Search results

  1. Bigirita

    Huu utaratibu wa kuwakatia viuno wageni kwenye viwanja vya ndege nani aliuanzisha?

    Kata mauno kwa waume zako , akikosea iache ipenye
  2. Bigirita

    Huu utaratibu wa kuwakatia viuno wageni kwenye viwanja vya ndege nani aliuanzisha?

    Sahihi....wakati wa uhuru, tulibadili uongozi kutoka kwa weupe kwenda kwa weusi, lakini utaratibu wa kuongoza ukbaki vilevile. Kwakuwa system hii inaki favour CCM, wameikumbatia.
  3. Bigirita

    Kunena kwa lugha kwa kuiga kulivyoshusha hadhi ya ulokole

    Hakuna kitu.....kwamba lugha pekee ni huo uchafu? Na hiyo nj lugha ya wapi? Mbona hakuna awezae kuielezea ili wale wa makabila mengine waelewe? Na je watu wote hupqta kipaji cha roho mtakatifu cha kusali kwa lugha? Uigizaji mwingi sana huko..wanachosha
  4. Bigirita

    Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

    Walk the Talk....Samia anataka kuhadaa watu, hana nia ya dhati kwenye lolote. mwongomwongo, mnafiki na mzandiki. Sasa Kaonyeshwa kwamba kuna watu hawataki hiyo michezo yake yakutafuta kupiga picha za kuuza sura duniani kwa mabwana wanaompea hela.
  5. Bigirita

    Kuna anayemwelewa Salim Kikeke na 'Mizururo' yake Holela ya hapa na pale Dar es Salaam na Mikoani?

    Nashangaa mtu kuwa busy na maisha ya mwingine. Mtu kafanya kazi ameamua ku take a break na kurelax, wengine wanaumia. Shida hii
  6. Bigirita

    Mafuta yamejaa kila kona ya nchi, tatizo lilikuwa ni nini?

    Utajifungia mwenyewe? Wafanyabiashara ndio hao hao watunga sheria na wasimamizi wa sheria. Ndio haohao waliowaweka mfukoni, wafadhili wakubwa wa CCM. Usitegemee jema lolote kutoka kwa serikali inayoendeshwa kihuni kama Janjaweed. Tatizo kubwa zaidi ni generation hii ya vinana wa hovyo wasioona...
  7. Bigirita

    Dkt. Slaa: Nchi yetu inaongozwa kishamba, pamoja na IGA sasa tutadai pia Katiba Mpya ya wananchi

    Hakuna kitu hapo......Kama ni state sponsored, sawa, lakini Slaa is too smart to start a new political party wakati huu. wrong strategy.
  8. Bigirita

    Waziri Jerry Silaa aigiza Wizara ya Ardhi Kitengo cha Upimaji na Ramani kupima kila kipande cha ardhi nchi nzima

    Hawa vijana huwa akili wanapelekaga wapi wakishasoma hayo madegree na kupata makaratasi? Stupid kabisa...anamuagiza nani sasa. No Plan, No strategy, No manpower, no budget...nothing. unatoa tamko tu.
  9. Bigirita

    Rais Samia aapisha Viongozi wateule Ikulu Ndogo, Tunguu, Zanzibar, leo Septemba 1, 2023

    Umeonaeee...Anafanya kama jamaa yake. Sasa inaonekana kawaida marais kwenda kwao na kujifanya wanafanya kazi wakiwa ikulu ndogo ya eneo husika. Hii haiondoi ukweli kwamba kaenda kufanyia kazi home. Ikulu kuu ambayo ndio nyumbani na ofisi kuu ya rais ipoipo tu.
  10. Bigirita

    Viongozi wa dini mlikutana na serikali na kukubaliana kwanini TEC wajitokeze tena baadae kutoa tamko?

    How old are you? what is your IQ and SQ levels? and lastly How sane are you in a scale of 1 to 5. Kuelezea jambo mwendawazimu, au mtoto anaejifunza BODMAS au completely dumb person ni upotevu wa muda tu
  11. Bigirita

    Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023

    Wameunga wapi? mbona nipo hapa na sijasikia. Au kuunga mkono uwekezaji ndio kuunga mkono mkataba? Tujifunze kutumia akili zaidi ya mihemko na nyege za Sisa uchwara
  12. Bigirita

    Kwa nini kuupinga Mkataba wa Bandari inaitwa "udini" lakini kuunga mkono sio udini?

    Hapo ndipo wanafika kikomo cha ujanjaujanja. Hawawezi kujibu, they resot to Udini, Ukabila, CHADEMA, and all other nonsense.
  13. Bigirita

    Dkt. Slaa baada ya kuachiwa kwa dhamana, kutoa kauli nyumbani kwake Mbweni

    Alivyowaweka ndani alitumia kitu gani ambacho ni kinyume na Hekima? UPUMBAVU sio? Grow up mazafanta.
  14. Bigirita

    Waziri Ndumbaro: Tibaijuka alikosoa mkataba wa bandari, amekamatwa? Asema ukitukana viongozi uhuru wako unaishia hapo

    Sisi tuna Summer kweli? kila siku ni summer tu...jua la utosi. mifano ya kijinga tu. Ustaarabu wenyewe haujawahi kutufikisha popote.
  15. Bigirita

    Dkt. Ayub Rioba Vs Prof. Mruma

    Aliitwa Mzalendo huyu Mruma na mwenzake Osoro. Magu alijua kuishi na vichwa maji. Lissue akawaambia mtabutuliwa mahamani hamtaamini, fanyeni maubaliano sio kuvunja kijuha. Wakaona anawatukana, wakampiga risasi. Sasa tunalipa wote, hadi yule mtoto anaetakiwa kupata huduma bora za afya anataabika...
  16. Bigirita

    Bunge, Serikali na Mahakama, Sio Mungu, Sio Malaika, Zinaweza Kukosea!. Zinapokosea, Zina Wajibu Kurekebisha na Kutenda Haki, Vinginevyo Karma Will Do

    Nikuunge mkono kwenye hili. Paschal amekuwannqntqbiq ya kuweka reservations kwa maslahi yake kwenye maandiko yake. Hataki kusema nyeusi ni nyeusi, atasema sio rangi hiyo bila kusema wazi sio nyeusi. Tabia hii 8natufanya waTanganyika tuonekane watu wa jivyo na tusioweza lolote. Ukweli haupingwi...
  17. Bigirita

    Muujiza wa mtume Muhammad wa kupasua mwezi vipande viwili wathibitishwa

    A 1 million $ question.......[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  18. Bigirita

    Uwekezaji wa bandari hauna shida kabisa

    Ujinga ni mzigo.
  19. Bigirita

    CHADEMA Kutumia Sakata la DP World Kueneza "Hate Speech" Haikubaliki na Ni Kinyume na Maadili ya Nchi na Umoja wa Mataifa

    Nime confirm nilichokuwa ninamashaka nacho. Una akili za bata mzinga.
Back
Top Bottom