Search results

  1. S

    Daudi Mwakawago afariki Dunia

    Wanajamii forum Kuna taarifa kwamba ndugu yetu mkongwe, Comrade Daudi Mwakawago alifariki leo asubuhi katika Hospital ya Aga Khan jijini Dar es Salaam. Mazishi ni siku ya Jumamosi katika makaburi ya Kisutu
  2. S

    Ukitaka kujenga nyumba usimchukue fundi...

    Kwa sababu gani? kwa sababu ukimchukua ndugu yako wa karibu ikitokea kaharibu jambo, utashindwa kumchukulia hatua za kisheria kwa sababu mjomba wako, utakachofanya ni kuingia hasara upya, kubomoa jengo au kutafuta fundi...
  3. S

    Nifanye nini iliniweze kurudisha mkopo na riba

    Pole sana NGALIKIHINJA, nakupa pole kwa sababu umekulupukia kitu usichokijua,WANZUNGU WANASEMA 'think before you rip' maisha ni mipango, unatakiwa kupanga kwanza kabla ujapata. swari wewe ulikopa ili ufanyie nini? tusikulaumu sana bado ujapotea, je hizo pesa...
  4. S

    Eti supu ya pweza au nyama yake inasaidia nini?

    Kwakweli SUPU ya pweza inaongeza NGUVU mwilini na ukinywa uwe na uhakika wa gemu otherwise mmmm; hata ile sehemu wanapouza ukienda kunywa watakuuliza unamke? sehemu yenyewe ni mtaa wa lindi kama unaelekea kawawa road KAPLITO ndio zake uwa wanauza kuanzia...
  5. S

    Sisi wanajf ongozeni nchi je tutaanzia wapi?

    Wanajf ongozeni nchi tungeanzia wapi? Kama tungekuwa viongozi wa Tanzania. Kubadili katiba ya nchi? Kuwakamata Mafisadi wote? Kurudisha nyumba za serikali? Kufukuza wawekezaji wa Madini wote? Kurudisha vipanya vyote katikati ya jiji? Kurudisha nyumba zilizobomolewa ktk ifadhi ya bala bala...
  6. S

    Kambale anatokana na nini?

    Wakuu naomba mnifahamishe kambale anatokana na nini? mimi najua kumla tu lakini sijui anatokana na nini? najua anaishi maji baridi,najua NDIMBWI LA MAJI WIKI MBILI KAMBALE YUPO, ANAZALIWA NACHURA AU TOPE. HAELEWEKI SAMAKI HUYU.
  7. S

    Madereva wa mikoani wasitisha mgomo wao!

    Tumesiokia mabasi yaendayo mikoani MADEREVA WAMEGOMA, kisa mwezao kafungwa miaka 30.Mh,Rais wa jamuhuri ya muungano ya Tanzania alitoa tamko MADEREVA WAZEMBE WAPEWE ADHABU KALI, WAKUTWAPO NA KOSA LA KUSABABISHA AJARI KWA UZEMBE. Je aliyefungwa miaka 30 kafanyauzembe au ajari haina kinga?
  8. S

    Nani amekiua kiwanda cha kutengeneza magari aina ya nyumbu Kibaha Pwani Tanzania?

    You know, Tanzania tumewahi kutengeneza GARI' aina ya 'NYUMBU' Kikosi cha jeshi nyumbu kibaha Pwani. Magari hayo yapo kama ujawahi kuyaona nenda katika maonyesho ya nane nane utayakuta. Nani kaua kiwanda hicho? mpaka sasa tungekuwa tumetoa matoleo mangapi ya...
  9. S

    Nani anahaki na nani hanahaki ya kuwa umeme wa nyuklia?

    Wakuu hatuwezi kutoka bila ya kuwa na umeme wa nyuklia 'believe it or not' why not ? kwa sababu nchi zote zilizopiga atua ya kimaendeleo zinaumeme wa uhakika, na umeme wa uhakika ni wa 'NUCLEAR' sisi Tanzania tunasubiri nini? Maendeleo gani yatakuja bila ya umeme wa uhakika? mwekezaji gani...
  10. S

    Kuoga na mume au mke wako...

    Actually ndio zangu, kuusu swala la nywere PAKAJIMMY kasema ukweli ndugu zetu hawataki nywere ziingie maji, wangu anafunga mifuko ya plastiki kichwani kisha TUNAMWAGILIZIANA NA KENI LA MCHICHA,actually we have been enjoying a very day hatuna mpangaji WILL...
  11. S

    Iran Will Strike Israel Nuclear Sites If Attacked

    Musiombee hayo if will happen nuclear war, who will survive? Marekani-wamejilimbikizia many nuclear missils. Urusi- ll ll Uingereza- ll ll France -ll...
  12. S

    Epukeni bidhaa za Game Mlimani City!

    Mlimani city [game] ni sehemu ya kisasa kabisa 'KUUZA VITU VIBOVU' haibu kubwa wahusika wako wapi? RUSHWA I wish I were President naunda tume ikithibitika NAIFUNGA.
  13. S

    SIPENDI WATU hawa

    Change Cavooo.
  14. S

    Watanzania wananunua haki yao

    Wabongo tunajifanya WAJANJA SANA kumbe hatuna lolote, mladi wa maji wa serikali morogoro road na bagamoyo road 'BURE' WAKANDALASI WAJAMAA' WACHINA' serikali wamelipia kila kitu, wako watu wanalipia 'WAKATI NI BURE' *HUU NI UJINGA AU KUTOKUELEWA? -Wanaofanya hivyo ni wakandalasi wa KIBONGO si...
  15. S

    Kazi mbaya unayo,kazi mzuri huna

    Wana jf, kazi mbaya unayo ukiwa huna 'NZURI' kazi yeyote unayofanya sasa usiidharau hata kidogo hatakama inamapato madogo inakujengea heshima kubwa kutokana na hali ya sasa ya maisha ngumu.Kwa hiyo wana jf usithubutu KUACHA KAZI HATA KIDOGO,Wahi kazini wahishimu wakubwa kwa wadogo,Mimi...
  16. S

    Uvaaji wa Mabinti wa Kileo na Raha ya Kuoa

    Mimi nasema hizi ni kama LAANA, kwa sababu baadhi yao wamezidi kujidharirisha haibu tupu.Kwa TZ waliowaastarabu it is very terrible, tamaduni zote tumezitupa hadi za kuvaa NGUO, bad imitate perhaps the end of WORLD. MBONENYAI.
  17. S

    Kituo cha Polisi Chachomwa Kyela

    It is very terrible, yaliotokea kyela Mbeya yanasikitisha na ni mfano mbaya. it said that RC scape them why what would them did? they dicided to go on, step to step for 4 hours if ffu delay for 12 hours ingekuwa INTRAGEDY. SO MWALIMU...
  18. S

    Uknown Alergy

    Mke wangu anatatizo kama lako tofauti yake yeye akienda kuoga baada ya kumaliza kuoga anawashwa kama nipo nachukua kitana au shanuo namsaidia kumkuna mwili mzima lakini sio kila siku ndio maana atujatumia dawa yoyote. yeye akiosha vyombo, akifua nguo shwari...
  19. S

    Hivi ni sababu gani imfanyayo mwanamke kuwa Changudoa?

    Kwa Tanzania hakuna kazi ya 'UCHANGUDOA' wote wanaofanya kazi hiyo ni WAARIFU, kama waarifu wengine.serikali ikiamua kuwakamata inawashitaki wanafugwa hakuna uharari wa kazi hiyo. kwa hiyo machagudoa wapo wa haina nyingi wamavyuoni wapo wanafanya...
  20. S

    Wasafiri kuchimba dawa ktk karne hii si sawa?

    Unajua 'KITU HAJA' Inawezekana ujawahi kushikwa na haja. Haja ukizidiwa kweli kweli haina adabu popote inatoka hata kama umesimama kwenye lieso itatoka tu. Kuchimba dawa umekukuta na utakuacha 'WALIOZIDIWA WATAENDELEA KUCHIMBA DAWA KAMA KAWAIDA' wote...
Back
Top Bottom