siasa inafurahisha sana,ni kweli hilo wanalijua lakini halikuzoeleka kwa waziri kuzomewa.
ila nadhani wanajifanya wanapenda kuzomewa sasa.nilipata kuhudhuria mkutano mmoja wa CCM mjumbe fulani aliposimama wananchi wakaanza kumzomea kwa sauti,alichofanya badala ya kuendelea na hotuba...
Kimbembe:Mahabusu Dar wazua zali upyaa!
2007-10-02 17:05:12
Na Mwandishi Wetu, Jijini
Baada ya kutuliza boli kwa muda, mahabusu Jijini Dar es Salaam wameanzisha zali upyaa kwa kutia ngumu kushuka kutoka kwenye karandinda na kwenda kortini.
Kimbembe hicho kimeanza leo asubuhii...
makamu wa Rais DR.Shein mvuto hana,mvuto wake naweza nikaufananisha na mwenge wa uhuru siku hizi,maana ili upate watu lazima wananchi walazimishwe kutokwenda mashambani,na wachaga wafunge maduka,kutishiana faini na nzagu.
tumemuachia kazi ya kutembea na mkasi mfukoni tu ili awe anafanya...
nadhani kuna kitu prof.Chachage alitaka kutuambia kwenye kitabu chake cha makuwadi wa soko huria,binafsi nilisoma uchambuzi wake tu,lakini kitabu sijakisoma.leo nakitafuta nijue mle ndani alikua anasema nini hasa.
LAITI KAMA ANGEKUWEPO..................(Sijui ingekuwaje)
Kwakuongezea,na wale wenye hayo yote lakini wanatetea wanyonge kipi bora,heri fuska mzalendo na mpigania haki kuliko fuska asiekua na kazi ya ziada yaani yeye ni kuharibu dada zetu tuuuuuuuu,niliwahi sema hapa hapa jamboforums,ufuska wa mtu tusiutumie kama kigezo cha kutafutia mtendaji...
nadhani hawa wanataka kutuletea vurugu tu,i think wezi wametengenezwa ni mifumo ya wakati huo,the system wa loose.ukianza kuchunguza samaki wadogo ambao kwa kweli ndi tulio wengi,na kwa kipato chetu mfano mimi binafsi i cant explain nimejenga vipi,hata yeye mwenyewe Hosea hawezi akatuambia...
jamani hiyo picha si muiweke wazi mbona zingine tulikua tunaziona,au ndo kufichana fichana.invicible tuanaomba picha hiyo tuione,maana maelekezo kibaaaaaao.lakini hatuioni
tunapaswa tumuombee apone haraka arudi kilingeni,ila siasa za bongo sasa atakua amezijua,possibly kinachomsumbua ni presha iliyotokana na zahma,pamoja na aibu.maybe awasiliane na malecela amfunde"namna ya kuishi kwenye siasa za kuchafuana" amina alidhani siasa ingemtoa pasipo kuzingatia SWOT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.