Search results

  1. K

    Mke mwema mtarajiwa hapokei simu zangu, kwanini?

    Nipe namba yake nimuulize vzr
  2. K

    Kapoteza fahamu baada ya kuachwa

    Mwambie anitafutee
  3. K

    Usajili UDOM 1st year ni kero kubwa

    Siku tatu tuu unalalamika.....pumbafuuuu
  4. K

    Wasichana kuchelewa kutoa jibu la kuingia katika mahusiano, nini sababu?

    Habari wana MMU, Napenda kuona mawazo yenu juu ya hili. Wasichana kuchelewa kutoa jibu la kuingia katika mahusiano ni kutaka kulifanyia kazi ombi hilo kabla ya uamzi au wanatimiza matakwa ya tamaduni za Kiafrika? Karibuni katika mjadala huu
  5. K

    Ushauri juu ya mtu kuachwa na mpenzi wake

    [emoji13] [emoji13] Ulimwenguni hapa ni vizuri kujifunza na tunajifunza kwa kiasi kikubwa kutokana na mawazo ya watu wengine kwaiyo sioni ubaya pia kujifunza juu ya suala hilo kutok kwa hao waadishi.
  6. K

    Natafuta mpenzi wa kunioa anaeishi nje ya Afrika

    Wew uko wapi saivi
  7. K

    Ushauri juu ya mtu kuachwa na mpenzi wake

    Habarini marafiki, Naomba mwenye makala nzuri yenye ushauri juu ya mtu kuachwa na mpenzi wake ama inayozungumzia suala la mahusiano kwa ujumla anitumie tafadhari. Asante
  8. K

    Bwana asifiwe,Namtafuta girl aliyeokoka wa kumwoa!

    [emoji13] [emoji13] [emoji13]
  9. K

    tafadhari nahitaji msaada

    Habari! ndugu zangu mimi nipo Dodoma nina tatizo moja nasumbuliwa na vidonda vya tumbo nimekata tamaa kabisa, hivyo naomba mwenye maelezo anipe njia elekezi namna ya kupata tiba au nifanyeje angalau nipunguze maumivu haya .
  10. K

    kina dada wa Udom 1st year endeleni kujiheshimu hivyo hivyo.

    nakumbuka, ila weng nikiwangalia nagundua si watu ambao wanaweza badilika haraka
  11. K

    kina dada wa Udom 1st year endeleni kujiheshimu hivyo hivyo.

    karibu wik mbili sasa toka tuanze kuripot hapa chuon, kwa upande wa kinadada wote wa mwaka wa kwanza hasa college ya eduction,wameonesha heshima na nidham ya hali ya juu hasa ktk mavaz, kwahiyo naomben muendele hvyo
  12. K

    jaman msaada kwa hii namba S1128.0066.2010 majina walotoa mara ya 2 heslb

    naomba sana kwa anaye weza ingia anichekie asante
  13. K

    JKT awamu ya tatu Septemba 28, 2013

    Mi jina langu halipo sasa kama kweli hawatanweka na wengine muende moja kwa moja naenda kujiunga na Alshabaab nimechoka.
Back
Top Bottom