Search results

  1. uru classic

    Nyaraka muhimu za skendo ya Wizara ya Ujenzi

    nilishasema ni bora kuumpa mtoto simba alieshiba kuliko kumpa chui mwenye njaa hapo kwa ccm bora lowassa ata mh pres aliingia wakijifanya msafi bt ndo ameenda kusanya chake
  2. uru classic

    N. Korea vows 'merciless' war against US

    unaongelea N korea kama mambulula tanzania hawa jamaa technologia ya war weapon ipo juu sio mchezo ata wamarekan wanalijua hilo na wanawahofia kwani wana makombora ya masafa marefu ambayo yanaweza kuidhuru ardhi ya marekan ndo sababu kubwa wanaweka base pale s korea kwa usalama wao na kupaata...
  3. uru classic

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Mji mdogo Usa River mtaaa 6 imechukuliwa na chadema mtaa moja ccm
  4. uru classic

    Serikali ya China kupiga marufuku vazi la Hijab

    hayo yenu kila kitu tunaonewa
  5. uru classic

    Kuvimba kwa Tezi Dume (Benign Prostate Hyperplasia BPH) Featured

    hiyo inajulikana kama vericocele inasababishwa na kuarbika kwa vena zinazopeleka damu kwenye pumbu na hakika alifanyiwa upasuaji stage 3 na doct alikua sahihi kwa sababu bado alihtaji kuzaa na maumivu yaku hayaishi labda ufanywe catheta radio therep kufunga kabsa huo mshpa wa damu usipeleke damu...
  6. uru classic

    Kuvimba kwa Tezi Dume (Benign Prostate Hyperplasia BPH) Featured

    kijana una vericocile nenda hosptal kubwa piga ultrs sound na gament analyss then ipasuaj stag 3 kama bado unaitaj mtoto
  7. uru classic

    ITV ndani ya DSTV via Channel 293 kuanzia kesho

    azam tv na channel zenu za kiindi n bei kubwa tupa kule
  8. uru classic

    Maswi: Siwezi Kuwa Mbuzi Wa Kafara. Wezi Wakuu Wajitayarishie Kihama !

    Quiz (5 marks) 1. Define escrow, and clearly differentiate and compare it with EPA. 2. Basing on your experience as Tanzanian, do you think they will bring back our money? 3. Critically and with logical arguments examine the relationship between Escrow scandal and tezi treatment. 4...
  9. uru classic

    Yaliyojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Quiz (5 marks) 1. Define escrow, and clearly differentiate and compare it with EPA. 2. Basing on your experience as Tanzanian, do you think they will bring back our money? 3. Critically and with logical arguments examine the relationship between Escrow scandal and tezi treatment. 4...
  10. uru classic

    ITV SuperBrand: Bado mpo nyuma kabisa, msibane jitupeni kwenye Live streaming

    point lesss hiyo issue Tcra ndo wahusika acha chuki binafsi
  11. uru classic

    Ajali mbaya: Gari ya chuo kikuu Tumaini Iringa lapinduka na kuua wawili

    r I p tutor. flaking hakuna tumaini iringa kinaitwa university. of iringa chuo mama change tumaini ni. makumira
  12. uru classic

    Lowassa Atoshaa: Wajumbe wa NEC YA CCM Wanena

    hivi watanzania mmekuajeeeeeeeeeee h aaa??????????? yani hauwezi kuongea bila kuweka kizunguuuuuuuuuuuuuu?????? mnashangaza sana
  13. uru classic

    Naomba jibu la hili

    Mke wangu ana ujauzito,ameenda hospitali amepimwa kama ilvyoada,amepewa majibu yote,isipokua ya vvu,ameambiwa paka mimi niwepo.je ni sawa yeye kunyimwa majibu paka mimi ni wepo?mimi npo mbali kdogo namuuguza mama,hvyo cjapata mda wa kuambatana nae.
  14. uru classic

    Nimesikitishwa na kauli ya Clouds FM

    da cjawah kurikiliza hyo station tangu nazaliwa mm naijua redio one captal na maria baaas
  15. uru classic

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    internet ikifika 7 mchana paka 4 usiku ipo very slow au haipo kabsa
  16. uru classic

    TBC1 & TBC2 Kurusha live mashindano ya fainali za kombe la dunia

    duuuuuuuuuuuuuuuuuh startime nacho ni kisambuzi basi njo digtech uone maajabu
  17. uru classic

    Halmashauri ya wilaya ya moshi inavyokumbatia ukabila na udini

    We mjinga 2 kama ni mchaga na anaongoza wachaga kuna mbya gan?udin kitu gan wewe.mbna halmashauri ya bagamoyo,masasi,tandahimba wote n waislam we vp bhana.
Back
Top Bottom