Search results

  1. K

    Msanii wa Kimarekani, Nicolas Cage afariki kwa ajali ya pikipiki

    Ila jamaa alikuwa ana battle drug addiction. Alioa mtoto wa elvis alieolewa na michael jackson as well - lisa marie
  2. K

    Vituko vya Clinton: Alicheat on Monica Lewinsky as Well

    Monica Lewinsky (ironically) freaked out that Bill cheated on her By Daniel Halper New York Post June 18, 2016 President Bill Clinton had an affair with former Vice President Walter Mondale’s daughter — while multitasking with at least two mistresses in the White House — according to a...
  3. K

    John Butler Walden (1939 - 2002) a.K.a ''Black Mamba''- A legend in the Tanzanian army (author unknown)

    Body Guard wa muda mrefu wa Brigadie Walden alikuwa Mzee wetu Mzee Maarifa wa Kisarawe. Yupo mpaka sasa Kisarawe.
  4. K

    Nini maana ya jina la Mtwara?

    Huyu ni mzee maarufu Mtwara Mzee Sijaona. Watoto wake wapo akiwemo mama Sijaona alikuwa balozi wetu Japan
  5. K

    Kuibuka kwa Marekani kama taifa kubwa Duniani

    Mkuu swali lako lina makosa mengi sana. Lakini ni swali zuri. Aulizae si mjinga. Kwanza turekebishe some facts in your question. MArekani ilipata uhuru mwaka 1776. Imeshakuwa huru zaidi ya miaka 200. Ukitaka kujua ilikuwaje Marekani ikatawala dunia, itatawala miaka mingapi na ityaanguka lini...
  6. K

    Kutoka Vijibweni: Rais Magufuli azindua daraja la Kigamboni (Nyerere Bridge)

    Tumpe Muda. Mwenda Pole hajikwai. Ni muadilifu sana.
  7. K

    Wanasiasa Waliotajwa Kwenye Panama Paper

    Panama Papers: Who’s Implicated from Africa? By Conor Gaffey On 4/4/16 at 2:27 PM Panama Papers Leak The massive leak of confidential documents described as the Panama Papers has got a lot of politicians and world leaders hot under the collar. Here, Newsweek considers five of the African...
  8. K

    Nilijua Gambo atatolewa kama nijuavyo Makonda na Nyalandu hawatadumu

    Ni kweli Nyalandu, na Makonda lazima watatolewa mwakani - i dont see serikali mpya ikiendelea na uozo
  9. K

    Nilijua Gambo atatolewa kama nijuavyo Makonda na Nyalandu hawatadumu

    Mleta mada ni mtaalamu wa uchambuzi - i concur
  10. K

    Revealed: Dr. Kigwangalla kanakili hotuba nzima ya Obama ya mwaka 2004 aliyoitoa Boston

    Kuanzia 2016 kingwangwala atasahaulika kabisa kabisa Tanzania kama Mzee Kihiyo. Yani atakuja kuwa mzoga. I hate his cheap lame damn politics. zinapotezea watu muda for nothing
  11. K

    Kumbe Bwana Marion Suge Knight Aliipigwa Risasi Last Weekeend

    Daah Young Jeezy is such a talent asije akapotelea jela. Itakuwa major loss. Ila huyu suge knight wangemaliza tu - hana la maana ila vurugu tu LA
  12. K

    Kumbe Bwana Marion Suge Knight Aliipigwa Risasi Last Weekeend

    Yahoo News LOS ANGELES (Reuters) - Hip hop mogul Marion "Suge" Knight, who was shot and wounded at a Los Angeles nightclub over the weekend, was resting at a local hospital but had "lost a lot of blood," his family said on Monday. Knight, 49, was struck by bullets early on Sunday...
  13. K

    Tajiri Mkubwa Kuliko Wote Zanzibar

    Tajiri mkubwa kuliko wote Zanzibar Ni Noushad Mohamed akifuatiwa na Raza Mohamed Raza
  14. K

    Je wakati umefika wa kuliangalia suala la ndoa kwa mtazamo tofauti?

    Mwandishi anasema sikuhizi divorce rate imeongezeka sana almost nusu ya ndo zote zinafungwahuvunjika) na pia almosy asilimia 50 ya watu walioko kwenye ndo walifanyiwautafiti wakakiri kuwa wamewahi kucheat (physically or emotionally). Kwaiyomwandishi anauliza je hatuoni kuwa wakati umefika wa...
  15. K

    JK kummaliza Lowassa: Amrudisha Sokoine nyumbani aje kuchukua ubunge Monduli

    Kama mwendelezo wa siasa za maji taka. Ndugu JK na Membe wamemrudisha Joseph Sokoine nyumbani kutoka alikokuwa ofisa ubalozi Canada ili aje kugombea na hatimae kuchukua ubunge wa Lowassa. Hii ni kama ilivyoainishwa na mwana JF mmoja - JK Na Edo Walipokuwa wamoja katika umoja wao wa kidhalimu...
  16. K

    Kikwete ataiacha nchi ikiwa imemeguka vipande vipande!

    Pesa za EPA aliezitoa na kwapa waizi ni Mzee Peter Noni wakati huo yuko BOT. Issue ilipobumbuluka Rais akawaita wale walioiba akawaomba warudishe - na sharti ni kuwa wampelekee peter Noni sasa akiwa mkurugenzi wa TIB. Hivyo zilipelekwa TIB huko nadhani Noni alifanya utaratibu mwengine wa wakuu...
  17. K

    Apartments za nyuma ya umoja wa vijana wa ccm

    Duuh. Kumbe ni untouchable! Ntaendelea na Sinza yangu
  18. K

    Apartments za nyuma ya umoja wa vijana wa ccm

    Ni kweli ni mradi wa MACCM. Ila nataka kujua prices za kupangisha pale maana ni karibu sana na ofisini.
  19. K

    Apartments za nyuma ya umoja wa vijana wa ccm

    Wakuu kama kuna anaejua bei ya kodi ya zile apartments za Pale nyuma ya jengo a umoja wa vijana wa CCM naomba atujuze. Kama kuna any other additional usefull informations about zile apartments naomba please
Back
Top Bottom