Hivi hakuna wabongo wanaosoma huko nje kwenye elimu za kuwaandaa hao CEO's? Au tukisema mbongo lazima awe amesoma hapahapa bongo miaka yote?Mimi naamini wapo wabongo wenye hizo sifa, iwe walisomea hapa ndani au nje, lakini wabongo wapo wenye sifa ,asitudanganye huyo bilionea.
Kwani chanzo hasa cha hii stori ni nini? Maana inasemwa tu Ally kasema hivi, kasemea wapi, alikuwa anawaambia /anamwambia nani, au aliandika wapi hayo maoni yake
Wakuu,
Kama kuna mwenye kuweza kuwa na ile simulizi ya kapteni mstaafu Eugene Maganga kuhusu mpango wa kuipindua serikali ya Tanzania msaada tafadhali.
Au kama kuna anaejua kama iliwahi kuwekwa humu anielekeze thread husika.
Natanguliza shukrani.
watu kwa kupenda umbea, khaaa , source page ni fake, hiyo ya riz yenyewe inaweza kuwa fake,lakini watu wanatiririkaaaa, huyo poul makonda ndio sawa na paul makonda?
upuuzi, na utoto
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.