Search results

  1. anjo

    Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

    It is fortunate that foreigners are dominating the forum. Wanajiita Nzagambadume wakati ni Wahutu na Watutsi wanaojifanya watanzania. Wakapigane kwao si hapa.
  2. anjo

    Mjadala - Kitabu cha unyama wa Paul Kagame: Behind the Presidential Curtain: Inside Out of real Paul Kagame

    When someone dreams turned to be reflected as reality, whoever believe in it is a lazy in thinking. The curtain is known by someone who put in the first place, others may just speculate.
  3. anjo

    Ndege nne kwa mpigo zilizoahidiwa na Serikali ikiwemo Boeing 787-8 Dream Liner zitaingia nchini Julai, mwaka huu

    Mbona tumetajiwa ndege moja tu? Tungependa kujua na hizo tatu ni za aina gani
  4. anjo

    Tanzania has become a hotbed of Kagame spies under Magufuli watch: Who is Mike Rwalinda and Hotel Kagame in Dar?

    Naona siku hizi wahutu na watutsi wanapigania nchi yetu. Inaonekana wanaoandika haya yote ndo hao-hao. Can they try to form their own forum to discuss their stupid arguments?!!
  5. anjo

    Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

    Naona shughuli unayofanya haimtosherezi ndiyo maana anapata hata nguvu ya kwenda kwa mtu mwingine. Hii lawama naiweka kwako maana anachofuata huko hakipati kwako! Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
  6. anjo

    Al Shabab wavamia mji wa Mandera Kenya

    Hii ni hatari sana. Inabidi EAC na wengine tuangalie jinsi ya kusaidia jinsi ya kuleta amani kwenye eneo letu. Inasikitisha kuona ka kikundi ka watu wanatishia maisha yetu sote.
  7. anjo

    CCM na demokrasia mpya ya kuchukua fomu na kujitoa dakika za mwisho

    Hahaha! CCM fedha nyuma????
  8. anjo

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Nafikiri tunao watu wengi wenye uwezo na wasio na madoa ya ufisadi. Prof Muhongo ni mwizi hata kama ukimtetea.
  9. anjo

    Naipa Serikali Siku 7, kama Mkuu wa Majeshi hatajitokeza...

    Kwa kawaida, serikali inawajibika kwa wananchi ikiwa ni pamoja na vyama vyote vya upinzani na civil society organisations ILA chama cha siasa ambacho hakipo madarakani hakiwajibiki kwa serikali bali wanachama wake pekee. Sijasikia wanachama wa CDM wakiuliza ya Slaa ambaye aliuliza akiwa ametoka...
  10. anjo

    Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

    Kuna maswali mengi kuliko majibu! Matatizo au kero zinazoelezwa na Mhe. Magufuli zinatatanisha sana. Hivi Tanzania ina serikali? Kama serikali ipo, inaongozwa na chama gani? Kero anazoongea kama chama chake kimeshindwa kuzitatua kwa miaka kadhaa, je yeye ataweza kwa miaka 5 au 10? Itakuwa...
  11. anjo

    Magufuli ampiku Lowasa urais 2015

    Hizi kampeni zimechokwa
  12. anjo

    Prof. Lipumba arejea nchini

    Thamani yake mpaka sasa ni TSHS 5.1bn alizopokea akiwa Kigali kutoka kwa rafiki wa familia ya Kikwete.
  13. anjo

    Nape aita waandishi wa habari Lumumba kujibu mapigo ya UKAWA

    Kazi ipo. Kujieleza kwa sasa ni kugumu sana ambapo watu wameamka na wanaweza kuchambua ili kutofautisha maneno na vitendo. CCM inabidi ifanye kazi kwa sana ili watu warudishe imani.
  14. anjo

    Wabunge wanne wajiunga na ACT - Wazalendo

    Taarifa zinaonyesha siyo wabunge wanaotokea CDM bali CCM
  15. anjo

    Siri nzito zilizovuja kutoka Team Lowasa hizi hapa

    Subiri matokeo ya CC leo na vikao vijavyo. 1. Ukitaka kudanganya, uhakikishe unafika mbali. 2. Watu si mabwege. 3. Karamagi ana bandari tayari chini ya TICTS 4. Watanzania wanajua haki yao hata JK na CCM wanajua hilo 5. Acheni kampeni za kipuuzi. Anjo
  16. anjo

    Documentaries hizi za Jeshi ni Kampeni kwa CCM?

    Siasa ni maisha yetu ya kila siku.
  17. anjo

    Kwanini Lowassa hakuruhusu maswali kama Wassira na Mwigulu?

    Ndugu, Kampeni hazijaanza ili watu waulize maswali. Hii ilikuwa kutangaza nia tu! Naona watu mnahitaji kueleimishwa vizuri. Anjo
  18. anjo

    Mjerumani amchambua Lowassa, awashangaa Watanzania

    Gambamala, Sijui unachotaka kutueleza! Hivi wewe ni mtanzania unayefuatilia siasa za nchi yako au unamuandalia njia mgombea unayempendelea? Wakati niliamini kuwa 2008 Lowassa alichukua rushwa, baadae mambo yalibadilika kwa kauli iliyotolea kwenye mkutano wa NEC miaka michache baadae. Naomba kama...
  19. anjo

    Congo declares start of campaign against Rwandan Hutu rebels

    The history of M23 is coming to FDLR. Let us wait and see!
  20. anjo

    Congo declares start of campaign against Rwandan Hutu rebels

    When the current news meet the history!
Back
Top Bottom