Search results

  1. K

    Kamusi ya Ngamizi

    Mtu awaye yote ambaye anataka kamusi yangu ya Istilahi ya Ngamizi bure bilashi aiombe kupitia barua pepe yangu klfmzungu@gmail.com.
  2. K

    Ndaki

    "Mkutano ulifanyiwa katika NDAKI kuu ya Chuo Kikuu". Hebu nieleze "ndaki" maana yake tafadhali.
  3. K

    Portable computer/laptop

    Wale wanakumbi niliowateremshia kamusi yangu ndogo ya "Istilahi ya Ngamizi" nataka kuwarifu kwamba inaonekana kuwa "laptop" siku hizi neno laki la kiswahili ndilo "ngamizi mpakato". Vizuri kabisa! Kielelezo safi kwamba mtu akifikiri tu ataweza kutunga maneno yenye usanifu kwa dhana hata wa...
  4. K

    Msemaji Mkuu .... si Spika ...

    Kwa kweli hatua ya kumchagua Anna Makinda hivi (hongera sana) karibuni yanikumbusha namna hadhi ya Bunge na ya lugha ya kitaifa kitakavyokuwa kitaboreka ikiwa tungeachilia mbali desturi ya kutumia neno hiki la "Spika". Mbona hatufanyi maamuzi mahali pake pachukukliwe na "Msemaji Mkuu"? Wabunge...
  5. K

    Kamusi ya Matusi

    Msomaji mwenzangu: Naomba unitegee sikio. Hapa Ulaya kamusi za matusi na maneno yenye sifa mbaya ziko madukani. Niwie radhi kama maoni yangu hapa yanazua karaha hata iwe kidogo miongoni mwenu lakini sina nia mbaya hata kidogo. Lazima tutambue kwamba lugha mchafu ndio sehemu muhimu sana...
  6. K

    Genetically-modified food

    Hivi karibuni niliulizwa jinsi ya kuandika maneno haya kwa Kiswahili! Naomba msaade jamvini hapa. Labda vijisehemu hapo chini vitafaa kwa njia moja au nyingine kufanya hii: 1. kuathirika kijenetiki 2. ufundi wa kinasaba 3. teknolojia ya vinasaba 4. kuumba viumbe kwa njia ya vinasaba. 5. ufundi...
  7. K

    Tarakarishi, kompyuta

    1.Nimesahau maana yake "mkokotozi wa kompyuta" kwa Kiingereza. Naomba nikumbushwe. Asante.
Back
Top Bottom