Search results

  1. M

    Maoni ya wananchi: Suluhu ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam

    FM, heshima mbele mkuu..... Kwa kweli hapo umesema ambacho nilikuwa nakifikiria.... Unakumbuka matatizo ya umeme?? tumezoea kufanya vitu ki- "fire fighting fire fighting", na kwa vile mkuu amesema jengeni tungoje kuona matokeo.... Mungu Ibariki Tanzania na watu wake......
  2. M

    Da' Chemi Chemponda afiwa

    Da Chemi na familia, jamani poleni sana na msiba mzito sana huu kwa familia yenu... Mwenyenzi Mungu awape ujasiri katika kipindi hiki kigumu jamani....Mwenyenzi Mungu ampe kaka yetu pumziko la amani...... Poleni sana na Mbarikiwe sana....
  3. M

    General Tyre yafungwa

    M.M.M, well said.... jamani hii GT tumeshaiongelea lakini facts na namna hii mambo ilivyowekwa ni kitu ambacho kwa kweli sio ada...... In this I rest my case!!!
  4. M

    Tatizo la umeme nchini linahitaji ufumbuzi wa muda mrefu na sio muda mfupi

    Mkuu Gelange, kwenye hilo la HEP nami nipo pamoja nawe kwa nguvu zote.... tunalalamikia mvua hakuna etc ndio maana yale mabwawa yetu hayatoi umeme wa kutosha, tunachosahau ni kwamba sisi ni wazembe kwenye swala zima la maintenance (desilting, mitambo, etc etc etc)...... Hii mitambo sijui ya...
  5. M

    Tatizo la umeme nchini linahitaji ufumbuzi wa muda mrefu na sio muda mfupi

    Mo (Mhe), kwanza naomba nichukue fursa hii kukukaribisha katika jukwaa letu..... Pili naomba niseme kwamba mawazo yako ni mazuri na nina uhakika watu kama wewe ambao mna "double capacity" ya kusukuma mawazo mazuri kama yako yaani, Bungeni (kama Mhe Mbunge), pia kiuchumi kama mmojawapo wa...
  6. M

    Happy Birthday Hon Jakaya Kikwete!

    Heri na baraka zote zikufikia mkuu kwa kutimiza umri huo....
  7. M

    Meremeta 00:00:00. EXTRA

    ONLY BECAUSE OF THAT??? Ha ha haaa, GT, kweli nimeamini kwamba unaenda mpaka chini ya mikanda kaka...... duh, sikutegemea... anyway amini uaminicho lakini ujue kwamba nasi wa tabaka la chini kuna mchango tunaweza kutoa, sometimes tupo better than you mukubwa..... u stoop too low for what i...
  8. M

    Meremeta 00:00:00. EXTRA

    GT, hakuna mtu nyumbani sisi ni wale wa ku "CHUBWI" hakuna wa kutubeba nyumbani.... samahani lakini lazima ukubali kuna watu kama sisi tua uchungu lakini "MACHOZI YA SAMAKI"
  9. M

    Meremeta 00:00:00. EXTRA

    kaka MMM, some of us tupo nje na hatuna njia za kimataifa za kutuma pesa, twaomba muda kidogo tupo Afghanistan, Iraq, Nepal, Haiti etc.... chonde kaka....
  10. M

    Hizi ndo hoja za wabunge wetu

    Duh katika pitapita za leo kwenye magazeti, nimeikuta hiki (kwangu ni kituko) manake inaonyesha wazee wetu waheshimiwa kweli wamekosa dira au pointi za kuongelea ndani ya lile Bunge letu "TUKUFU" Mbunge ataka mawigi yapigwe marufuku Na Sharon Sauwa 29th July 2009 Mbunge mmoja leo...
  11. M

    Meremeta 00:00:00. EXTRA

    Kazi nzuri wote mliochukua copy, ni kwa manufaa yetu waTz wote... Mbarikiwe sana jamani.... sasa kwa ufupi tunafahamu kuna askari mashujaa 100 ambao wapo "armed" na nyeti nzito tayari kwenda kufanya kazi ya kusaidia taifa la Tanzania..... safari njema na mapambano mema wakuu wote, tupo pamoja...
  12. M

    General Tyre: Is it a slow death to a once an East Africa Giant??

    Duh, finaly naona wameanza kukiongelea.... sasa hii ni ishara ya kuwa na matumaini au pia ni njia nyingine ya kutafta pesa za kampeni ya 2010 manake kwa kweli Tz usanii ndio tija.... Serikali yaahidi kufufua General Tyre Na John Ngunge Serikali imesema kwamba itahakikisha kuona kiwanda...
  13. M

    I am pregnant with Twins

    Sasha, hongera na tukutakie umalize safari ya miezi 9 salama... Mola akuongoze...
  14. M

    Serikali "Kufidia" makampuni 50 yaliyoathirika na "Mtikisiko wa Uchumi Duniani"!

    heshima mbele wakuu, tatizo letu ni kuwa na siasa na wanasiasa (bahati mbaya wanasiasa wamewameza wachumi wetu wote) wasiokuwa na muda wala hamu ya kufikiri... wao kazi yao ni kuangalia USA wamefanya nini na Ulaya (angaklia walivyokuwa na mifano miingi yenye kuangalia nje wamefanya nini), kisha...
  15. M

    Alex Ndeki (mzungu wetu) tumkumbuke

    heshima mbele wakuu, hata baada ya Tabora kuna tunaomkumbuka akiwa wizarani..... alikuwa na moyo wa tofauti sana huyu mzee, RIP Alex....
  16. M

    wa USWAZI mpo?

    ha ha haaa..... duh mmenikumbusha mbali sana aiseee, mambo ya machungwa, magurumbasi, mafarasi na tololi..... duh, kweli maisha ni karata jamani........ haya twende tuone...
  17. M

    Tujikumbushe ILBORU

    duh, nimekumbuka kina Blanka Shao, Moikan, Kimaro na yule wa konyagi pale kwa Loning'o (Johnson) alikuwa anafundisha kiswahili miaka ya mwisho ya 80, nimemsahau jina (is it Kimasiha??).... Kuna mzee wa Mh, ndio bwana mzee (RIP, Juma) etc..... Duh kweli imekuwa zamani...
  18. M

    Tujikumbushe ILBORU

    Mzee Baru....., ile ndiyo yenyewe, Mzee Zidisha Chui tupo zaidi ya 611
  19. M

    Ujenzi Jiji la Dar unafuata Master City Plan?

    Heshima mbele wakuu.... ni kwamba kitu inaitwa "Masterplan" haipo kwenye misamiati/kamusi ya waheshimiwa wenye kufanya maamuzi..... pita Kariakoo kisha uje uniambie kuna mipango miji mule ndani......
  20. M

    Chuo Kikuu kipya cha Afya kujengwa Dar

    Mkuu Myi...., hivi unakumbuka walimu wa UPE?? naelewa kuwa unafahamu kuwa ilifanikiwa sana ile kitu, why not now..... nini kimebadilika zaidi ya fikra na sisi kujifanya tumefika kwenye upeo wa kusadikika??
Back
Top Bottom