Search results

  1. S

    Hatimae mh. Jenista Mhagama anena kuhusu ajira za walimu wapya

    Tanzania ina miliki viongozi wenye utindio wa ubongo kuna haja sasa tunapowachagua viongozi wa kisiasa daktari kushilikishwa kwa vipimo zaidi uwezi toa taarifa yenye ukweli sahihi bila kuwasiliana kama viongozi walisema ajira january kwa mujibu kassim majaliwa akaja rais wa nchi jk akasema...
  2. S

    Dr. Thomas Kashilila: Posho ya kikao kwa Bunge la Katiba ni laki 3 na sio 7

    i would like to use this chance to hate the goverment of Tanzania kwa kutokuwa na akili ya kufikili leo unasema posho ya each mjumbe laki 3 while walimu payment zao per month ni laki tatu while mjumbe ni per day ni nchi gani hii tanzania yenye viongozi wenye akili butu walimu wapo mitaani...
  3. S

    Ajira mpya za Walimu 2014/2015

    ajira tutawapa vijana ila mkifika uko mkafundishe si vema mkaenda kuwa vinara wa migomo hii ni nchi pesa za bajeti yenu tulikopesha wiki ijayo wataturudishia ndio nitawapanga kazi vijana ccm oyeeeeeeeee!!
  4. S

    Taarifa ya Ajira mpya za waalimu - TAMISEMI

    we2 upo ------ sana uwezi potosha umma ujui ni kwa kiasi gani umefanya watu wawadanganye wazee wao juu ya ajira za walimu hizo Tanzania uongo mumeweka ndo posho mana viongozi ni waongo raia waongo we2 na waziri wako wa tamisemi majaliwa mumeweka walimu wa kuwachezea waziri amedanganya umma na...
  5. S

    ajira mpya za walimu 2013-2014

    ajira za walimu nchini imekuwa gumzo sana serikali awashirikiani raisi anasema mwanzoni mwaka 2014 mlugo alisema kuanzia februally/march 2014 kasim majaliwa alisema january 2014 sasa awa awawasiliani a goverment must communicate
  6. S

    Said Arfi - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ajiuzulu rasmi!

    napenda kutumia nafasi kulani vikali baadhi ya vitendo vinavyo fanywa na baadhi ya viongozi wa chadema kukiujumu chama kinachopendwa na watanzania wenye nia njema na nchi yao ya Tanzania viongozi hao ambao hufanya mambo yenye tija kwao na si kwa taifa na chama ni kwa mda mrefu sasa imani kubwa...
  7. S

    ajira mpya za walimu 2013-2014

    Nahisi mwezi wa kumi na mbili nimewasiliana na mlugo
  8. S

    ajira mpya za walimu 2013-2014

    Ajira zinaitajika sana kwani watu huku kitaa huku ni kugumu sana acheni fikra ovyo
  9. S

    ajira mpya za walimu 2013-2014

    Inawezekana ebu tusubiri
  10. S

    ONYO kwa wanaonunua simu humu

    Mimi nina laptop HP NAUZA CONTACT ME setysanga@gmail.com
  11. S

    Kazi ya ualimu na dhana potofu miongoni mwa jamii yetu ya kitanzania

    Siku izi ni kazi wito ni uongo mana maisha ni gharama
  12. S

    Natafuta shule ya kujitolea kufundisha Biology na Chemistry

    Aya waheshimiwa nyie mnasaisha lugha ye2 amesema anataka kusaidia fundisha nyie mna nena mengine izo ni lana
  13. S

    Kazi ya ualimu na dhana potofu miongoni mwa jamii yetu ya kitanzania

    Ualimu ni kazi ya kitaaluma kwani anayeenda sifa zimezingatiwa ukisema walimu ni watu walio feli unakuwa unawatukana pasipo kufikili viongozi wengi enzi za nyerere walikuwa ni walimu na ndio walio ifikisha nchi hapa wakina mwalimu julias kambarage nyerere na bado walimu wanaendelea kuwaanda...
  14. S

    Kazi ya ualimu na dhana potofu miongoni mwa jamii yetu ya kitanzania

    Awali napenda kutumia nafasi hii kuweza kumshukuru mwenyezi mungu kwa kutujalia afya tele baada ya kufanya aya machache ningependa kuchukua nafasi kuelezea dhana potofu iliyojengeka miongoni mwa tanzania juu ya swala la mtu aitwapo mwalimu au yule anayesomea kuwa ni mwalimu kutazamwa ni mtu...
Back
Top Bottom