Search results

  1. Complicator

    AZAM TV na Bodi ya Ligi mnatuibia pesa watazamaji wa ligi kupitia king’amuzi chenu

    Naandika kwa masikitiko makubwa sana baada ya kugundua kwamba miezi miwili sasa imepita bila kuwa na mwendekezo mzuri wa kuonyesha mechi za ligi kuu ya nbc,ndani ya mwezi unaangalia game mbili au tatu halafu unatakiwa kulipia tena. Kwa mfano weekend hii iliyoisha kulikua na shida gani mpaka...
  2. Complicator

    JWTZ kuwatesa raia wanaovaa nguo za Jeshi ni ukatili

    Haya mambo wananchi wenyewe ndio wanayashabikia,watu wanaona sawa tu askari akifanya hivyo sababu hata ukisikia mtu anavyosimulia unajua kabisa anaenjoy
  3. Complicator

    TV4Sale Hisense Smart TV 4k nchi 75 inauzwa

    mimi ninayo nauza 1.6m
  4. Complicator

    Kwanini mbwa hugongwa sana na magari barabarani?

    jibu ni kwamba mbwa huwa anakosa maamuzi sahihi inapotokea amepigwa na mwanga mkali wakati wa usiku,ikumbukwe uoni wa wanyama ni tofauti kabisa na ule wa binadamu na kila mnyama anaona kutegemea na macho yake yamekua programmed kuona vipi. mbwa akipigwa na mwanga anapata uoga…hata kama siyo...
  5. Complicator

    Mavazi gani mtu mnene akivaa anapendeza?

    Hakuna Sent from my BLA-L09 using JamiiForums mobile app
  6. Complicator

    Rais Samia aamuru Wasaidizi wake wamtoe nje ya uwanja mtu mmoja kwenye Sherehe za Mei Mosi

    Huyo jiwe huko mbarali mbeya aliwahi amuru mtu afukuzwe Aliwahi ambia mtu asiyetaka kulipia 200 ya choo atembee na haja yake siku nzima akaitolee nyumbani bure Aliwahi ambia watu wapige mbizi kigamboni posta kama hawana hela ya nauli Sent from my BLA-L09 using JamiiForums mobile app
  7. Complicator

    VIZIO 5.1 sound bars for sale

    ziko pia homethetres za kutosha
  8. Complicator

    VIZIO 5.1 sound bars for sale

    output watt 1000
  9. Complicator

    VIZIO 5.1 sound bars for sale

    Ninazo soundbar za vizio 5.1 Ziko vizuri sana na full tested Zina bass booster, soundbar na spika mbili ndogo kuongeza sauti Bei ni 450,000/= maongezi kidogo yapo. 0765981354
  10. Complicator

    Mrejesho: Nimechukua hii LG ya mtumba 49", kuweni makini

    ninazo air fryer fridge vizio soundbar 5.1 kali sana sana 0765981354
  11. Complicator

    Uzi wa bidhaa used tu, kwa bei nafuu

    Portable Air Conditions 0765981354
  12. Complicator

    Uzi wa bidhaa used tu, kwa bei nafuu

    Home Theatre makini sana 450,000/= 0765981354
  13. Complicator

    Uzi wa bidhaa used tu, kwa bei nafuu

    bado unavyo Sent from my BLA-L09 using JamiiForums mobile app
  14. Complicator

    Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent from my BLA-L09 using JamiiForums mobile app
  15. Complicator

    Rais Samia: Zanzibar ni eneo dogo lakini hatarishi

    zanzibar ni takataka ukilinganisha na manispaa au jiji lolote la bara. yaanii ni takataka rubish kunuka
Back
Top Bottom