PURA pia sio pabaya sana ila mwanzoni wakati inaanzishwa ndo ilikuwa vizuri zaidi sababu walikuwa wachache na ndo walikuwa wanaandaa miongozo so safari zilikuwa nyingi. Bado wanaendelea kutafuta vyanzo vipya vya kuingiza pesa ukiachana na tozo tu za kampuni zinazozalisha gesi Lindi na...
EWURA pazuri zaidi mkuu.Mishahara yao ipo juu bado posho kama zote na safari hasa inspectors. TPDC mishahara yao haizidi 2m kwa officers. Uzuri pekee wa TPDC ni kuwajali staff wake kwa kuwasomesha nje ya nchi. Ukumbuke pia EWURA mamlaka haizalishi bali inakusanya tu na kukata 1% kwenye...
Mkuu mitungi ya hivi wanaita toroid au donut shape.Hii inatumika zaidi kuweka Liquefied petroleum gas(LPG) kama ile mitungi tunayotumia majumbani kupikia. Ni technolojia mpya bado kwa Tanzania ndo inaanza kuingia kutumia gesi tunayotumia majumbani kama taifa gas,oryx etc. kwenye magari.Bado...
Pole sana mkuu. Hii comment ya kuhitaji replacement ni common sana kwa maboss siku hizi kwenye barua unazopitisha kwao kuhama. Lengo lao ni kukuzuia usiondoke. Ni changamoto kwakweli. Jaribu kwenda kuongea na boss wako idarani hapo umueleze lengo la kutaka kuhama kama hukufanya hivyo...
umejaribu kuomba nafasi mkuu kwenye taasisi unakotaka kwenda?Kama wana nafasi sidhan kama kuna ulazima wa kutafuta wa kubadilishana nae.Uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi upo sana sana TAMISEMI.
Uamuzi mzuri.Honda crossroad ni bora mkuu.Nnayo mwaka sasa ni moja ya family car nzuri na bei yake nafuu.Ulaji wa mafuta mzuri na ipo stable barabaran.
Sio kweli mkuu.Hii gari unaanza kuihisi nyepesi ukifika speed 140 labda ila chini ya hapo unaweza jiona unaendesha speed ya kawaida kumbe upo speed balaa😀 sababu huhisi kabisa kupepesuka. Spea bei yake zipo juu ila ila sio sana kiivyo hazitofautiani na subaru au Nissan.Kila naempa hii gari...
Unaweza kutengeneza rough floor mkuu bila ya kuezeka.Nilifanya hivi pia wakati nasubiri bati zangu niloagiza kutoka China.Changamoto kubwa ikikaa mda mrefu sana na jua likiwa kali sana inapasuka. Japo haina shida sana ikipasuka kwan utakuja weka tiles baadae.
Gari inategemeana na cc. Honda crossroad kuna ya cc 1800 na 2000 cc.Ulaji wa mafuta hautofautiani sana.Yangu ya cc 1800 mjini inanipa 11-13km/l.Ulaji wa kawaida sana mkuu.Kuhusu kuingiliana na spare sina uhakika zaidi.Tangu niwe nayo nimebadili tu oil filter tu ambayo unaweza weka ya kampuni...
Honda wana gari ngumu sana na ni reliable!Nnayo Honda crossroad ni mwezi wa 6 sasa tangu niiagizie kutoka Japan.Sijaona tatizo lolote mpaka sasa hasa kwenye engine.
Nimefanya tu service ya kawaida labda na kubadili zile bush chini sababu ya barabara zetu za kibongo.Ulaji wa mafuta ni mzuri tu...
Mpaka uthibitishwe kazini ndo unaweza kuomba uhamisho.Sababu ukipata nafasi unapotaka kuhamia lazima utaambatanisha barua ulojibiwa kuna nafasi,vyeti pamoja na barua ya kuthibitishwa kazini ulipo sasa kwenda kwa katibu mkuu utumishi.
Bila hivyo ni vigumu labda kama una mtu mkubwa na connection...
Ni vigumu kukuita kwenye interview bila ya barua yako kupitishwa na mwajiri wako wa sasa.Bora angepitisha kwa kucomment chochote na kugonga muhuri. Nashauri useme hujaajiriwa popote kwenye barua.Ila hata ukifaulu usaili wao watakuja kukukamata wakati wanapeleka majina utumishi sababu tayari una...
N
Mkuu hebu rudi kusoma post yangu!Nimesema kwa Tanzania bado sana sababu vyuo vyetu havifanyi tafiti wala kushirkiana na kampuni au taasis nyengine.Ndo mana unakuta walimu hawana uzoefu zaidi ya theory tu na kuchapisha vitu visivyo na impact kwa jamii
Namshauri aende UDOM!UDSM kwa kozi ya MD bado sana wanaendelea kujiimarisha ndo mana mwaka juzi walifungiwa na TCU kozi ya MD!UDOM wana mda sasa wanatoa hio kozi na uzuri wana hospitali kubwa sana ya Benjamin mkapa pamoja na za mikoani wanapopeleka wanafunzi wao kusoma kwa vitendo.
Kwenda gym kubeba chuma au kufanya mazoezi ni kwa faida ya afya yako sio umfanyie mtu!though yanasaidia sana kwa wanaume kuwa na nguvu za kutosha kumridhisha mwanamke kitu ambacho ni sifa ya kuitwa mwanaume!pete tu na pesa havimtoshelezi mwanamke
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.