Search results

  1. B

    Umri wa Lowassa una utata mtupu. Eti ni mdogo kwa Kikwete?

    UMRI WA MHE LOWASSA; Si vizuri sana kujadili umri huo, lakini ni vizuri kuweka kumbukumbU sahihi, badala ya kupotosha. * Alizaliwa Monduli Agosti 26, 1953. Alisoma Shule ya Msingi ya Monduli, 1961 - 1967. Aliingia Sekondari 1968, Ilboru. Alimaliza Kidato cha Nne, 1971. Alisoma Sekondari ya Juu...
  2. B

    Kwanini Lowassa havai vazi rasmi la CHADEMA maarufu kama gwanda?

    Kwani hata Mwalimu Nyerere alikuwa anavaaga Magwanda ya Kijani ya CCM?
  3. B

    Lowassa aitikisa Igunga

    Kama una kumbukumbu nzuri, uliwahi kumuona Mwalimu Nyerere, amevaa Shati la Kijani la CCM, kabla hajafa?
  4. B

    Wakati wapinzani wanapingana kuhusu kiti cha mwenyekiti...

    Oh, usipotoshe! Wanaojenga hiyo miundombinu siyo CCM, ni Serikali kwa kutumia Kodi za Wananchi na siyo Fedha za Ruzuku za CCM! Hata hiyo Ruzuku pia ni Kodi za watu! CCM, kama wangekuwa na Hela, wangewalipa kwanza Wafanyakazi wa Gazeti lake la UHURU wanaoteseka bila ya Mshahara kwa Miezi saba...
  5. B

    Waziri Mkuu: Tutakuwa tunatumia Kiswahili kwenye mikutano ya kimataifa, tutaajiri wa kututafsiria

    TUFUNDISHIE KISWAHILI, ILA TUJIFUNZE KWA BIDII KIINGEREZA NA LUGHA NYINGINE ZA MAANA ZA KIGENI. *Nimesoma Msambichaka anasema India na China vipo Vyuo vinavyofundisha kwa Kiingereza. Vingi ya hivyo ni kwa ajili ya wanafunzi kutoka Afrika, waliolemaa kwa Kiingereza na ambao hawapati fursa, kwa...
  6. B

    Waziri Mkuu: Tutakuwa tunatumia Kiswahili kwenye mikutano ya kimataifa, tutaajiri wa kututafsiria

    Mchangiaji mada, NullPointer, pamoja na kutetea Kiswahili, yeye mwenyewe, ametumia Maneno 12 ya Kiingereza, mara 15, bila ya sababu yoyote, wakati angeweza kutumia Maneno ya Kiswahili, badala yake, katika aya zake nne! Aya ya kwanza: Primary; Process. Aya ya pili: Step; High School...
  7. B

    Hakuna atakaefanikiwa kuongoza nchi hii kwa mafanikio kupitia CCM

    Ni kweli CCM imechokwa! Zingatia yafuatayo: *Wakati wa Kampeni walikuwa wanazomewa; *Vijana walijitoa kwa wingi kuipa "NO" CCM! *Jaji Lubuva hakutaka hata kusikiliza malalamiko ya Ukawa kuhusu majumuisho ya Kura; *Waliofanya "tallying" wa UKAWA walikamatwa, wa CCM, pamoja na January Makamba...
  8. B

    Mbunge Magdalena Sakaya: Fast Jet ni wezi, wezi kabisa

    FAST JET? *Siungi mkono kuwa ni Wezi, lakini Huduma zao haziendeshwi Vizuri na wakiendelea hivi na watu wengi wakijua, watakosa Biashara! *Hawana msimamo kuhusu Mizigo. Utaratibu wa ruhusa ya kubeba angalao Kilo 20 bila ya kutozwa, hawanao kabisa! Nilisafiri kwenda Mwanza, walinibana kuwa mzigo...
  9. B

    Mapinduzi ya Pili Zanzibar

    Jamani, Tatizo la Zanzibar ni kwamba Serikali inayoundwa baada ya "Uchaguzi wa Marudio", itakuwa inakwenda Kinyume na Katiba ya Zanzibar: * Katiba inasema Zanzibar itakuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa = Umoja upi wakati hakuna hata Mwakilishi mmoja kutoka Chama cha Upinzani katika Baraza...
  10. B

    The English of the Tanzanian President Magufuli

    Jamani, Rais Magufuli siyo mtaalamu wa Lugha, bali ni msomi, mwenye elimu ya Masuala ya Kemia. Kiingereza siyo Elimu. Ni Lugha tu. Wapo Waingereza wanakichapa vizuri Kiingereza, lakini hawana Elimu! Ni hakika Magufuli siyo mzungumzaji mzuri wa Kiingereza, wala Kiswahili! Hata Kisukuma chake...
  11. B

    Zuio la Uchaguzi Meya wa Dar Lageuka Kaa la Moto, Aliyelisoma asema Hakujua kama ni halali au feki

    Jamani, Huyo Mwanasheria wa Jiji, anasema alipewa na nani hiyo Hati ya Zuio? Alipewa kwenye corridor halafu anafikisha kenye Mkutano bila ya kusoma? Je, hayo ndiyo maadili yake ya Kazi? Hili siyo suala la nani mpenzi wa UKAWA nani wa CCM! Hili ni suala la kitaaluma. Inabidi huyo Mwanasheria...
  12. B

    Elimu yetu itashuka mpaka serikali ya CCM mtakapoamua kuwajali walimu

    Jamani; * Walimu ndio wapewe kipaumbele cha kwanza katika kuboreshewa maslahi yao. Kila mtu amefundishwa na Mwalimu! Wanaofuata wawe MADAKTARI, kwa vile wanahakikisha tuna Afya njema na Uhai mrefu; baadaye watumishi wa ULINZI NA USALAMA wakiwa ni pamoja na Polisi, Mahakimu na Jeshi wanaolinda...
  13. B

    Kwanini "Service charge" ya TANESCO ni tatizo linalohitaji utatuzi wa haraka!

    Jamani, Ni kweli "Service Charge" ya Tanesco ni sawa na wizi! "Service" ipi, kama inayofanywa na Mekanika kwenye Gari kwa kumwaga Oil, kucheki vitu vingine, kubadilisha "Filter" n.k. Sasa hawa Tanesco, wanafanya "Service" ipi? Kama Mteja ananunua Umeme, kwa Bei iliyopangwa na Tanesco, ambayo...
  14. B

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Michezo, inaingia katika wizara ya Elimu, Sayansi na Utamaduni! Michezo (hata Muziki, Ngoma, Sarakasi!) pia ni sehemu ya Utamaduni. Iliwahi kuwa hivyo zamani na tukawa tunashinda Medali nyingi, kuliko ilivyo sasa, tunafungwa Mabao 7-0 katika kinyang'anyiro cha kujaribu kufuzu kwenda kombe la...
  15. B

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Kuna Makala ilitoka katika Gazeti la Jamhuri, Toleo la Nov. 17, 2015, nzuri sana. Inasema Baraza la Mawaziri liwe na Mawaziri 12 tu. Mawaziri wa Nchi, wala Naibu Mawaziri, wasiwepo. Hakuna Waziri anayemuamini Naibu wake! Kwa kukosa la kufanya Naibu Mawaziri, wamechangamkia na kujitwalia kazi ya...
  16. B

    Mlolongo huu wa vyeo katika wizara moja tu ni kweli unahitajika?

    Ukiacha Wizara za Ardhi; Madini na Elimu, nyingine zenye Makamishna ni Fedha (Kamishna wa Fedha za Nje); Kilimo; Kazi (Kamishna wa Kazi); Afya (siyo Kamishna, ila ni Mganga Mkuu - Chief Medical Officer). Hawa, wote wako kwenye Sheria, zinazosimamia Sekta zao! Kwa Mfano, Wizara ya Ardhi, anayetoa...
  17. B

    Mlolongo huu wa vyeo katika wizara moja tu ni kweli unahitajika?

    Ni kweli kuna mlolongo mrefu wa Vyeo. Katika Wizara nyingi kuna Waziri; Naibu Waziri; Katibu Mkuu; Naibu Katibu Mkuu; Mkurugenzi (Mkuu wa Idara); Mkurugenzi Msaidizi. Katika Wizara nyingine, zenye majukumu mengi, kuna pia Kamishna, kama vile Wizara ya Ardhi; Wizara ya Nishati na Madini na Wizara...
  18. B

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Rais Magufuli aunde Wizara ya Habari na Mawasiliano! TCRA iwe chini ya Wizara ya Habari, badala ya sasa Habari kusimamiwa na Wizara 2 tofauti - Habari (Magazeti n.k.) na ya Sayansi, Teknolojia na Mawasiliano (TV, Radio, Mitandao)! Tozo za Simu, Leseni za TV/Radio, zingeimarisha Sekta ya Habari...
  19. B

    Picha na Habari: Siku ya kwanza ya Rais Magufuli akiwa ofisini Ikulu

    Rais Magufuli tunamuomba ateue Baraza Dogo tu la Mawaziri, 13 tu pamoja na Waziri Mkuu! Manaibu wasiwepo, hawana Kazi zaidi ya kujibu Maswali tu Bungeni! Baraza la JK ni Mawaziri 32 na Manaibu 25! Mawaziri wa Nchi wasiwepo, nao hawana Kazi pia, ni kupeana Ulaji tu! Mawaziri wajibu wenyewe...
Back
Top Bottom