Search results

  1. Eng.Livingstone

    Hongera CCM kuitekeleza ilani ya UKAWA

    Magufuli ni Mtanzania na si mwana ccm.....wenye ccm yao wapo msoga.
  2. Eng.Livingstone

    Kero ya Rais kutumia barabara

    Mtu wa kijijini hawezi panda ndege.....hajui muda ni mali.
  3. Eng.Livingstone

    Dr. Magufuli bila kung'oa hii mizizi utapata shida!

    Nyie vibaraka wa wakubwa ndio mtampa shida Mkuu wa dola
  4. Eng.Livingstone

    Magufuli, viongozi wote wa UKAWA wafilisiwe

    Mtoa Mada QUININE....nikupongezee kwa mada hii ambayo wenye Akili kubwa tutaendelea kuichagia hapa...ila nikwambie tu kwamba kupitia uzi huu utafanikiwa kuelewa/kufahamu uwezo wa Akili wa Watanzania wenzetu waliopo katika mtandao huu.
  5. Eng.Livingstone

    Magufuli, viongozi wote wa UKAWA wafilisiwe

    Nlijua una Akili ndogo kama ya serikali ya UKAWA iliyopita hivi punde ya yule rais wa msoga
  6. Eng.Livingstone

    Kutumbua jipu Nchi itayumba?

    Nashauri hiyo mahakama ya mafisadi ipakwe rangi ya kijani na iwe na bendera ya ccm....maana mafisadi wapo ccm.
  7. Eng.Livingstone

    Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

    Na wewe ulifukiwa na kifusi mgodini
  8. Eng.Livingstone

    Mtazamo wangu kuhusu wabunge wa UKAWA Kuzomea bungeni

    Siku nyingine inabidi wapigane kabsa......Tanzania ni Zanzibar na Tanganyika....nafikiri na wewe ulikuwa machimboni baada ya kufukiwa na kifusi ukaokolewa na kuja kuanzisha thread Hapa JF. THINK BIG
  9. Eng.Livingstone

    Nadhani mnaanza kumuelewa Jingalao!

    Usimshabikie....mpe sifa kwa yale mazuri anayofanya
  10. Eng.Livingstone

    Ukweli wa heri: Tundu A. M. Lissu hana mfano Bunge lile wala hili

    I can see him 2020....nilidhani ingekuwa mwaka huu ila kura millioni 6 zimemfanya yeye kuwa na mtaji mkubwa 2020.....Mama Anna Makinda alimuheshimu sana mh.TUNDU Lissu katika lile vuguvugu la ESCROW maana hata huyo Mwanasheria wa sasa hakuwa na uwezo wa kutafsiri kama Lissu alivyofanya.
  11. Eng.Livingstone

    Upinzani wamejipatia sifa ya utoto bungeni

    -Kule kenya wabunge hupigana ngumi bungeni. -Na kuna mabunge mengine wawakilishi hutoleana Bastola na kutishiana Amani. NB:Mi naona UKAWA ni wa pole na wastaarabu sana....Na Zitto K ni mwanaharakati Vuguvugu.....Magufuli alikosea sana kuwaita ni UKAWA ni watoto,labda kama Serikali yake itakuwa...
  12. Eng.Livingstone

    Kutoka Bungeni: Wabunge wamchagua Dr. Tulia Ackson Mwansasu kuwa Naibu Spika wa Bunge la 11 la JMT

    Huyu naibu spika wa bunge la 11 namfananisha na Wema sepetu anapotoa hoja ama kujibu swali.
  13. Eng.Livingstone

    Magufuli ana ubavu na rushwa? Akiweza nitamuunga mkono

    Yeye mwenyewe kaingia kwa Rushwa za Buku7 atawezaje kuikemea......huku mtaani watu walikula sana Rushwa hadi za buku2
  14. Eng.Livingstone

    Kijana ni lazima uyajue haya ili uishi kwa amani ndani ya taifa lako

    Usitufundishe uoga maana vijana wa South Africa watatucheka.
  15. Eng.Livingstone

    TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

    Sitaki kujua nani kamuua.....ila AMANI ni nini hasa?
  16. Eng.Livingstone

    Swali la Kimantiki: CCM wamuue Alphonce Mawazo kwa sababu zipi hasa?

    Akili yako ni ndogo sana huwezi fikiri kisayansi kama mimi,huwezi relate matukio.
Back
Top Bottom