Search results

  1. A

    Madudu ya ajira mpya za walimu 9,800. TAMISEMI tunaomba majibu

    Jana waziri wa tamisemi alitangaza majina ya waliopata ajira lakini ajabu ukiangalia kwenye list utaona mtu kasoma MATHEMATICS ila kaandikiwa bachelor of arts Huku akisema taasisi zaidi ya kumi zimehusika kwenye huo mchakato ikiwemo takukuru
  2. A

    Naomba kujuzwa dawa ya kutibu vidonda kwenye ulimi

    Habari wana jf, Naomba msaada wa dawa ya kutibu vidonda vimejitokeza kwenye ulimi kwa sasa vina wiki 3 nimetumia dawa ya amplicox nikapata nafuu ila vikarudi tena, vinauma sana ukinywa chai au kitu cha moto hasa asubuhi.
  3. A

    Naomba updates ya ahadi za Waziri kuhusu bei za vifurushi vya mitandao ya simu

    Habari wana jf, Waziri wa mawasiliano na TEHAMA alitoa ahadi tarehe28/02/2021 atakuja 'na majibu ya bei zake mwenye updates za waziri atupe maana tunazidi kuisoma namba.
  4. A

    Majina ya walioitwa kazini TANAPA

    Haya hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. A

    Vijana wa JKT Walojenga ukuta wa Mirerani wote waula

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo amewataka vijana walioshiriki katika ujenzi wa ukuta wa Mererani na hadi sasa bado hawajajiriwa kuripoti katika kambi ya Jeshi JKT Mngulani September 12 mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam...
  6. A

    Nafasi za kazi TANESCO

    Source AJIRALEO TANZANIA Jobs in Tanzania 2019: 99 New Government Jobs at Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) | Deadline: 24th May, 2019 NAFASI ZA KAZI TANESCO 2019 | AJIRA MPYA TANESCO 2019 EMPLOYMENT OPPORTUNITIES – TEMPORARY EMPLOYMENT INTERNAL & EXTERNAL ADVERTISEMENT...
  7. A

    Ajira za walimu wapya 4,000+ zimetoka

    Waziri wa tamisemi katangaza rasmi leo hii pdf ikitokatutaiapload hapa
  8. A

    Walimu wa arts jiandaeni kisaikolojia

    Habari wakuu nimepita pita kwenye mitandao nikakutana na huyo Habari serikali inaendelea kuajiri walimu
  9. A

    Jinsi ya kubypass Tecno W1

    Wakuu mwenyewe kujua jinsi ya kubypass Tecno W1 anisaidie maana nimereset inadai email niliyotumia mwanzo na me siikumbuki
  10. A

    Mtangazaji Spencer Lameck wa ITV yupo wapi!

    Habari wana jf huyu mtangazaji kijana yupo wapi siku hizi simsikii kabisa ITV kulikoni? Mwenye taarifa nae atwambie alipo
  11. A

    Fursa kwa walimu Namibia mlioko ukanda wa SADEC

    Wanahitajika waalimu 2,000+ huko namibia
  12. A

    TAMISEMI wasitisha ajira za Afya za walioitwa na kupangiwa Vituo vya Kazi tarehe 31/10/2017

    Tafadhali rejeeni tangazo letu lenye Kumb. Na CD. 162/355/01 la tarehe 30Oktoba, 2017 lililowataarifu waombaji wa kazi wa nafasi mbalimbali za kada za afya walioomba kazi kuanzia 25/07 - 30/08/2017. Rejea hapa; TAMISEMI kushirikiana na Wizara ya Afya: Tangazo la kuitwa kazini kwa walioomba...
  13. A

    Liko wapi tamko la Polepole kuhusu ushahidi wa Lema, Nassari na Msigwa?

    Nakumbuka wakati WA mabishano ya ndege iliyokodiwa kumpeleka Lissu Nairobi alitoa bandiko reefu. Vipi kwenye ushahidi kigugumizi kinatoka wapi?
  14. A

    Natafuta mtaalam wa kunisaidia kupata begi langu

    Mimi nashida ya kupata mtaalam wa dawa atakayeweza kukusaidia kupata begi langu lilikua na vitu vyangu Vya msingi ambalo aliliazima Rafiki yangu akidai atalirudisha baada ya dk kumi Tu lakin mpaka sasa hajarudisha beg langu yapata miezi mitatu sasa na huu wa tisa Ni wa nne. Naombeni msaada wenu...
  15. A

    Yametimia ya Magufuli baki: Juma Nkamia awasilisha muswada Rais kukaa madarakani miaka 7 kama Kagame

    Akifanya mahojiano kwa njia ya simu na mtangazaji wa EATV, Mh. Nkamia amesema kuwa yeye ameamua kupeleka muswada huo binafsi kwa spika wa bunge kutokana na serikali kutumia gharama kubwa za kufanya uchaguzi kwa wakati mmoja yaani ule wa serikali za mitaa pamoja na ule mkuu. "Napeleka hoja au...
  16. A

    Tafadhali Deus Kibamba acha kumchafua Lowassa

    Habari wana JF, Nipo hapa naangalia clouds 360 on Saturday Kibamba katolea mfano Mh Lowassa kuwa wakati wa kipindi chake aliingia mkataba wa kitapeli na kampuni ya Victoria ili kusambaza maji Dar es salaam na maji hayakutoka hivyo kufungua kesi kimataifa ambapo serikali ilituma wanasheria na...
  17. A

    Simu inaleta kujaza Google account tu baada ya kuiflash

    Habarini wanaJf Ni simu hizi za Vodafone sikU nne zilizopita iliflashiwa baada ya kuflashiwa ukiiwasha Tu inadosplay ujaze google account na haiendelei zaidi ya hapo na ukihaza google account yoyote iliyo sahihi bado haifunguki naombeni msaada juu ya Hilo ile me nafikiria kuifanyia restoration...
  18. A

    Tunaombeni updates za kombe la FA huko Dodoma

    Wale mlio dodoma uwanjani au mliopo kwenye tv tunaomba updates
  19. A

    CCM 2020 mgombea kupita bila kupingwa imekaaje hii

    Check this video kutoka Efm magazetini Pole pole naona utawala wa Kagame unatimia
Back
Top Bottom