Search results

  1. J

    Sudani Kusini, Somalia zaomba uanachama Jumuiya EAC

    Mnapo amua kuungana ina maana mna tofauti na tofauti ndizo zinazo wafanya muungane. Mwingine hana ardhi lakini ana rasilimali, mwingine anategemea kufaidika kibiashara na jirani yake ambaye bado haja amka kibiashara, kiuchumi , kielimu na kadhalika kuna mambo mengi sana tunategemeana. Sasa...
  2. J

    Sudani Kusini, Somalia zaomba uanachama Jumuiya EAC

    Absolutely you exactly know what you are talking about... the problem is that among 100 people only one or two can understand this and this is where the Western Countries screw us.
  3. J

    Sudani Kusini, Somalia zaomba uanachama Jumuiya EAC

    Wote wajinga, mnatakiwa kujua kuvunjika kwa East Africa ni propaganada za Western Countries. Western countries hawafurahi inchi za kiafrica kuungana ili waendelee kututumia kwa manufaa yao. Mgogoro unao endelea kati ya Rwanda na Tanzania umepandikizwa na western countries kwa manufaa yao. Sie...
  4. J

    Rwanda, Uganda zajitoa Bandari ya Dar

    Ni lazima tujiulize kwanini baadhi ya Watanzania bado wanatumia bandari ya Mombasa ikiwemo mimi mwenyewe wakati ya kwetu ipo?? Sijawahi kusikia wala kuona Wakenya wakitumia bandari yetu. Jibu: Hii ni kwa sababu ya huduma mbovu zilizopo bandari ya Dar-es-salaam kama, ucheleweshaji wa kutoa...
  5. J

Back
Top Bottom