Search results

  1. M

    I just cant believe this "Mkulo ignorant on DECI - Pinda"

    Mkulo ignorant on DECI - Pinda 2009-04-24 12:50:59 By Bilham Kimati, Dodoma Prime Minister Mizengo Pinda said yesterday that Finance and Economic Affairs minister, Mustafa Mkulo, ``acted in ignorance`` when he opened a Development Entrepreneurship Community Initiative (Deci) branch at...
  2. M

    Elections 2010 Jengo la Machinga ni hatari kwa binadamu: Wakaguzi

    Wakuu, leo nimeisoma hii (a bit delayed though) kuhusu majengo yetu mapya ya wamachinga pale Karume... Kwa kweli ni masikitiko sana kwa ripoti hii walioyotoa kuhusu majengo husika. Maswali yangu ni: 1. Nani alipitisha michoro, designs etc?? Hawakuona makosa then?? 2. Majengo yameanza kujengwa...
  3. M

    Usalama wa Raia - Mashuleni napo sio salama

    Heshima mbele wana Jamvi wenzangu..... Nimesoma hii kitu hapa chini kwenye Nipashe la leo kwa kweli imenishtua kidogo..... Kwa ufahamu wangu ni kwamba wengi wetu tutasema hii ni "Isolated incidence" lakini je, tuiachie hapo?? Watoto wetu mashuleni watakuwa salama? Mwanafunzi awashambulia...
  4. M

    Kagame cup mshindi wa 3: Yanga waingia mitini

    Duh naona Michuzi anatoa nyepesi kwamba Yanga tumeingia mitini.... Nimetokea sipo mjini na kila ninayempigia naye ni amezima simu!! Asalale, hii ni kuwapa wanyama cha kuongea manake si utani hii ndio inaitwa aibu ya karne, heri kulipa faini kuliko aibishwa na mnyama!! Kwa kweli naona uzalendo...
  5. M

    City Fathers are on a long holiday.....

    Heshima mbele wakuu.... Nimekutana na hii habari kule kwenye Thisday (26 April 2008).... Ilibidi nicheke sana sababu kwa kweli inaonekana kweli nchi imelala manake kinachofuata ni "Nyerere Road" nayo kubadilishwa na kuwa "Masai Road"..... Kwa kweli inasikitisha sana.... Sio mjini tu manake hata...
  6. M

    Uchukuaji wa Sheria Mikononi, Je ni halali???

    Wakuu, heshima mbele.... Nimesoma kwenye Thisday la leo kuna picha ya mwanamama amekamatwa (ameshutumiwa) kufanya "shoplifting" pale Imamalaseko. Binafsi nakiri kuwa adhabu aliyopewa ni kumdhalilisha kabisa kwani ameiba labda vimchele etc thamani ya maximum 20,000TZS kisha anapewa adhabu ambayo...
  7. M

    Simba, Yanga... Kulikoni Klabu zetu?

    Heshima mbele Wakuu!!! Duh yaani kama mshabiki mkubwa sana wa timu za nyumbani imenisikitisha sana pale ambapo timu zetu za Yanga (kupigwa 2-1 tena nyumbani bao moja kapa) na Simba (kupigwa 7-1) na kutolewa katika mashindano ya vilabu barani Afrika. Wapenzi wenzangu wa soka letu la Bongo hebu...
  8. M

    New law to allow private firms to design, build and operate "BOT" roads in Tanzania

    Heshima wakuu..... Nimesoma leo na baada ya kufuatilia ule mkutano wa wahandisi kuel Arusha, nimefurahishwa sana na kufunguka kwa mawazo ya watendaji wetu wa "Road Sector" hapa Tanzania.... Article yenyewe ni kutoka kule kwenye "Guardian" ya leo, 28/02/2008...
  9. M

    Wastaafu - Je ni halali wananchi wabebe mzigo wa kutunza viongozi wabadhirifu??

    Heshima kwa wanaJambo wenzangu. Nimekuwa nikifuatilia hili swala la serikali (through jasho la wananchi) kuendelea kuwatunza viongozi waliostaafu. Sina shida na wale waliostaafu sababu hata jeshini hawa wanatunzwa pia. Lakini nina hoja ambayo ningeomba kama wanaJambo watu wenye uchungu wa nchi...
  10. M

    Ujenzi wa Hoteli Katika uwanja wa Nyamagana

    Nimesoma pale kwenye Mwananchi la leo kwa kweli inashangaza pale ambapo Mhe Waziri Magufuli anapojitahidi kupambana na ku-sevu uwanja wetu.... Hivi ni kichaa gani anasema hoteli ni muhimu kuliko uwanja especially wakati huu ambapo Rais anajitahidi kuinua kiwango cha soka? Katika hili...
  11. M

    Mbunge wa ODM auwawa Nairobi

    WanaJambo wenzangu, naona BBC wameandika kwamba Mbunge wa kuchaguliwa through ODM party wa Embakasi Jijini Nairobi amepigwa risasi na kufariki jana usiku masaa kadhaa baada ya wagombea wa4 aliowashinda katika uchaguzi kufungua kesi ya kupinga matokeo..... Nimeiweka hapa sababu ni issue...
  12. M

    Programu ya Kuboresha Utumishi wa Umma

    WanaJambo wenzangu... Leo naona Michuzi ameshatupostia hotuba ya Mhe Rais JK leo katika uzinduzi wa awamu ya pili ya rejeo hapo juu inapatikana at: http://issamichuzi.blogspot.com/2008/01/jk-leo.html Nimeisoma na kuielewa ipasavyo lakini my concerns are: 1. Mhe anasema CSRP phase I...
  13. M

    Soka la Bongo - Maximo karudi likizo

    Duh, leo nimepita kwa ndugu yetu Michuzi "www.issamichuzi.blogspot.com" nikakuta katundika picha ya Kocha wa Staaz - Maximo amefungua duka barabarani.... Si utani ni picha inafurahisha sana na kuchekesha kuona "Kocha wa Timu ya Taifa" amefungua duka..... Sisemi ni vibaya lakini duh, si utani...
  14. M

    Felix Makene Afariki Dunia!

    WanaJambo wenzangu naomba niwasalimu.... Nimeingia kwenye www.issamichuzi.blogspot.com na kukuta habari kwamba Felix Makene/Felix Chambi amefariki dunia. Kwa kumbukumbu ya harakaharaka huyu ni yule mwenzetu ambaye tulietewa habari kwamba hali yake ilikuwa mbaya siku 2/3 zilizopita..... Naomba...
  15. M

    General Tyre: Is it a slow death to a once an East Africa Giant??

    Salaam wanaJambo wenzangu. Nilitokea kupita mitaa ya Arusha siku chache zilizopita na kwa mshangao wangu mkubwa nikakuta kwamba kiwanda cha General Tyre (Njiro Area) kimefungwa.... Nilifanikiwa kuulizia juu juu (habari za mitaani) nikaambiwa kwamba kiwanda kimefungwa sababu wameshindwa kulipia...
  16. M

    Kigeugeu Ujenzi wa barabara - Ni Rushwa au kutokujua??

    WanaJambo wenzangu naomba kuwatumia salaam za mwaka mpya 2008.... Ni matumaini yangu kuwa huu utakuwa mwaka mwingine wa kuelimishana na kushauriana (pia in a way kuwashauri walioshika mpini) katika maendeleo ya nchi yetu tuipandayo, Tanzania. Leo nimesoma habari kwenye "Thisday, 07 January...
  17. M

    Madiwani ruksa kushindania zabuni!!

    Duh jamani hapa naona kuna "conflict of interest" manake nakumbuka kwenye "Tender Committee" kwenye wilaya hapa nchini hawa waheshimiwa (at least mwenyekiti wa Council) ni active member... Well hapo ni kitu ambacho nadhani hiyo sheria inabidi iangaliwe upya manake tumeshaingiza sio mwanya bali...
  18. M

    Posho Za Madiwani Juu!!!

    WanaJambom wenzangu nawasalimu.... Hii habari nimeikuta kwenye "www.ippmedia.com" kidogo imenchanganya.... Nina maswali kadhaa nimekuwa najiuliza, "hawa Madiwani walifutwa miaka flani nyuma mpaka nadhani BM alipowarudisha mwaka 1995". Nakumbuka hoja ya kuwarudisha ni kuharakisha mboreko wa...
  19. M

    Tanzania to rejoin COMESA!?!

    Salaamu kwa waungwana hii habari nimeikuta kwenye www.ippmedia.com leo hii..... Kweli Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu, leo TCCA wanaenda kuomba kurudishwa kwenye COMESA, tulivyojitoa ina maana hatukuwahusisha "Business Community?".... Kama hatukuwahusisha then nani alitoa uamuzi huo?? Na...
  20. M

    Je hii ni haki??

    Kuna jamaa amentumia hii naona ilikuwa kwenye gazeti la "Washington Post" miezi kadhaa iliyopita.... Sijui ukweli wake lakini lisemwalo lipo..... ==== A Tanzanian woman brought to the United States by a diplomat at his country's mission in Washington is suing the envoy and his wife, alleging...
Back
Top Bottom