Search results

  1. M

    Huyu ndiye mwenyekiti wa UVCCM taifa mpya baada ya Sadifa Juma

    samahanini sana naomba mwenye uwezo wa kuniunga na group la uvcmm taifa aniunge ndugu zangu. sorry kwa wote nitakao kuwa nimewakwaza natanguliza shukrani zangu.
  2. M

    Uongo wa CHADEMA waanza kuwatokea puani, Lisu alivaa shati la Blue na si Jeupe wakati wa tukio

    hivi kwa nini watu wengine ni wajinga hivi sasa hakupigwa risasi au vip tumia hata akili japo kidogo kuandika post
  3. M

    TFF yatangaza kuipoka Simba pointi tatu, yazirudisha kwa Kagera Sugar

    daa masikini mnyama sasa hawezi kuwinda tena sasa usubiri ufe tuu au wamtafute Bashite akaliibe kombe pale TFF
  4. M

    Simba kufanya maandano jumanne kisa points 3 dhidi ya Kagera Sugar

    kwani si walipewa hawa mikia au wamenyang'anywa jamani niambieni ukweli nijue tuu
  5. M

    Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    kweli mnaringaaaje tupeni maujanja mnazingua tuu
  6. M

    Gwajima: Kanisani Ufufuo na Uzima Almasi itageka maji

    hahaaa hapa kazi kwelikweli
  7. M

    Dodoma: Bunge limenaswa kwenye ndoana ya maigizo ya Makonda

    tumia hata akili kidogo makonda anatumika tuuu hana anachofanya fala wewe
  8. M

    Basata mnasubiri nini kumchukulia hatua Ney wa mitego

    afungiwe kwa lipi sasa maana mbona wimbo ni ukweli mtupu
  9. M

    Lissu: Mfalme mmoja amethibisha kuwa yeye hakuchaguliwa bali amefikia ufalme huo kwa bao la mkono

    nyerere alishughulika na watanzania kwanza na si watu wa butiama tuu sasa acha akili mgando
  10. M

    Kumchagua Lissu mwenyekiti TLS ni kuzika lengo la kuanzishwa kwake

    acha gubu wewe au acha wivu wa kike mbona
  11. M

    Sheria ya kupiga marufuku punyeto yawasilishwa bungeni Marekani

    vip alifaulu kweli maana ni ujinga wa kiwango cha juuu sana
  12. M

    Anachofanya Kibonde wa Clouds FM ni hatari kwa redio hiyo

    hivi kibonde nae si ziro kabisa mwenye record zake mimi niliwahi sikia alipata SIFURI IV
  13. M

    Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

    tuache mzaha huu utaratibu ni utaratibu mbaya sana maana mtuhumiwa ni kama jambo la kuhisiwa tuu
  14. M

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    tatizo langu king'amuzi changu kinasema no signal sasa ni kama miezi miwili sijaona msbadiliko naomba msaada maana namisi sana habari
  15. M

    Mtungi wa gesi Kg 15 na jiko lake kwa sh 130000

    kama una gase chukua 90000
  16. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mimi niko dom nataka kwenda kilmanjaro mawasiliano ni 0758044536
  17. M

    Haikuwa sahihi kwa Magufuli kugawa Maburungutu ya pesa hadharani

    wengi waonekana kufurahia ila kiukweli kwa heshima yake mbona angeweza kuzitoa kwa utaratibu mwingine tuu
  18. M

    Serikali yakubali yaishe: Bunge kurushwa LIVE Redioni

    Hawa watu tuwaache tuu mi naamini ktk serekali ambayo itajaishia pabaya ni serekali hii tusubiri wakati ufike
  19. M

    Updates zoezi la kuzima simu bandia

    hawa jamaa dijui ka kuna simu imezimwa ujue ni waongo
Back
Top Bottom