Search results

  1. M

    Kwa Mtemi Deo Kisandu: Hitimisho-Mjadala kuhusu Tundulisu, Nyalandu, Zitto, Jerry Muro vs Monalisa

    Wana jamvi Jukwaa letu lina watu ambao mawazo yao ni ya muhimu kwa Afya ya jukwaa maana huleta mawazo adimu Kwa kipindi kifupi tumejifunza na kujadili hoja za wana jukwaa athimu kuhusu kuvamiwa kwa Mhe.Tundu Lissu, Kuhama kwa Mhe Lazaro na Hoja ya Mhe Zitto Mzito Sana ya Uchumi na mawazo...
  2. M

    Dereva wa Nape, Maulid Kitenge na Homorapa Wameshahojiwa??

    WanaJamvi Jeshi letu limeona umuhimu mkubwa wa kuwahoji DREVA wa Mhe. Tundu Lissu kwa kuwa aliona kilichotokea ili liendelee na Uchunguzi Pia katika tukio la Mhe Tundu Lissu majirani wakiwemo walinzi wa nyumbani na mageti yaliyo kwenye makazi wao walikuwa nje dreva alikuwa ndani ya Gari...
  3. M

    Prof.Lipumba, Mhe Mbatia na Dr Slaa kulikoni?

    Wanajamvi Sio viongozi wa dini, viongozi wa Serikali akiwemo hata Mhe Rais, Jaji Mkuu Mstaafu na Mhe Spika, Mawaziri Wakuu Wastaafu, Mawaziri na Wabunge na Wananchi wa Kawaida Kitendo alichofanyiwa Mhe Tundu Lissu Licha ya kumtakia pole na Afya njema wametoa kauli huu sio Utanzania sio...
  4. M

    SABABU ZA Mhe. Askofu Gwajima kumkabili Mhe Gambo

    Wanajamvi Katika salamu za pole kwa kuondokewa na Mwasisi wa Chama cha Chadema na aliyekuwa mbunge wa Moshi mjini Ndesa Pesa. Mhe Baba Askofu Gwajima aka Mzee wa kusaga na kukoboa / unawasha moto wakati huna magari ya kuzima moto. Alimkemea Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Mkuu wa Mkoa wa...
  5. M

    HOJA KWA DART

    Wana jamvi Hivi kwanini ajira za Wafanya kazi wa DART kwenye vituo ni Wasichana na Wanawake Wazuri tu? Kwa anayebisha nenda kituo chochote angalia wasichana na wanawake utakao wakuta? Je kulikonii? Watanzania tuna wanawake na wasichana wazuri tu? Pili sifurahishwi na speed wanapokaribia...
  6. M

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Unamshauri afanye nini?

    Nikiwa mkazi wa Dar Ambaye wewe ni kiongozi wangu. Mambo ambayo yanakuandama mpaka sasa nimesikia ni kumsingizia Askofu Gwajima kuhusu madawa ya kulevya imeonekana umemsingizia kwa kuwa vipimo vya mkemia mkuu vimeonyesha hajatumia na hata kufunguliwa Kesi waendesha mashtaka wakasema upelelezi...
  7. M

    Mwanahabari Jerry Muro ahoji uhalali wa tume ya Mhe. Nape Nnauye

    JERRY C. MURO _____ ANAANDIKA:- Moja ya maswali ya Tasnia kwa Mhe waziri ni hili la ukakasi wa Members wake wa kamati 1. Balile ni mhariri mtendaji wa Jamhuri gazeti ambalo leo limeweka kilichopo je huyu atakuwa na uhalali wa kuhojiana na Mhe Makonda? 2. Jesse Kwayu ni mhariri kiongozi wa...
  8. M

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam azindua barabara ya Shimo la udongo

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda amezindua barabara ya Shimo la Udongo, Kilwa EPZ iliyopo kurasini ya Kilomita moja; Iliyojengwa kwa kiwango cha zege na kampuni ya wazalendo ya Grant Tech iliyogharimu takribani milioni 350. Hongera Kiongozi
  9. M

    Serikali ya Korea yatoa dola elfu 50 kwa waathirika wa Kagera

    Wana board Serikali ya Jamhuri ya Korea imetoa msaada wa Dola za Marekani elfu hamsini sawa na 108milioni kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi lilitokea mkoani Kagera. Zimekabidhiwa kwa Waziri wa Mambo ya Nje.. Mhe.Balozi Mahiga
  10. M

    Kazi ya Dr. Slaa kwa awamu ya Tano

    Wana board Mhe. Dr Slaa awamu zilizotangulia alifanya kazi Kubwa bungeni na hata nje ya bunge akiwa Katibu mkuu alifanya kazi Kubwa sana hajapata kutokea. Aliweza kutingisha viongozi wa umma na hata Serikali na hata jamii kuwa ya kuamini ktk falsafa alizotumia. Mwisho wa awamu ya NNE aliamua...
  11. M

    Maamuzi ya matumaini, imani na ujasiri ya Mhe. Rais juu ya nchi yetu Tanzania

    "Nimeamua nchi iende na itaenda, anayedhani atanikwamisha atakwama yeye kwasababu hata Mungu yupo pamoja na Mimi,"---Rais Magufuli.
  12. M

    Mhe. Makufuli Songea ni MPINZANI NI UKAWA ni LOWASSA, LOWASSA

    i.Police wanapatashida mpaka wanalala smg inachukuliwa ii.Wiki za maji halafu hamna maji iii.Alianzisha Tanroad na wanafanya kazi wanafanya vizuri kazi mpaka kuna wanalipwa milioni 4 je kada nyingine kwanini hakuzitetea hazifanyi kazi? hazistahili milioni 4 iv.Adai wanafunzi...
  13. M

    Jaji Sinde Warioba tafadhali

    Naomba anayeweza kumfikishia Ushauri wangu anisaidie kwa kuwa akiutekeleza una maslahi mapana ya wengi Mhe Ulipotuambia tunahitaji kuwa na serikali tatu na pia Rais apunguziwe madaraka, ukomo wa ubunge, mikataba iwekwe wazi na mambo mengi kama matumizi ya rasilimali. Tulikupokea kwamikono...
  14. M

    Nani anafaa kuwa Waziri wa ardhi na maendeleo ya makazi?

    Wanajamvi Kwa kuwa waziri Prof. Tibaijuka ameshatenguliwa katika kulitumikia taifa kwa nafasi ya Uwaziri. Na kwa kuwa wizara ya ardhi inahitaji mtu makini,mwadilifu na mzalendo na anayeweza kutatua migogoro bila kuzalisha au kusababisha mwingine. Je ni nani anaweza kuimudu Wizara hii...
  15. M

    Prof. Tibaijuka, huwezi kufikiriwa kuwa Rais ajaye kwa sasabu kuu mbili...

    Wanajamvi Umofia kwenu, Kwanza ulifanikiwa kufanya vizuri UN HABITAT kwa kuwa wenzetu wanamfumo mzuri wa kubana watendaji utendaji kazi wao wasidanganyike WALA KUDANGANYA. Kwa Tanzania hii na kama ingekuwa tanzania tuitakayo iliyoasisiwa na mhe. Jaji warioba kwa kusikiliza kilio cha wananchi...
  16. M

    Watanganyika Zanzibar Kuitetea Zanzibar, Wanzibari TANGANYIKA Kuisaliti ZANZIBAR

    Wanajamvi Wakati wana UKAWA Jumamosi wakiwa Zanzibar kutetea Rasimu yenye Maoni ya Wananchi dhidi ya Kuondoa kero kuu ya Zanzibar kumezwa na Tanganyika inayojiita Tanzania. Baadhi ya Wazanzibar ambao hawakutoka Wako Tanganyika/Tanzania watawala wakiwaongoza kusaliti hoja za kuikomboa...
  17. M

    Watanganyika Zanzibar Kuitetea Zanzibar, Zanzibar wako TANGANYIKA Kuisalit ZANZIBAR

    Wanajamvi Wakati wana UKAWA Jumamosi wakiwa Zanzibar kutetea Rasimu yenye Maoni ya Wananchi dhidi ya Kuondoa kero kuu ya Zanzibar kumezwa na Tanganyika inayojiita Tanzania. Baadhi ya Wazanzibar ambao hawakutoka Wako Tanganyika/Tanzania watawala wakiwaongoza kusaliti hoja za kuikomboa...
  18. M

    Maajabu mhe. Rais akiri wazi wazi; Amempigia mwanaye kura

    Wanajamvi Akihojiwa mara baada ya kupiga kura katika Zahanati ya Msoga Amekiri zoezi linaenda vizuri na amempigia mwanaye kura Wanajamvi suala la upigaji kura ni siri ndo maana unaandaliwa sehemu maalumu kupiga kura ya siri. Je ni busara Rais kutangaza kampigia kura kura mgombea...
  19. M

    Tathmini uongozi wa mwenyekiti Samwel Sitta tangu achaguliwe - bunge maalumu la katiba

    Wanajamvi Ni kiri tangu wamchague, hakuna cha KASI wala VIWANGO; kwani mpaka sasa kazi iliyowapeleka Dodoma haijaanza. Kwa wazo la kurekebisha tena kanuni kama 85,14,nk. Na sio 37na38 ambazo zilisalia ni wazi; Anaanza kutunga tena kanuni, badala ya kuzitumia. Je? tulimchagua atunge tena...
  20. M

    Jumatano Wajumbe kujadili HOTUBA badala ya RASIMU kuna tija?

    Wanajamvi. Mhe. Spika ameagiza mpaka taarifa za hansard za hotuba ya Mhe Jaji Warioba na siku ya Hotuba ya Mhe. Rais zichapwe na Wajumbe wagawiwe kabla ili Jumatano tarehe.26 Jtano, Wajumbe wazitumie wakati wa mjadala aliouita ni wakuweka mambo sawa. Je? mjadala huo una tija au Afya kwao...
Back
Top Bottom