Search results

  1. Fantastic Malinza Jr

    JIPATIE TOKEN ZA HAMSTER

    Habari ndugu zangu kama mnavyojua ktk ulimwengu wa crytpocurrency kadri siku zinavyokwenda unazidi kukua na kupanuka ktk nyanja mbalimbali na kampuni nyingi zimekuwa kila zinapotoa coin zao hutoa free token ili kuvutia watu. Coin hizi huanza na pre sales na baadae wana launch. Watu waliobobea...
  2. Fantastic Malinza Jr

    Fursa ya kujipatia Ethereum (ETH) yenye thamani ya $11

    Habari wanajamvi, Siku za karibuni kulikuwa na mtikisiko wa soko la cyrptocurrency hasa katika coin yao pendwa ya Bitcoin (BTC), kutokana na mtikisiko ule waekezaji wakubwa au makampuni mengi yanayohusika yamekuwa yakitengeneza sarafu mpya za crypto na wengine kuwa wanatoa offer za kupata...
  3. Fantastic Malinza Jr

    Msaada wa unlimited internet ya tunnel guru na PD proxy

    Habari wana jamvi? Nilikuwa naomba msaada kwa anaejua na unlimited internet ya Tunnel guru au pd proxy. NB: Matapeli hamtakiwi.
  4. Fantastic Malinza Jr

    Naombeni msaada kutoa icloud email

    Mwaka juzi bro alinunua ipad min 3 akatengeneza icloud account n mwaka jana ameniachia na bahati mbaya amesahau icloud password yake na mm inanitesa sielewi ni njia gani ya kuitoa icloud email na kuweka yangu. Mwenye uelewa please msaada. Email aliyoifungua ni md@amazongroup.co.tz
  5. Fantastic Malinza Jr

    Msaada jinsi ya ku-update mkopo loan board

    Habari zenu wa kubwa, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza, nimeambiwa kunaissue ya ku-update mkopo from loan na kila nikijaribu kufanya nashindwa hivyo tafadhali nilikuwa naomba msaada wenu wa procedures pamoja na link ili ni update mkopo. Thank u in advance
Back
Top Bottom