Search results

  1. Remmy

    Nimesitisha mpango wa kumuoa baada ya kugundua analiwa jicho

    Mi nakushangaa Wewe kula jicho sio vibaya...ila vibaya kuoa ke anayeliwa jicho. Nawashangaaga Sana wanaume walivyo wanafiki. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Remmy

    Wanaume siku hizi wamekuwa waoga, wanataka kusaidiana majukumu na Wanamke

    Ha ha ha ha Ukisikia paaa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Remmy

    Tunauza mayai ya kuku chotara

    Unasema bila kujua. Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni biashara kichaa.
  4. Remmy

    Tunauza mayai ya chotara kuku aina ya Kenbro na Kuroiler

    Kenbro Wana umbo kubwa, wanakua haraka hufikia Hadi kilo 4 kwa jogoo ndani ya miezi 6 Kama atalishwa vizuri, hutaga mayai 20_25 kwa mtago mmoja. Ana nyama nyingi na tamu.
  5. Remmy

    Tunauza mayai ya chotara kuku aina ya Kenbro na Kuroiler

    Labda kwa Kenbro, Kuroiler wameenea nchini na wanajulikana
  6. Remmy

    Mayai ya kenbro na kuroiler.

    Tunauza mayai ya chotara kuku aina ya Kenbro na Kuroiler, trei moja shilingi 13,000 tunapatikana Mbezi Makabe. Kwa mawasiliano 0658961096.
  7. Remmy

    Tunauza mayai ya chotara kuku aina ya Kenbro na Kuroiler

    Tunauza mayai ya chotara kuku aina ya Kenbro na Kuroiler, trei moja shilingi 13,000 tunapatikana Mbezi Makabe. Kwa mawasiliano 0658961096.
  8. Remmy

    Tunauza mayai ya kuku chotara

    Tunauza mayai ya chotara kuku aina ya Kenbro na Kuroiler, trei moja shilingi 13,000 tunapatikana Mbezi Makabe. Kwa mawasiliano 0658961096.
  9. Remmy

    Natafuta gari ya kukodi

    Mimi nina nadia.
  10. Remmy

    Nahitaji ardhi ukubwa wa Hekta 500 kwa ajili ya kilimo cha mihogo

    Kama bado hujapata njoo nikukodishie kijiji cha Pozo wilaya ya Handeni Tanga.
  11. Remmy

    Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

    Mshukuru Mungu sana kakupa nafasi ya kujua siku yako ya kuondoka. Pata muda wa kutengeneza roho yako ili ukapumzike huko maana pia umeteseka hapa duniani. Pata nafasi ya kutubu dhambi zako, kusamehe majirani na ndugu ambao uliona wamekuroga kumbe ni kansa ilikuwa ikikukula, pata muda pia wa...
  12. Remmy

    Natafuta mchumba

    Sura mbaya kiasi
  13. Remmy

    Je kumpa mtoto mdogo ulimi ni sahihi kiafya?

    Kimaadili sioni tatizo. Hii tongue kiss ilianzia kwa mama na mtoto wakubwa tukaiga. Lakini ni tendo la kuonyesha upendo. Sio upendo wa ngono mnaofikiria nyie tu....wengine kwenu hata busu la shavuni mnaona ni kosa. Mimi ni mama huwa nambusu mwanangu, lips mpaka ulimi nikizingatia afya yangu...
  14. Remmy

    Nauza Shamba langu Heka 3, (350,000/= @ 1)

    Wanalima nini hasa??
  15. Remmy

    Nauza Shamba langu Heka 3, (350,000/= @ 1)

    Hapa ni lipi hasa??
  16. Remmy

    Hukumu ya Lulu Gerezani Imesaidia Wengi, Imesaidia Mengi!, Babu Seya Nje, TV Hadi Magerezani, Mazuri Mengi Zaidi Yaja!.

    Why Lulu?? awe amemfanya rais kuwatoa kina babu Seya?? hujamaliza bana na mawazo yako....hebu jazia nyama. Ni kwamba Lulua atatolewa next Uhuru?? au
Back
Top Bottom