akitarajia wataweza kuikomboa Tanzania kutoka kwenye umasikini, ila wao ndiyo wakalifutilia mbali azimio la arusha na kuleta ubepari ambao hata hawaujui miiko yake...
Haya majibu ya naibu waziri yanasikitisha sana, na wabunge pia wanatia hofu kukubali majibu ya hivi bungeni. Kimsingi Tanzania ilijiingiza kwenye sera za kibepari bila kujua matakwa ya ubepari na athari zake. Leo waziri hawezi kusema serikali itapanga kiwango cha riba wakati riba zinaamuliwa na...
Tanzania Institute of Bankers, inaongozwa na Cashmir Nyoni, ni mme wa Blandna Nyoni. Huyu mzee ni mlevi sana, hivyo hii taasisi is virtually redundant, therefore don't expect to get anything there.
This was expected.
Ila chakusikitisha ma-architecture wa ufisadi Tanzania ni wale wale kina Kimei (CRDB) na wenzake. Nakumbuka siku hii stimulus plan inasomwa na JK niliona wazi kabisa anayoyasema yote hayana utafiti wa kuridhisha ila ni mpango wa kunufaisha watu kwa vigezo vya kuyumba kwa...
Mkulu ahsante kwa uchambuzi mzuri. Ila ujatueleza ni kwa vipi hii middle class itatuletea hayo maendeleo! Nijuavyo mimi ni kwamba hii asilimia kubwa ya watu masikini ambayo ndiyo class ya chini ndiyo haswa inavote kuwaweka madarakani hao ruling class. Mpaka siku hii class ya chini (sijui lini)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.