Hata mimi wa Ireland uzi huu unanipendeza sana sana! Nitajumuisha maneno hayo kwenye Kamusi yangu ya Istilahi ya Ngamizi ambyo inapatikana bure bilashi kutoka klfmzungu@gmail.com
Napenda kujulisha wanaoshirki sehemu ya Lugha kwamba mimi peke yangu nimetunga Kamusi Fupi ya Istilahi ya Ngamizi/Tarakirishi. Kwa wakati huu sokoni hakuna kitabu cha namna hii kinachopatikana.
Mtu awe yeyote mwenye hamu ya kuwa na toleo la kitabu hicho (bure bilashi) kwa njia ya mtandao aombwe...
Kutoa maelezo ni vizuri lakini mdau anatafuta neno. Tungeweza kusema "maambukizo ya pua"?. Mimi si mganga halafu sihitaji maelezo kinaganaga ya hali hiyo.
His work is prefessional. = Anafanya kazi kitaalamu.
His work is unprofessional. = Ni mtaalam lakini hafanyi kazi yake kitaalamu. Labda kutokana na uzembe.
The opposite of a Professional is an Amateur m.y mtu asiyejitafutia riziki kwa kazi yake k.m. mwanariadha (Uridhaa = Amateurism)
objectivity = hali ya kutopendelea?
subjectivity = hali ya unafsi?
accumulated depreciation = uchakavu unaolundikana
overheads = matumizi/gharama za uendeshaji
direct labour = ajira/kazi moja kwa moja/dhahiri
Wale wanakumbi niliowateremshia kamusi yangu ndogo ya "Istilahi ya Ngamizi" nataka kuwarifu kwamba inaonekana kuwa "laptop" siku hizi neno laki la kiswahili ndilo "ngamizi mpakato". Vizuri kabisa! Kielelezo safi kwamba mtu akifikiri tu ataweza kutunga maneno yenye usanifu kwa dhana hata wa...
Rafiki - afadhali ankika:
All hell broke loose (the occurrence .....)
hit the nail on the head (umepata!!!)
seek your fortune (struggling to succeed is worth even fleeing ................)
I like them a lot (si vizuri bila muktadha maalum kusema: I prefer them a lot)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.