Search results

  1. Afro-Arabica

    Bila kitambulisho, hutopata huduma yoyote nchini

    Maoni yangu "kw kuwa kutoa ID (kitambulisho) ni bure !!! hapo sasa !! umuhimu wake unakuwa SUBIRI, SUBIRINI, Mtuvumilie, Samahani kwa USUMBUFU, Njooni weeki ijayo, MTANDAO HAMNA, UMEME UMEKATA, MUDA UMEISHA..!!! nk nk nk Jamani bora mututoze ELFU 20000/- au gharama maalumu LAKINI kazi na...
  2. Afro-Arabica

    Mjukuu wangu ametoa kitabu karibuni mtusapoti kwa wale wenye mapenzi mema

    Ooooh!! Dear usitumie neon hilo "Laana" ktk kila uchungu upatapo!! neon hilo ni zito sana!! pls mfyonze tu au msamehe....
  3. Afro-Arabica

    Tanzania na Kenya zavutana kuhusu Mto Mara

    mmmmh !! Mwez/Mungu gani huyo atupe ulinzi...................Juu ya dhulma tuzibebazo mgongoni !!!!??????
  4. Afro-Arabica

    Angalia umri wako, upo sahihi, Umekosea, Unahitaji kujirekebisha?!!!

    hii ya mwisho mie siamini kbs !! kwani kuna wengi wanakufa mapema na wengi wa miaka 70 ndo kwanza wanaishi na kutupa historia za awali na uzoefu wa maisha..!!!
  5. Afro-Arabica

    Zanzibar wanatumia mpira wa miguu kunung'unika.

    Kwanza HONGERA kwa vijana chipukizi kufika fainali na kutolewa kwa penalt!!! mengine ni mitazamo tu...... Kwani maisha ktk nyumba aliyopo MAMA wa kambo... maneno na kusengenyana hayatokwisha bhana... kawaida tusonge mbele!
  6. Afro-Arabica

    UKWELI KUHUSU UBAKAJI

    Tatizo kubwa Ulimwengu huu ni WANAUME wengi hawajizuii katika matamanio yao !!!! yaani cases kila uchao...
  7. Afro-Arabica

    Omba omba ktk mataa ya barabara wanahatarisha !!

    Mkuu kuna hatari ya kuwagonga watoto hao, maana wanapitapita chini ya matairi ya magari..!!
  8. Afro-Arabica

    Omba omba ktk mataa ya barabara wanahatarisha !!

    Napendekeza na kutanabaisha wenye mamlaka ya kusimamia jiji wachukuwe hatua haraka!! Wengi wetu,madereva na wenye kumiliki magari tupo hatarini sana.. haswa tunapokuwa ktk barabara na gari lako unakosa Amani na kuwa katika sintomakini maana tunakabiliana na yafuatayo:~ 1. Omba omba na va vototo...
  9. Afro-Arabica

    Am back, the New Dr. Marcossy Albanie

    Be blessed... welldone, Taifa linahitaji modeli kama zako !!
  10. Afro-Arabica

    Suala la kuwa na imani tofauti linapotatiza taasisi ya ndoa

    kwa sababu kuna ukweli na mfumo halisi..... Good endelea kusoma utajifunza
  11. Afro-Arabica

    Nataka kwenda Nchini Yemen

    Mashkurra kunifundisha adabu.. wee umesoma Madrasa!!!?
  12. Afro-Arabica

    Nataka kwenda Nchini Yemen

    Mkuu Mazina, usiogopeshwe na maneno ya kike...!! kama mdogo wako dume aende akapambane na maisha.. Matatizo yaliyopo ni minor cases!! lakini elimu ipo na ilm ipo yani (Dini na Dunia) halafu kama anajiweza kuna kazi zakutosha katika ujenzi na ufundi !! Tatau currency yao ipo juu kuliko nchi za...
  13. Afro-Arabica

    Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

    Sasa kakangu umeamua siyo
  14. Afro-Arabica

    Bye bye my Tanzania, bye bye my fellow members, truly gonna miss u

    Na'am namjuwa msalimie ..kawa mtu mzima eenh !! basi mvumilie... usimkere kere..
  15. Afro-Arabica

    Nimekumiss hadi nahisi kuumwa jamani

    pole shosti lala ...au usingizi umepotea... yupo kwangu sikuhizi ......@Dinazarde msahau kabisa.
  16. Afro-Arabica

    Nimepata ajali na Carina TI, wapi nitapata body ya gari hiyo?

    Pole sana ...na umshukuru muumba kwa uzima... peleka maelezo kwa mtogole
  17. Afro-Arabica

    Tulivyokuwa tukiiba almasi mgodi wa Mwadui na wenzetu kuuawa

    Mnyama yyte kadri umleavyo atakuwa mtiifu !!!
  18. Afro-Arabica

    Tulivyokuwa tukiiba almasi mgodi wa Mwadui na wenzetu kuuawa

    mashsallah tulijaaliwa kuwa na mbuzi mwenye neema (maziwa fresh asubuhi jioni, katulia, mwaminifu) Halafu ndugu siye hatuna uwezo wakubadilisha kiumbe !! vitumbua na maandazi tuna kula na wenzetu...mbuzi na majani na maji!! Ahsante Mwanba
  19. Afro-Arabica

    Tulivyokuwa tukiiba almasi mgodi wa Mwadui na wenzetu kuuawa

    Yule mbuzi si aliibiwa na masanja kodi !! na yule unco ni marehemu.
Back
Top Bottom